Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uongo utaacha pia na ww... hii climate kama ya kericho ama limuru mli toa wapi.!? hivi hakuna mahali tanzania inaweza kua na cool and temperate climate kama hii, kile najua nikwamba 95% tz has a tropical climate thts hot and humid all year round

nashuku sana kama hapa ni bongo View attachment 2244550
Huelewi unachoongea bro

Screenshot_20220530-163704.png
 
Na nyie ndio mlipanga hayo mauaji sababu hamkutaka mombasa irudi kwa wenyewe. Mkaona bora kuchinja watu.

Na yule Nobel winner ana uarabu gani! Si mswahili tu wakawaida!
Nyie kila mabaya kinachofanyika kwenu huwa mnasingizia Kenya. Sasa huyo Okello ambaye ni Mganda ana uhusiano gani na Kenya? Yeye mwenyewe kaja kuchochea watu kufanya mauwaji huko. Usisingizie Kenya kwa mambo ambayo hayahusu Kenya.
 
uongo utaacha pia na ww... hii climate kama ya kericho ama limuru mli toa wapi.!? hivi hakuna mahali tanzania inaweza kua na cool and temperate climate kama hii, kile najua nikwamba 95% tz has a tropical climate thts hot and humid all year round

nashuku sana kama hapa ni bongo View attachment 2244550
We kweli fala, hv unavyodhani Tz ni ya mchezo mchezo au ni jangwa kama Kunyaland? Fyi mikoa mingi ya Tz ni baridi tupu ukiondoa mikoa michache hasa ya pwani kama Dar na mikoa iliyo karibu na pwani.
 
Tanzania ni taifa fukara fundamentally, chakula kwa wengi ni zile za kimaskini, utapia mlo ni kawaida sana vijijini, yaani chakula ni mihogo na maharagwe, what do u expect? getting a balanced diet is like trying to solve a complex puzzle., poverty is evil man!
Sasa utaelewa kwa nini watanzania wengi humu wako na uwezo kidogo wa kufikiria, e.g The best 007 anafikiriaga Tz'seconomy is $150B, na ameamini kabisaa ; hizi tatizo it's coz of stunted growth and poor brain development during childhood, it is irreversible., let's not blame many 'idiots' here, sio makosa yao ama sio kwa kupenda kwao, ni matokeo ya utapia mlo wakiwa watoto wadogo.,
View attachment 2244405
View attachment 2244406
Hapa sasa umeamua kututukana na wala siyo Facts mkuu, iweje tuna utapiamlo wakati tuna organic food kibao kila sehemu, hivi unajua kuna sehemu matunda yanadondoka tu yenyewe shambani?

Siyo kwamba hatuna chakula kwasababu tunashindwa kuafford kwasababu ya umasikini la hasha! Bali ni kutokuwa makini kwa wazazi/walezi kuwapa chakula cha aina moja watoto bila kuchanganya vyakula vyenye virutubisho.

Na hizo sehemu ni chache unakuta wazazi wengi wako busy kutafuta pesa kutokana na huo msimu kuzalisha mazao ambayo ni deal kwa wengine, so wanakimbizana na hela huku wanasahau majukumu ya malezi.

Hii imewahi kutokea Kilimanjaro;sasa hawa utasema ni masikini, Bukoba; utasema ni masikini, Nyanda za juu kusini; hawa nao siyo wanyonge ila unakuta walijisahau kwenye kilimo cha miti na kuacha lishe kwa watoto, lakini wote hawa wako vizuri sana kwenye uzalishaji.

Sisi hatuna njaa,wala shida ya chakula.Malnutrition haitokani na njaa ya chakula ila ni ukosefu wa baadhi ya virutubisho kwenye chakula.

Upande wenu kama watu wenu wanakufa kwa njaa maana yake wamekosa hata maji ya kunywa, hawana kitu chochote cha kuweka mdomoni, pia serikali yenyu haina uwezo wa kuwanunulia chakula wasio na uwezo, serikali yenyu haina uwezo wa kuhifadhi chakula cha ziada baada ya kuvuna chakula chote mmekitumia chote.

Taasisi yenu ya kudeal na majanga haina uwezo wa kifedha wala maono kutunza chakula cha ziada. Msisingizie ukame viongozi wenu ni bomu.


Kiukweli kama Tanzania tuna umasikini mpaka kukosa chakula jiulize nyinyi mtakuwa na hali gani?
 
No



Hakuna muwekezaji Africa wakufanya uwouwekezaji zaidi ya China...Tufanye sisi wenyewe kwa kuanza kidogodogo...Kwenye reli ndokabisa... Tunadanganyana tu...
Wewe ni wa pili kukataa hili pendekezo hope wataona kwamba kuna ushauri umetolewa huku.
 
No markings kama kawaida finishing mbovu na ndiyo maana cku hz hamui post hyo interchange jua kali. Yani hapo ndio imeisha na gari zinapita bila markings wala road sign
Kazi bado, tuliza kende, work in progress..,
 
uongo utaacha pia na ww... hii climate kama ya kericho ama limuru mli toa wapi.!? hivi hakuna mahali tanzania inaweza kua na cool and temperate climate kama hii, kile najua nikwamba 95% tz has a tropical climate thts hot and humid all year round

nashuku sana kama hapa ni bongo View attachment 2244550
Tukiwaambia nyie wakunya vilaza uwa mnakataa,ako kanchi kenu kachafu mnakaona special sana kiasi eti kuna vitu vipo bongo TZ hatuna,haya post video kama hizi za huko kunyaland
 

Attachments

  • VID-20210814-WA0007.mp4
    4.6 MB
  • VID-20210814-WA0008.mp4
    5.9 MB
I truely concur with your take..

And as much as they seem to hate us by their actions and words, but deep inside their hearts they realy adore❤ and admire us.. we are realy giving them sleepless nights, headaches, blood pressure and ulcers everyday...

And just to grace your point with a fact.... here is an example 👇🏽

On the Continental Level.
as much as kenyans wastin' their bundles on doing research bout south africa.. our southern tanzanian brothers and sisters are very busy digging in, wanting to knw more bout this beautiful country known as kenya +254 🇰🇪 ...👇🏽 View attachment 2244449



And now on the International Level.
kenyans we are busy wanting to know more about the mighty USA, whereas our southern neighbors, are still consistently obsessed with this wonderful country +254🇰🇪...👇🏽 View attachment 2244450
Hahaha Watanzania wamerogwa na Kenya. Wanatugugo sana. Usiku na mchana mtu ananunua bundle na kukaa chini kuchambua habari za Kenya.
 
I truely concur with your take..

And as much as they seem to hate us by their actions and words, but deep inside their hearts they realy adore and admire us.. we are realy giving them sleepless nights, headaches, blood pressure and ulcers everyday...

And just to grace your point with a fact.... here is an example

On the Continental Level.
as much as kenyans wastin' their bundles on doing research bout south africa.. our southern tanzanian brothers and sisters are very busy digging in, wanting to knw more bout this beautiful country known as kenya +254 ... View attachment 2244449



And now on the International Level.
kenyans we are busy wanting to know more about the mighty USA, whereas our southern neighbors, are still consistently obsessed with this wonderful country +254... View attachment 2244450
According to you,lying yourself sounds good.
 
Yes Bashe ni Good Choice in terms of hardworking na kuwa na misimamo..hata mm ntampa kura
Tatizo makundi yaliyojipanga kutake power yanaweza yasimpitishe jina lake. Halafu tukimjadili sana tunaweza kumponza ndg zangu, labda tuache mpaka kipindi kimekaribia na yeye kuonyesha interest then tumuunge mkono.
 
Back
Top Bottom