Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi
Screenshot_20220530-235227.jpg
 
Ni kweli badala ya kuondoa kwa wakatokea Mmoja. Hivi kwanini ya Kanda ya Ziwa na Kigoma yasiwe yanaanza mchana ili muda wa kufika kuanzia Kahama iwe ni asubuhi na badala ya kulala njiani yaende moja kwa moja?

Sababu ya kuyazuia ni usalama usiku wanaweza kutekwa maana yanapita sehemu zenye pori, so mchana huwa hayatekwi na kuna usalama zaidi.

Hili walifanyie kazi siyo lazima kuwalaza watu njiani kama uchovu madereva wako wawili. Mmoja anapumzika na mwingine anaendesha.
Dah hili swali lako itabidi uwaulize wahusika! Timetable inamaanisha pia utaratibu bora.
 
Sa mbona unaweka shule kulinganisha na makazi ya watu.?
Hizo ni makazi ya watu ama jehanamu? 😂 😂 😂
I can feel your pain and dissapointment. Na imagine hapo bado nipo tu maeneo ya Eastlands!
Povu imeisha au bado?

Eastlands still
Screenshot_20220527-233802.png
Screenshot_20220527-124538.png
Screenshot_20220527-155549~2.png
Screenshot_20220527-155502~2.png
Screenshot_20220527-233858.png
Screenshot_20220527-233923.png
Screenshot_20220527-160113~2.png
Screenshot_20220527-155618~2.png


Dar is slum 😂 😂 😂
Screenshot_20220527-003427~2.png
Screenshot_20220527-005042~2.png
Screenshot_20220527-004945~2.png
Screenshot_20220527-004329~2.png
Screenshot_20220527-004307~2.png
Screenshot_20220527-004828~2.png
Screenshot_20220527-004646~2.png
Screenshot_20220527-004137~2.png
Screenshot_20220527-004123~2.png
Screenshot_20220527-004414~2.png
Screenshot_20220527-004347~2.png
Screenshot_20220527-003956~2.png
Screenshot_20220527-003609~2.png
 

Attachments

  • Screenshot_20220527-233858.png
    Screenshot_20220527-233858.png
    484.9 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220527-155502~2.png
    Screenshot_20220527-155502~2.png
    490.1 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220527-124538.png
    Screenshot_20220527-124538.png
    496.3 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220527-233802.png
    Screenshot_20220527-233802.png
    462 KB · Views: 18
even upto Giturai45 Estate, some 20km away from the cbd, houses are still consistently planned and organised, you can even ask Shebby01, hoping this tyme round he'll be touched to open his heart and say truth about the planning, organization and the general standards of ALL the estates within nairobi


Githurai45 Estate👇🏽
Screenshot_20220531-020723_Earth.jpg
 
Sheria zinaruhusu au ameamua liwalo na liwe tu barabara mkeka mwendo mdundo nini shida.
Ameamua liwalo na liwe. Sheria haziruhusu 180 kph. Hio ni kutafuta kifo hata kama hakuna bumps na kuna interchange katika kila junction siwezi kupiga 180. Sina huo ujasiri.
 
Hakuna kitu kama hicho, Kenya ndio ina fuatilia zaidi Tanzania kuliko hata nchi yao, angalia tu kwenye maneno yenu ya mitaani mnayoongea 90% yametoka Tanzania

Mfano wa misimu ya Tanzania inayotumika Kenya

Kimeumana
Tuma na ya kutolea
Utajua hujui
Huendi Mbinguni
Tanzania sihami
Kwa ground vitu ni tofauti
Hapa Kazi tu
Utajibeba
Hunipangi (hatupangwingwi)
Nk

Hii ni ishara inayoonesha mnafuatilia sana Tanzania, huku Tanzania ikiwa haina influenced by Kenya kabisa, sio miziki wala Maigizo, hakuna mtanzania anaemjua mwanamziki wa kenya wala muigizaji huko mitaani.
Wakenya wanamjua na kumfollow mpk mange,wanawajua hadi wakuu wa mikoa ya TZ while sidhani kama kuna MTZ anamjua hata VP wa kunyaland
 
Mkuu Kenya ni chafu mno, maeneo mengi karibia over 99% ya Kenya nzima ni pachafu, sehemu iliyo safi Kenya ni ikulu pekee japo pia kuna slums pembeni ya ikulu. Ofcz Kenya na Nigeria ndio nchi chafu zaidi Afrika na pengine zimo kwenye top ten ya dirtiest countries in the world.
Angalia hapo kuna mkunya kaamua awe mkweli tu
 

Attachments

  • Screenshot_20220527-014535_Gallery.jpg
    Screenshot_20220527-014535_Gallery.jpg
    133.3 KB · Views: 22
Mtanzania mmoja aliyejaribu huo upuuzi wa kupiga 180 kph alikufa kwa ujinga wake. Barabara ambalo ni single-carriageway,lina round-abouts na lina bumps utakuwa zuzu kujaribu kupiga 180 kph pale.
 
Hakuna kitu kama hicho, Kenya ndio ina fuatilia zaidi Tanzania kuliko hata nchi yao, angalia tu kwenye maneno yenu ya mitaani mnayoongea 90% yametoka Tanzania

Mfano wa misimu ya Tanzania inayotumika Kenya

Kimeumana
Tuma na ya kutolea
Utajua hujui
Huendi Mbinguni
Tanzania sihami
Kwa ground vitu ni tofauti
Hapa Kazi tu
Utajibeba
Hunipangi (hatupangwingwi)
Nk

Hii ni ishara inayoonesha mnafuatilia sana Tanzania, huku Tanzania ikiwa haina influenced by Kenya kabisa, sio miziki wala Maigizo, hakuna mtanzania anaemjua mwanamziki wa kenya wala muigizaji huko mitaani.
Wewe wacha ujinga. Sentensi "Tuma na ya kutolea au tuma na ya kutoa." Ilianza Kenya. Kumbuka Mpesa ilivumbuliwa Kenya na sio Tanzania. Mpesa ilivumbuliwa Kenya na Safaricom April 2007. Technolojia hii ilizinduliwa Tanzania mwaka mmoja baadaye mwanzoni mwa 2008. Kwa hivyo sentensi hio ilitumika Kenya sana kabla hata teknolojia hio haijafika huko kwenu.
Screenshot_20220531-035527.jpg




Screenshot_20220531-035031.jpg
 
Nimemmis sn Magufuli, angelikuwa hai mpk ss angekuwa ndiyo kiongozi anayejulikana zaidi duniani kutoka Afrika. Alishaanza kuwateka wazungu kiasi cha kwamba wazungu walikuwa hawapitwi na hotuba zake, licha ya kwamba zilikuwa kwa lugha ya kiswahili lkn wazungu walizitafsiri. Kwangu mm Magu ndiye rais bora kabisa kuwahi kutokea Tz akifuatiwa na the late Nyerere ambaye ndiye our father of nation, japo ukimuuliza Magufuli kiongozi bora kwake ni Nyerere na hajawahi kuacha kumuimba ila mm kwangu Magufuli ni zaidi ya wote. RIP Mwamba.View attachment 2244720
I am with you all the way.

The greatest leader of all time.
 
Back
Top Bottom