Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

She needs to learn to catch her breath, that shallow breathing of her aint good for her health. She seems to have a lot of anxiety.

Hypoventilation increases the amount of Co2 in the body, which leads to other health issues.
Hapa haujasema ila umeongea neno kuntu mkuu.
 
Wewe ni mjinga sana. Mambo haya ya uchumi wachana nayo. Nabakia na kauli yangu kwamba Seychelles is the richest country in Africa.
Even Tanzania is the richest country in Africa maskini anakula organic honey, organic milk, organic food sasa nenda kwa shelves za ulaya uulize bei ya hivi vitu ndio ujue a poor person in TZ anatumia dollar ngapi kwa siku.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
#makumbusho
IMG_20220526_010006.jpg
 
Niliuliza hili swali, kwahiyo per capital ni kipato cha mtu mmoja mmoja au GDP ni utajiri wa nchi nzima?
Per capita nikipato cha mtu moja moja kinapatikana kwa kugawanya pato la taifa na namba ya watu,GDP= total goods and service produced within a country at certain period.
Pia idadi ya watu na GDP vinachangia zaidi kujua ukubwa au udogo wa pato la mtu moja moja katika nchi,
 
Ndio the richest country in Africa. Kila mtu ana umeme huko. Karibu kila mtu ana maji. Karibu kila nyumba ina lami mlangoni. Wana highest gdp per capita in Africa. Wako kundi la high income countries. Majengo marefu sio utajiri. Wanaweza kuwa hawana skyscrapers lakini wao ndio matajiri wa Afrika. Hata Europe haina skyscrapers nyingi lakini ni matajiri sana. Usipime utajiri wa nchi kwa urefu wa majengo.
kanchi hata hakana uwezo wa kujilinda, utakaitaje tajiri. Unajua kuwa Tanzania iliwahi kuilinda hii nchi kijeshi dhidi ya Afrika kisini?
 
Tanzania is the 3rd largest Gold producer on the continent behinds Ghana And S.A...
Mining kwa ujumla wake hutengeneza $2.5B kwa mwaka ...inawezekana ndio maana Tsh imekua stable against $for 5 good yrs View attachment 2238506
Iyo zamani mzee kipindi jpm anakufa tulikua tushafika 3 b tayar by saivi tunaweza tukawa 3.5 kama kasi ya uzalushaji haikupungua na kingine kuna mgodi mwingine wa dhahabu utaanza kufanya kazi mda sio mrefu kwaiyo 4 b mwakani tunaichungulia
 
Kumbe Kenya ukitoka chooni unasaini visitors book? Hii nchi akyamungu ni vituko daily[emoji23][emoji23]

View attachment 2238534
Sometimes understand the story behind something before just posting around. I believe thats a paid for toilet so the owner makes the attendant keep records... Not the best way but to them I believe it works. In Kenya most public toilets are paid for to facilitate people who keep them clean tissues and water bills used. I prefer they could have written record book to visitors book
 
Dar ni wapi tuna public park ambapo unaweza tu ukaenda kupumzika mchana ukakuta pametengenezwa vizuri majani yamekatwa na kumwagiliwa maji na kutunzwa ? Wapi kuna bustani ya wote Dar ?
Park zilikuwepo nyingi tuu mjini, sema kilipita kipindi, viongozi wetu wakawa hawajali. Mfano, hapo Gymkhana, zamani kulikuwa na viwanja vya kuchezea kikapu (Pazi), wakajenga hoteli.

Fukwe ya posta ya zamani wakaziwekea senyenge, mnazi mmoja wakaifunga, pale palipokuwa mabembeani (mtaa wa Samora) napo wakala kichwa. Imebaki botanical garden, dengu beach na coco beach tuu sasa.

Panatakiwa uamuzi tuu wa kiongozi mwenye uelewa kurudisha kama ilivyokuwa zamani.
 
Why dont Kenyans just support their own 🤦🏿‍♂️View attachment 2238795
because with the exception of a handful of artists, Kenyan music for the most part is sh!t and lacks originality/uniqueness.

I don't even like bongo flava but it has a unique sound and therefore people gravitate to that. this is the BIGGEST lesson Kenyan artists should be learning from bongo flava.

as far as I am concerned, sauti sol are almost single handedly trying to give Kenyan music an authenticity. everyone else is running to make some cheap, chewing gum gengetone that gets airplay for 2 weeks and everyone forgets about it and it does not appeal to anyone outside of Kenyan borders.

as cliche as this might make me, the only African music I listen to on a daily basis is afrobeat and amapiano....I can't get enough of that amapiano log beat. it's just banging!!!!
 
Back
Top Bottom