babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,302
- 35,722
Baba wa miundombinu Africa.
Thinking we're always in a competition, this post is basically posting about Kenyan pimped up matatus [emoji1787].
Kuna mijitu ina miroho mibaya haitapenda haya maneno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba wa miundombinu Africa.
Kuna mijitu ina miroho mibaya haitapenda haya maneno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ni mjinga sana. Mambo haya ya uchumi wachana nayo. Nabakia na kauli yangu kwamba Seychelles is the richest country in Africa.Is Sychelles the richest country in Africa, not Nigeria any more?, Kweli kichwa yako huwa imejaa kamasi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Pugu kifuru hadi bunju njia 6 iko katika manunuzi 34kmView attachment 2238258
Huyu maza mi namkubali sana, Anajua kabisa nani anastahili sio mnafikiBaba wa miundombinu Africa.
Zake zinakuja tena nyingi tuu..na akimaliza ngwe yake ya Urais atakuwa busy huko Duniani kama JK tuu maana saizi Wanawake wa Africa wanamuangalia kama mfano wa kuongoza Nchi kubwa kama Tanzania.Huyu maza mi namkubali sana, Anajua kabisa nani anastahili sio mnafiki
Wanataman asingesema hivyo kabisaa[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna mijitu ina miroho mibaya haitapenda haya maneno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnyonge mnyongeni akiyake apewe[emoji106][emoji106]Baba wa miundombinu Africa.
Malizia kwa per capital...sio kwa GDPWewe ni mjinga sana. Mambo haya ya uchumi wachana nayo. Nabakia na kauli yangu kwamba Seychelles is the richest country in Africa.
Inabidi tuminye kichwa tuyakamue!Is Sychelles the richest country in Africa, not Nigeria any more?, Kweli kichwa yako huwa imejaa kamasi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe huko university Nina uhakika ulikua unapata chini ya grade "D", hujui lolote kuhusu uchumi, hovyo Sana wewe.Wewe ni mjinga sana. Mambo haya ya uchumi wachana nayo. Nabakia na kauli yangu kwamba Seychelles is the richest country in Africa.