Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unalinganishaje unplanned settlement na hizo planned shule zenu hapo chini.?
Si mwenzako alisema 90% of Nairobi ni mbovu? Sasa mbona unakasirika nikipost picha mbovu za Nairobi? Na hapo ni Eastlands tu, Donholm na Umoja! 😂 Dar is unplanned kushoto kulia kijana. Linganisha hizi tena kisha rudi na povu 😂

Dar
1653911005857~2.jpg
1653910934546~3.jpg
1653910572837~2.jpg
1653910591030~2.jpg
1653910611097~2.jpg


Nairobi (Eastlands)
1653912933408~2.jpg
1653912959731~2.jpg
1653912916850~2.jpg
 
Si mwenzako alisema 90% of Nairobi ni mbovu? Sasa mbona unakasirika nikipost picha mbovu za Nairobi? Na hapo ni Eastlands tu, Donholm na Umoja! 😂 Dar is unplanned kushoto kulia kijana. Linganisha hizi tena kisha rudi na povu 😂

DarView attachment 2244930View attachment 2244932View attachment 2244933View attachment 2244934View attachment 2244935

Nairobi View attachment 2244936View attachment 2244938View attachment 2244939
Sa mbona unaweka shule kulinganisha na makazi ya watu.?
 
Itabidi mabasi yahudumiwe kwa timetable!
Ni kweli badala ya kuondoa kwa wakatokea Mmoja. Hivi kwanini ya Kanda ya Ziwa na Kigoma yasiwe yanaanza mchana ili muda wa kufika kuanzia Kahama iwe ni asubuhi na badala ya kulala njiani yaende moja kwa moja?

Sababu ya kuyazuia ni usalama usiku wanaweza kutekwa maana yanapita sehemu zenye pori, so mchana huwa hayatekwi na kuna usalama zaidi.

Hili walifanyie kazi siyo lazima kuwalaza watu njiani kama uchovu madereva wako wawili. Mmoja anapumzika na mwingine anaendesha.
 
Back
Top Bottom