Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sychelles capital 👇😂😂😂 .. it is said to be a rich country in Africa
IMGP0813.jpg
 
Sychelles capital 👇😂😂😂 .. it is said to be a rich country in AfricaView attachment 2238205
Ndio the richest country in Africa. Kila mtu ana umeme huko. Karibu kila mtu ana maji. Karibu kila nyumba ina lami mlangoni. Wana highest gdp per capita in Africa. Wako kundi la high income countries. Majengo marefu sio utajiri. Wanaweza kuwa hawana skyscrapers lakini wao ndio matajiri wa Afrika. Hata Europe haina skyscrapers nyingi lakini ni matajiri sana. Usipime utajiri wa nchi kwa urefu wa majengo.
 
Wacha kujiaibisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kujiaibisha ni kukosa a very important hardware like that in your country. Na huwa nikisema jeshi lenu ni maskini mnaona vibaya.
 
Elimu ya msingi ni bure Kenya. Kibaki alileta elimu ya bure Kenya mwaka wa 2003. Yaani wewe naona hujui lolote kuhusu Kenya.
Only a fool can compare the two. Wachana na hawa bongolala hawapendi kuambiwa wako nyuma lakini ukweli haufichiki. 🤣🤣🤣

1653481401215.png


1653481753162.png
 
Na isitoshe ununuzi wa meli ni mpango endelevu! Kanchi kana kaziwa kamoja kanawashinda je wangekuwa na maziwa makuu matatu na bandari za pwani ingekuwaje? Ni wivu unamsumbua maana hamna nchi inajitahidi kimiundombinu EAC kama Tanzania!
Hapo bado hatujaweka meli 2 zinazotengenezwa hivi sasa kwa ziwa Nyasa pia

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tanzanian army is one of the poorest armies in Africa. You will never see a bomb diffusing and disposal robots in Tz while in Kenya there are several.




gettyimages-1236226619-2048x2048.jpg
Shutterstock_6777909a.jpg
 
Back
Top Bottom