Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona jinsi unavyo display your stupidity here! Soma tena hapo juu[emoji115]maelezo yako then ujifanyie self evaluation on your thinking capacity.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nimesoma na imeandikwa vizuri military deployment wakaweka comma then use of UAVs which they have not specified the type, hivi hujui kusoma how punctuations are used. Anyway tuonyeshe hizo drone wacha kulia lia wewe keyboard warrior mshamba.
 
Sielewi kwa nini watu wanakupinga mawazo yako
Anachosema Tony sio sahihi yeye anaangalia meli ambazo zipo under construction ambazo 2 zitakuwa lake tanganyika 2 lake victoria japo kila lake ina meli ambazo zinafanya kazi kwenye hayo maziwa. Nadhani Tanganyika kuna meli zaidi ya 3 na victoria ziko nyingi sana pia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Punguza hasira za kitoto. Sipingi kwamba mna bandari kadhaa tayari. Mimi ninachoangalia hapa ni kwamba Tanzania bado ina potential kubwa zaidi ya kusafirisha mizigo za DRC. Otherwise mbona mnazidi kuexpand port zenu za maziwa? Mbona mnazidi kujenga meli kubwa zaidi? Obviously ni kwa sababu idadi ya mizigo nayo inazidi kuongezeka. Nipo sure mnahitaji meli kubwa kadhaa hio meli moja kubwa ziwa Victoria na moja kubwa ziwa Tanganyika hazitoshi.

DRC na UG ni nchi kubwa mzee huwezi kuniambia eti hizo meli kubwa mbili zinatosha. Kama unahisi kwamba tayari mna bandari za kutosha basi wekeni nguvu zenu kwenye kujenga meli zingine kadhaa ili kurahisisha trade kati ya hizi nchi tatu kubwa Uganda, DRC na Tanzania. Meli mbili kubwa kamwe hazitoshi.

Mwisho kabisa, Kenya haitegemei sana ziwa Victoria kusafirisha mizigo yake hadi nchi za jirani kama nyie mnavyoitegemea ziwa Victoria na Tanganyika. Najua nikisema mnastahili kununua cranes na vifaa vya kisasa pia utakasirika japo ni advise nzuri.
kwani kwenda DRC hujaskia mradi wa SGR uliosainiwa au upimbi unakusumbua!? BTW kuna meli mbili (wagon ferry na PAX ship) zinajengwa Lake Victoria na mbili (wagon ferry na PAX ship) Lake Tanganyika! Mikataba na fedha zishatengwa! Nyie mna obligation Kisumu hapo mnajenga wagon ferry moja halafu unapiga kelele! je mngekuwa sie ambao tunafanya rehabilitation kwa several ships ingekuwaje?
 
Been watching Tanzanians in several forums and online spaces Sana lately, I think I now understand where they coming from ... I believe most of them had not exposed themselves to the outside world that much and there leaders had made them believe they the best In most things. Now with most of them getting exposure via the internet they find it hard to comprehend that they aren't the best in some of the things they believed they good at. They end up living a lie claiming the west is against them, calling every data cooked data, niliona mwingine akichekelewa reddit and I really felt for him
Why never used a language you are comfortable with, such as your native tongue?

English is way beyond you.
 
angalia vizuri hiyo ni drone ndani ya suitcase na mwengine ameshika joystick pad trying to pull the antenna!
🤣 🤣 🤣hii ndio wanatumia.

Get a folding drone with a 4K camera and extra batteries starting at $75 |  ZDNet
 
Anachosema Tony sio sahihi yeye anaangalia meli ambazo zipo under construction ambazo 2 zitakuwa lake tanganyika 2 lake victoria japo kila lake ina meli ambazo zinafanya kazi kwenye hayo maziwa. Nadhani Tanganyika kuna meli zaidi ya 3 na victoria ziko nyingi sana pia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Na isitoshe ununuzi wa meli ni mpango endelevu! Kanchi kana kaziwa kamoja kanawashinda je wangekuwa na maziwa makuu matatu na bandari za pwani ingekuwaje? Ni wivu unamsumbua maana hamna nchi inajitahidi kimiundombinu EAC kama Tanzania!
 
kwani kwenda DRC hujaskia mradi wa SGR uliosainiwa au upimbi unakusumbua!? BTW kuna meli mbili (wagon ferry na PAX ship) zinajengwa Lake Victoria na mbili (wagon ferry na PAX ship) Lake Tanganyika! Mikataba na fedha zishatengwa! Nyie mna obligation Kisumu hapo mnajenga wagon ferry moja halafu unapiga kelele! je mngekuwa sie ambao tunafanya rehabilitation kwa several ships ingekuwaje?
Pimbi ni wewe na nyanyako. Sasa leta evidence ya rais wa DRC Tsishekedi aki-sign contract ya ujenzi wa SGR.
 
Wanazaliana mno kama panya

Tanzania elimu ya msingi mpaka o level secondary ni bure na hakuna mtoto mwenye umri wa kuwa shule asipelekwe shule lakini cha kushangaza idadi ya wanafunzi wa primary schools in Kenya ni wengi almost mara 2 ya Tanzania

Hii inatoa picture, Kenya Wanazaliana mno na idadi yao ni kubwa.
Si wanapigana pumbu mpk kwenye recreational parks unategemea nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio maana nakuambia wewe ni keyboard warrior mshamba, tuonyeshe drones zenu za military wachana na za kikosi cha wanyama pori, KWS wanatumia drones zao na hawasaidiwi na military. Wewe keyboard warrior mshamba Counter drone sytem hamna, drone za military mtatoa wapi sasa. Wewe mshamba badala utuonyeshe hizo drone unatuonyehsa pembe za ndovu, tutajuaje kama wanatumia normals drones kama dji phantom 4 [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hebu tuoneshe drone za Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
And I answered just that you dint understand. Tanzaniabreal GDP is not 77b for now the 77 is just a projection
Do you even understand the difference between projection and outlook?
Screenshot_20220502-170702.jpg
Screenshot_20220502-170713.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20220502-170713.jpg
    Screenshot_20220502-170713.jpg
    51.4 KB · Views: 26
Back
Top Bottom