Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
This is a secondary schooling wewe fala.
This is a secondary schooling wewe fala.
Yes they are primary school dropouts and that's what our able Education CS Prof Magoha anapambana kumaliza. Hataki kuona mtoto yeyote hajaproceed from primary to high school. TVETS, Colleges na Universities are tertiary level of education which comes after kumaliza masomo ya High school. Mbona wabongo mnapenda kudisplay ujinga wenu mbele ya dunia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaweza kuniletea ushahidi kwamba hizo ni secondary schools?This is a secondary schooling wewe fala.
Are these look like dropouts?Yes they are primary school dropouts and that's what our able Education CS Prof Magoha anapambana kumaliza. Hataki kuona mtoto yeyote hajaproceed from primary to high school. TVETS, Colleges na Universities are tertiary level of education which comes after kumaliza masomo ya High school. Mbona wabongo mnapenda kudisplay ujinga wenu mbele ya dunia.
huyu ni waziri wa fedha, Ukur Yatani, mwezi uliopitaEvid3nce kwamba mlikuw kwa 7.5...kichwa maji
Wewe na hio akili yako ndogo unadhani kila mtu ako kwa TVET ni primary school dropout. 🤣 🤣 🤣 Ukona very low critical thinking skills.
Secondary school and secondary schooling are two different things. Peleka ujinga wako mbali.Unaweza kuniletea ushahidi kwamba hizo ni secondary schools?
View attachment 2238351View attachment 2238352View attachment 2238353View attachment 2238354View attachment 2238355View attachment 2238356View attachment 2238357
Kenya sio kama bongo where TVET is for failures. 🤣🤣🤣
Sisi tununue boeing planes cash tushindwe kununua huo upuuzi toy.
Wewe ni taahira unaemuita primary education graduate, dropoutWewe na hio akili yako ndogo unadhani kila mtu ako kwa TVET ni primary school dropout. 🤣 🤣 🤣 Ukona very low critical thinking skills.
Ninyi wenyewe mmeblow mlipoona standard 7 leavers wanasoma kwenye mazingira hata Universities zenu zinakosa 😂😂😂😂Secondary school and secondary schooling are two different things. Peleka ujinga wako mbali.
Waiba mikate [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa mkuu wako allergic na ithibati.We mpumbavu kweli, Watanzania wengine wakimaliza primary wanaenda kwenye vocational training colleges, sio wote wanaenda secondary schools
Ndio maana pamoja na hivyo tupo juu yenu kielimu
View attachment 2238269View attachment 2238270View attachment 2238271
English oral skills imetokea wapi sasa? Wewe ni primary school drop out ju inaonekana ukona shida na basic comprehension. 🤣 🤣 🤣Wewe ni taahira unaemuita primary education graduate, dropout
Anyway sikushangai, English is a problem for most than 60 million kunyans 😅😅😅
View attachment 2238372
Ila nyie watu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wakati huku kwetu ni basic need tunatumia kutolea hangover 😀
Nasubiri mtu aseme ka Nairobi kanaizidi Dar kwa miti.
Na ndio maana miradi yenu yote mchina ndio anafanya kila kitu, njoo Tanzania uone watoto wadogo wana operate heavy duty machines mpaka mchina anashangaa, go to our mining sites, all machines are operated and attended by young locals kama wamezaliwa nazo vile 😅😅😅😅Kenya sio kama bongo where TVET is for failures. 🤣🤣🤣
Hii Budget kwenye sector za barabara its just shit..mwaka mzima tunajenga lami almost 600km apart from barabara za zege na BRT unless nmesoma vibaya...Sasa hizi sehem nyingine waweke design tofauti sio mabey kila kona, ili kupata vitu bora zaidiiiiView attachment 2238302