Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe wacha ujinga. Sentensi "Tuma na ya kutolea au tuma na ya kutoa." Ilianza Kenya. Kumbuka Mpesa ilivumbuliwa Kenya na sio Tanzania. Mpesa ilivumbuliwa Kenya na Safaricom April 2007. Technolojia hii ilizinduliwa Tanzania mwaka mmoja baadaye mwanzoni mwa 2008. Kwa hivyo sentensi hio ilitumika Kenya sana kabla hata teknolojia hio haijafika huko kwenu.
View attachment 2245085

View attachment 2245082
Wacha ujinga wewe hiyo slogan imetumika juzi na NALA ukinionyesha mobile company ya Kunyaland ikitumia hiyo nahama humu! Ni kama neno #vunjabei# wakunya mme-copy! Au #Msafi#!
 
Wacha ujinga wewe hiyo slogan imetumika juzi na NALA ukinionyesha mobile company ya Kunyaland ikitumia hiyo nahama humu! Ni kama neno #vunjabei# wakunya mme-copy! Au #Msafi#!
Wacha ujinga. Huo ni msemo tu wa mtaani. Nala hawakuvumbua huo msemo. Huo msemo husemwa na mtu anayepokea pesa na huwa anamuambia anayetuma pesa atume na ya kutoa. Sio kila mtu anayepokea pesa ana pesa ya kutoa. Huu msemo ni wa kawaida sana kwa watu masikini hususan wale ambao hawana pesa ya kutoa. Mna ushamba sana. Nala hawajavumbua chochote hapo. Nala wenyewe hawakudai kwamba wamevumbua huo msemo.

Cc chongchung
 
Ni aibu sana eti Mwanza ndio mji wa pili wa Tanzania, mji umechokaa, ushamba ni mob afadhali Arusha aise😂, na nimerudia hii kauli mara mingi hapa, asante kwa video clips, usiongeze maneno, zinajieleza vizuri, plus google earth, haudanganyi mtu, yaani ni dhihirisho mko chini sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Nioneshe slum 1 Mwanza nikuoneshe slums 100 Mombasa 🤣🤣🤣
 
Wacha ujinga. Huo ni msemo tu wa mtaani. Nala hawakuvumbua huo msemo. Huo msemo husemwa na mtu anayepokea pesa na huwa anamuambia anayetuma pesa atume na ya kutoa. Sio kila mtu anayepokea pesa ana pesa ya kutoa. Huu msemo ni wa kawaida sana kwa watu masikini hususan wale ambao hawana pesa ya kutoa. Mna ushamba sana. Nala hawajavumbua chochote hapo. Nala wenyewe hawakudai kwamba wamevumbua huo msemo.

Cc chongchung
images - 2022-05-31T101447.346.jpeg
 
Back
Top Bottom