Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeandika kwa maumivu sana, ukweli unakera aise, sijawasingizia mimi, ni matokeo ya utafiti, zoea mtapona
hapana siyo maumivu nimeelezea jinsi ilivyo kaka ,sema wewe ndio uliamua kutuhukumu kwa kutusemea mbovu wakati siyo kweli bwana
 
Hahaha Watanzania wamerogwa na Kenya. Wanatugugo sana. Usiku na mchana mtu ananunua bundle na kukaa chini kuchambua habari za Kenya.
hapo ndipo kabisa mzee...
ivo kabisa Tony
Screenshot_20220530-181507_Chrome.jpg
 
Hapa sasa umeamua kututukana na wala siyo Facts mkuu, iweje tuna utapiamlo wakati tuna organic food kibao kila sehemu, hivi unajua kuna sehemu matunda yanadondoka tu yenyewe shambani?

Siyo kwamba hatuna chakula kwasababu tunashindwa kuafford kwasababu ya umasikini la hasha! Bali ni kutokuwa makini kwa wazazi/walezi kuwapa chakula cha aina moja watoto bila kuchanganya vyakula vyenye virutubisho.

Na hizo sehemu ni chache unakuta wazazi wengi wako busy kutafuta pesa kutokana na huo msimu kuzalisha mazao ambayo ni deal kwa wengine, so wanakimbizana na hela huku wanasahau majukumu ya malezi.

Hii imewahi kutokea Kilimanjaro;sasa hawa utasema ni masikini, Bukoba; utasema ni masikini, Nyanda za juu kusini; hawa nao siyo wanyonge ila unakuta walijisahau kwenye kilimo cha miti na kuacha lishe kwa watoto, lakini wote hawa wako vizuri sana kwenye uzalishaji.

Sisi hatuna njaa,wala shida ya chakula.Malnutrition haitokani na njaa ya chakula ila ni ukosefu wa baadhi ya virutubisho kwenye chakula.

Upande wenu kama watu wenu wanakufa kwa njaa maana yake wamekosa hata maji ya kunywa, hawana kitu chochote cha kuweka mdomoni, pia serikali yenyu haina uwezo wa kuwanunulia chakula wasio na uwezo, serikali yenyu haina uwezo wa kuhifadhi chakula cha ziada baada ya kuvuna chakula chote mmekitumia chote.

Taasisi yenu ya kudeal na majanga haina uwezo wa kifedha wala maono kutunza chakula cha ziada. Msisingizie ukame viongozi wenu ni bomu.


Kiukweli kama Tanzania tuna umasikini mpaka kukosa chakula jiulize nyinyi mtakuwa na hali gani?
Yeye mwenyewe anajua fika chicken consumption in Tanzania ni 36% Uganda 6% and Kenya 3% hapo hakuna mjadala mzee.
 
ie. its Google Trends from Google themselves..
this statistics were directly sourced from Google Inc. Hq. in Mountain View, San Francisco. Ca. USA
Hakuna kitu kama hicho, Kenya ndio ina fuatilia zaidi Tanzania kuliko hata nchi yao, angalia tu kwenye maneno yenu ya mitaani mnayoongea 90% yametoka Tanzania

Mfano wa misimu ya Tanzania inayotumika Kenya

Kimeumana
Tuma na ya kutolea
Utajua hujui
Huendi Mbinguni
Tanzania sihami
Kwa ground vitu ni tofauti
Hapa Kazi tu
Utajibeba
Hunipangi (hatupangwingwi)
Nk

Hii ni ishara inayoonesha mnafuatilia sana Tanzania, huku Tanzania ikiwa haina influenced by Kenya kabisa, sio miziki wala Maigizo, hakuna mtanzania anaemjua mwanamziki wa kenya wala muigizaji huko mitaani.
 
kisha utaskia wakibisha eti kenya tunawaliwaza wao zaidi.

lakini kuukweli ni kwamba, majority of Tzs.. infact 80%+, are highly well vast about our country boo.. they realy knw what's happenin' down here, be it our infrastructure developments, economy, politics, natural disasters, etc. take the case if Geza Ulole for instance.. infact I get most of whts goin' on down here directly from him here at JF..

And on this other end, a majority of kenyans bearly knows anything bout Tz, let alone their current president, or even dodoma as their capital. only DiamondPlatnumz is known but not the president.. View attachment 2244621
Hapo sijaelewa kitu hiyo barua yote ndefu sijapata content yoyote bora ungeandika kijaluo tuu uachane na lugha za kitumwa
 
Hawa wenzetu Duu, hapana aisee...

Mkuu Kenya ni chafu mno, maeneo mengi karibia over 99% ya Kenya nzima ni pachafu, sehemu iliyo safi Kenya ni ikulu pekee japo pia kuna slums pembeni ya ikulu. Ofcz Kenya na Nigeria ndio nchi chafu zaidi Afrika na pengine zimo kwenye top ten ya dirtiest countries in the world.
 
Hakuna kitu kama hicho, Kenya ndio ina fuatilia zaidi Tanzania kuliko hata nchi yao, angalia tu kwenye maneno yenu ya mitaani mnayoongea 90% yametoka Tanzania

Mfano wa misimu ya Tanzania inayotumika Kenya

Kimeumana
Tuma na ya kutolea
Utajua hujui
Huendi Mbinguni
Tanzania sihami
Kwa ground vitu ni tofauti
Hapa Kazi tu
Utajibeba
Hunipangi (hatupangwingwi)
Nk

Hii ni ishara inayoonesha mnafuatilia sana Tanzania, huku Tanzania ikiwa haina influenced by Kenya kabisa, sio miziki wala Maigizo, hakuna mtanzania anaemjua mwanamziki wa kenya wala muigizaji huko mitaani.
Ukweli mchungu
 
Wewe ni mpumbavu wa wapi? Nchi yenye higher altitudes than Kunyaland inaweza kubishiwa! Kuna sehemu inaitwa Lushoto ni bomba na massive zaidi ya kilimuru!
Zio Lushoto tu hata Handeni pia.

Mimi niliishi maeneo ya Amani hadi Kwamkoro, Misitu iliyo kule huwi ona kokote huko kenya na ni nyanda za juu hasa maana jua huonekana nadra sana na si kali na maji ni baridi from january to december ila kuna mvua kubwa mno.
 
Back
Top Bottom