Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpira hauchezwi na FIFA rankings. If that were the case, you could have easily beaten Guinea Bissau coz you rank higher than them
There is nothing unaweza kujitetea on eritrea a team ambayo haijagusa mpira 9 years alafu mnadraw kwenu 🤣🤣🤣
 
Running track? Hapa?
View attachment 3680417
🤣🤣🤣🤣
Napenda jinsi mnajifariji mibongolala

Hiyo ni running track ya lanes mbili ama nane as usual?😂😂
According to his reasoning the hata hii Betnabue pia ni stadium ya mbio😂😂

See how fans are far away from the touchline as compared to Talanta Stadium.

Bernabue
1000418270.jpg


Talanta Stadium
1000418260.jpg


Emirates Stadium
1000419285.jpg


Tottenham Stadium
1000419287.jpg


Old Trafford
1000419288.jpg
 
Have you ever noticed that anytime when he is cornered he will always bring up this picture? Meaning kwa picha zake zote huwa anaona hii yenye anaonekana mshamba ndio amepiga luku kabisa😂
Alafu anazilinganisha na picha za Wakenya ambazo walipiga wakiwa shughuli zao tu hata hawana habari na bado anaonekana mshamba. 😂😂
 
sasa jamaa mlikua mnambishia nn alivokua anawaambia kutabaki huge space pemben, 🤣 🤣 🤣 alafu sisi tunajenga olypmpic stadiums shida iko wap? 🤣🤣🤣🤣
View attachment 3680328

Kuna jamaa alisema apa kocha inabidi abook nganya aende kuongea nao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unapenda kuchukua picha za hii stadium unazipiga screenshot na simu yako ya matakataka alafu unazipost zikiwa poorer quality na unajiona umefanya kitu cha maana sana. Hivi ni simu nzuri huna ama ni roho mbaya tu?
 
Kenya na uganda bado hawana sifa za ku host michuano mikubwa, tena bora uganda na viwanja vyao below standard, lkn Kenya wana kiwanja kimoja tu chenye caf standard na wanashindwa kumeet requirements. Tz imezungukwa na nchi maskini sn aisee.
Kenya has hosted:-
Kenya.png

Now, show us what Tanzania has hosted.
 
Back
Top Bottom