Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

construction of an ultra modern fish market at Karai, Naivasha.

1653912522937.png
1653912541992.png
1653912555910.png
 
Kwahyo Watu wa mipango miji hawawezi kabisa kufanya kazi kama hii? Sijaona cha maana kwenye suala la mipango miji kwenye miji yetu mingiView attachment 2244209
Mbona ukaenda mbali kaka tuusan 😜😂, ungetumia mfano wa sehemu mingi tu in Kenya to pass your disatisfaction na Tz, Kenya kuko very organized in East Africa, licha ya mapungufu yetu..,
1653912813465.png

1653912916850.png

1653912933408.png

1653912959731.png
 
Dodoma will save face., am liking the organization ya pale, hope wa maintain the trend, tatizo ni watu kukimbilia kule kutafuta fursa za maisha na hawana uwezo!..,
Pale walijipanga mapema...hawawez tena kurudia makosa...dodoma is doing well
 
Mtu ataekuja kuwa Rais na kuja kuinvest massively kwenye viwanja vya michezo mim naona ni Majaliwa tu
sijui kwann lkn naona yey (endapo akiwa Rais) atafanya vizur sana kwenye miundombinu ya michezo
Anapenda Michezo jamaa..
Anyways hizo indoor stadium mbili zitacost 550 billion tsh plus academies nimeskia

But its okay as long as zina quality nzuri sana ..lets see.. 100 mil usd kwa each ni standard
 
Tony254 Hujawai jua the 3 reason as to why mtu anaeza kuchukia..ni as follows...You Threaten Them 2. They Hate Themselves 3. They Want to Be Like You.

I truely concur with your take..

And as much as they seem to hate us by their actions and words, but deep inside their hearts they realy adore❤ and admire us.. we are realy giving them sleepless nights, headaches, blood pressure and ulcers everyday...

And just to grace your point with a fact.... here is an example 👇🏽

On the Continental Level.
as much as kenyans doing research about South africa.. our southern tanzanian brothers and sisters are very busy wasting their bundles digging in, wanting to knw more bout this beautiful country known as kenya +254 🇰🇪 ...👇🏽
Screenshot_20220530-153404_Chrome.jpg




And now on the International Level.
kenyans we are busy wanting to know more about the mighty USA, whereas our southern neighbors, are still consistently obsessed with this wonderful country +254🇰🇪...👇🏽
Screenshot_20220530-152720_Chrome.jpg
 
Kuna hii habari hapa...Tanzania na Lesotho tunafanya vizuri kwenye road connectivity kwa 15% na Lesotho 24%...
Hilo jambo la kuunganisha mikoa na wilaya ambalo hua tunalizungumzia humu na jamaa zetu wanaona kama tunacheza ila sasa manufaa yake yameanza kuzaa matunda

Sikuacha na report ya kenya...labda mtuambie izo 10k kms ambazo Uhuru aliplan kujenga mmefikia wapi na kwann msiongoze kwa connectivity kama Tanzania na Lesotho???View attachment 2244367View attachment 2244368View attachment 2244369
Nilikuwa nacheka sn nikiona wakunya wanajilinganisha na Tz kwenye mtandao wa lami
 
Hii Zanzibar ina historia tatanishi sana. Waarabu walikuwa wanawatumikisha Waafrika kama watumwa kwa Karne nyingi. Kuna huyu Mjaluo kutoka Uganda kwa jina la John Okello alikwenda Zanzibar na kuwachinja Waarabu sana. Hii historia hatukufunzwa shuleni. Nimekuja kuisoma juzi tu humu mitandaoni.
View attachment 2244268View attachment 2244269
Waarabu wengine walitorokea Ughaibuni na mmoja wao ni yule ambaye alishinda Nobel prize in literature.
Cc joto la jiwe
Na nyie ndio mlipanga hayo mauaji sababu hamkutaka mombasa irudi kwa wenyewe. Mkaona bora kuchinja watu.

Na yule Nobel winner ana uarabu gani! Si mswahili tu wakawaida!
 
Akipita huyu mzee naamini lazima akupe shavu mana unampigania sn, all in all he deserves to be our upcoming PURT, baada ya Majaliwa aje Bashe cjali asili yake, tupa kule cz ana uwezo na anamkaribia JPM kdg, nasema kdg mana kwa hapa Africa hakujawahi kutokea Rais mwenye uwezo mkubwa kushinda JPM.
Yes Bashe ni Good Choice in terms of hardworking na kuwa na misimamo..hata mm ntampa kura
 
i truely concur with your take..

And as much as they seem to hate us by their actions and words, but deep inside their hearts they realy adore❤ and admire us.. we are realy giving them headache, BP and ulcers everyday...

And just to grace your point with a fact.... here is an example 👇🏽

On the Continental Level, as much as kenyans wastin' their bundles on doing research bout south africa.. our southern tanzanian brothers and sisters are very busy digging in, wanting to knw more bout this beautiful country known as kenya +254 🇰🇪 ...👇🏽 View attachment 2244449



And now on the International Level... kenyans we are busy wanting to know more about the mighty USA, whereas our southern neighbors, are still consistently obsessed with this wonderful country +254🇰🇪...👇🏽 View attachment 2244450
Hii obsession ni kali 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom