Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Great

Sector wengine ya usafiri kama boda, taxi, bajaji, daladala nao wafaidike kwa kuwatoa au kuwapeleka abiria hapo magufuli terminal.. kwa wale wa southern Dar, wazo la terminal nyingine maeneo ya mbagala huko ndo mda wake sasa kuwa implemented
 
I once told some people here that Mwanza port has no muscles to compete with Kisumu.
Screenshot_20220530-165950.png
 
🤣🤣🤣kenya maralal,lodwar,lokichokogio,tana river,nyeri,muranga,maua,garissa kakakuma dadaab etc mfano did you know kuna sehemu ukielekea kakuma kama hamna dumu la maji hampiti mnatumia kama entrance fees!
Hahaha sikuwa najua hilo.
 
Kuna Wakenya vichwa mbaya. Jamaa anapiga 180 kph kwenye expressway. Kutoka Westlands hadi JKIA distance ya 27 kilometres jamaa anapiga na 7 minutes.

Sheria zinaruhusu au ameamua liwalo na liwe tu barabara mkeka mwendo mdundo nini shida.
 
kenya maralal,lodwar,lokichokogio,tana river,nyeri,muranga,maua,garissa kakakuma dadaab etc mfano did you know kuna sehemu ukielekea kakuma kama hamna dumu la maji hampiti mnatumia kama entrance fees!
Majina mengine jamani, dah!!
 
Great

Sector wengine ya usafiri kama boda, taxi, bajaji, daladala nao wafaidike kwa kuwatoa au kuwapeleka abiria hapo magufuli terminal.. kwa wale wa southern Dar, wazo la terminal nyingine maeneo ya mbagala huko ndo mda wake sasa kuwa implemented
Hii Magufuli stend itaweza ku-accomodate magari yote kweli ya mikoani naona kama patajaa sana na kuleta usumbufu na msongamano mkubwa
 
Back
Top Bottom