Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza 👇View attachment 2244866View attachment 2244873View attachment 2244875View attachment 2244879
img_20220526_171602_951-jpg.2244881
View attachment 2244884
img_20220526_171446_493-jpg.2244886
img_20220526_171448_393-jpg.2244889
Dar, Arusha na Dom ndio Cities zinaweza rival za Kenya..

Hii Mwanza yenu huwa ni kijiji cha wavuvi kwanza kinaaibisha Nchi kuitwa second Biggest City.👇
 
Attachments

  • IMG-20220509-WA0008.jpg
    IMG-20220509-WA0008.jpg
    44.5 KB · Views: 16
Inflation inaletwa na shortage ya food nyie Kunyaland mnatumia monetary policy sasa sijui ita work kivipi..

Haya ni matope sio akili 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220531-075604.png
    Screenshot_20220531-075604.png
    88.8 KB · Views: 16
naona umekosa raha na usingizi kufananisha kijiji ambacho hata kwa mwanza hakitoboi kwa kua miongoni mwa modern cities 🤣🤣

niliwah kukwambia siku utanionesha modern and clean street kama hzo mombasa nzima unitag nifunge acc 😂😂😂 mpaka leo hii hakuna hata mdudu mmoja alijitokeza

hebu wewe jitoe muhanga naomba ujiripue kwa niaba ya wengine wote 😂😂👇👇

Ni aibu sana eti Mwanza ndio mji wa pili wa Tanzania, mji umechokaa, ushamba ni mob afadhali Arusha aise😂, na nimerudia hii kauli mara mingi hapa, asante kwa video clips, usiongeze maneno, zinajieleza vizuri, plus google earth, haudanganyi mtu, yaani ni dhihirisho mko chini sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Na report haijasema kua tuna barabara nyingi zenye lami...kuna swali nmeuliza hapo mbona usijibu
The report answers everything, I always want mtu mwenyewe ajionee facts, asiseme ni porojo tukisema, si unajua ni vigumu to convince an average Tanzanian, (not u though)
 
Ameamua liwalo na liwe. Sheria haziruhusu 180 kph. Hio ni kutafuta kifo hata kama hakuna bumps na kuna interchange katika kila junction siwezi kupiga 180. Sina huo ujasiri.
Kweli mzee huyo anatafuta kifo. Sasa wengine wataiga ni bora waweke angalizo mapema pasije pakaleta shida kwa anayefanya hivyo na kuwasababishia majanga wengine,si wote wanapenda mwendo mkali.
 
Ni aibu sana eti Mwanza ndio mji wa pili wa Tanzania, mji umechokaa, ushamba ni mob afadhali Arusha aise😂, na nimerudia hii kauli mara mingi hapa, asante kwa video clips, usiongeze maneno, zinajieleza vizuri, plus google earth, haudanganyi mtu, yaani ni dhihirisho mko chini sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
nilijua huwezi kujibu manake mtihani niliokupa ni wamoto kwasababu mm huwezi nidangnya unanijua vzr 🤣🤣🤣🤣

siku ukipata jibu let me know bro kilio sikitaki kwa sasa

mombasa kwa ninavoijua mm hata kuitwa city haikupaswa 😂😂😂😂😂
 
Unaropokwa kwamba city ambayo ina 5th biggest port in Africa haistahili kuitwa city?
 
Back
Top Bottom