Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania punguzeni unafiki wa kitoto basi. Sisi ni majirani na tunajuana kwa undani hadi rangi ya chupi tulizovaa. Zanzibar pia kuna ubaguzi wa rangi dhidi ya Waafrika katika baadhi ya mahoteli na mabar. Nimesoma articles na kuona videos kadhaa ambapo tourists Waafrika wanaeleza jinsi walibaguliwa huko Zanzibar. Kwa hivyo Watanzania punguzeni shobo tunajua hata huko TZ ubaguzi unafanyika. Msijaribu kupinga kwa maana evidence ni tele mitandaoni.

Cc joto la jiwe
Leta evidence
 
According to you,lying yourself sounds good.
🙏🏽🙏🏽please. please don't crucify me dear broda...
this Info is directly fresh from Google Inc. MountainView, San Francisco, Ca. USA.. its not me for heaven sake.!
 
uongo utaacha pia na ww... hii climate kama ya kericho ama limuru mli toa wapi.!? hivi hakuna mahali tanzania inaweza kua na cool and temperate climate kama hii, kile najua nikwamba 95% tz has a tropical climate thts hot and humid all year round

nashuku sana kama hapa ni bongo View attachment 2244550
Wewe ni mpumbavu wa wapi? Nchi yenye higher altitudes than Kunyaland inaweza kubishiwa! Kuna sehemu inaitwa Lushoto ni bomba na massive zaidi ya kilimuru!
 
uongo utaacha pia na ww... hii climate kama ya kericho ama limuru mli toa wapi.!? hivi hakuna mahali tanzania inaweza kua na cool and temperate climate kama hii, kile najua nikwamba 95% tz has a tropical climate thts hot and humid all year round

nashuku sana kama hapa ni bongo View attachment 2244550
We muuza dagaa ebu ona hapa Alafu hii jana tuu huko njombe joto linashukaga mpaka 4 degrees

 
Hapa sasa umeamua kututukana na wala siyo Facts mkuu, iweje tuna utapiamlo wakati tuna organic food kibao kila sehemu, hivi unajua kuna sehemu matunda yanadondoka tu yenyewe shambani?

Siyo kwamba hatuna chakula kwasababu tunashindwa kuafford kwasababu ya umasikini la hasha! Bali ni kutokuwa makini kwa wazazi/walezi kuwapa chakula cha aina moja watoto bila kuchanganya vyakula vyenye virutubisho.

Na hizo sehemu ni chache unakuta wazazi wengi wako busy kutafuta pesa kutokana na huo msimu kuzalisha mazao ambayo ni deal kwa wengine, so wanakimbizana na hela huku wanasahau majukumu ya malezi.

Hii imewahi kutokea Kilimanjaro;sasa hawa utasema ni masikini, Bukoba; utasema ni masikini, Nyanda za juu kusini; hawa nao siyo wanyonge ila unakuta walijisahau kwenye kilimo cha miti na kuacha lishe kwa watoto, lakini wote hawa wako vizuri sana kwenye uzalishaji.

Sisi hatuna njaa,wala shida ya chakula.Malnutrition haitokani na njaa ya chakula ila ni ukosefu wa baadhi ya virutubisho kwenye chakula.

Upande wenu kama watu wenu wanakufa kwa njaa maana yake wamekosa hata maji ya kunywa, hawana kitu chochote cha kuweka mdomoni, pia serikali yenyu haina uwezo wa kuwanunulia chakula wasio na uwezo, serikali yenyu haina uwezo wa kuhifadhi chakula cha ziada baada ya kuvuna chakula chote mmekitumia chote.

Taasisi yenu ya kudeal na majanga haina uwezo wa kifedha wala maono kutunza chakula cha ziada. Msisingizie ukame viongozi wenu ni bomu.


Kiukweli kama Tanzania tuna umasikini mpaka kukosa chakula jiulize nyinyi mtakuwa na hali gani?
Umeandika kwa maumivu sana, ukweli unakera aise, sijawasingizia mimi, ni matokeo ya utafiti, zoea mtapona 😂 😂 😂
 
uongo utaacha pia na ww... hii climate kama ya kericho ama limuru mli toa wapi.!? hivi hakuna mahali tanzania inaweza kua na cool and temperate climate kama hii, kile najua nikwamba 95% tz has a tropical climate thts hot and humid all year round

nashuku sana kama hapa ni bongo View attachment 2244550
Hujaijua Tanzania ndg yangu. Nchi hii ni kubwa na kila sehemu ina hali yake ya jiografia na hali ya hewa. Southern highlands iko mpaka barafu inadondoka hasa Njombe na Mafinga, Sehemu baadhi ya Kilimanjaro hasa Marangu,Kilema, Machame kuko hivi, Arusha,Manyara hasa Mbulu, Babati kuko hivi hivi.

Mkoa wa Kagera sehemu kama Karagwe,Kyerwa, Ngara na Bukoba District council hali ya namna hii iko hivi. Tena huu mkoa ndio unaongoza kupata mvua kwa Tanzania.

Usiseme unaijua Tanzania hata sisi wazawa kuna mahali hatujawahi kufika wala kujua baadhi ya maajabu yanayopatikana hapa nchini mwetu.

Kaa kwa utulivu tuendelee kujuzana na kujifunza.
 
Hahaha Watanzania wamerogwa na Kenya. Wanatugugo sana. Usiku na mchana mtu ananunua bundle na kukaa chini kuchambua habari za Kenya.
kisha utaskia wakibisha eti kenya tunawaliwaza wao zaidi.

lakini kuukweli ni kwamba, majority of Tzs.. infact 80%+, are highly well vast about our country beb.. they realy know what's happening in here, be it our infrastructure developments, economy, politics, natural disasters, etc. take the case of Geza Ulole for instance.. infact I get most of the current kenyan news directly from him within here at JF..

And on this other hand, a majority of kenyans bearly knows anything bout Tz, let alone their current president, or even dodoma as their capital. only DiamondPlatnumz is well known here yes.. but anythng else about tz is blurred..🤔
Screenshot_20220530-175343_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom