Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Mbona kwenye daraja la Tanzanite hakuweka picha yake?Huyu maza mi namkubali sana, Anajua kabisa nani anastahili sio mnafiki
Mbona kwenye daraja la Tanzanite hakuweka picha yake?Huyu maza mi namkubali sana, Anajua kabisa nani anastahili sio mnafiki
Wakunya watakuja kukuambia iko kiwanda cha jeans ni cha mkunya!
Angalia ujasiri wa askari wetu,huyo mwamba wa alieshika chupa nimemvulia kofia 😀, aisee 😀😀Mkuu,hii ilikuwaje mbona siikumbuki?Naomba unikumbushe tena.
Hawa wanacheka mazoezi ya askari wetu pasipo kujua ndio mazoezi ya utimamu wa mwili, wana mazoezi laini laini na mepesi wanazidiwa na JKT.
Niliwahi kusema hapa, kula vyakula vya organic kwa nchi tajiri ni anasa. Wanazo mpaka supermarket, kama wholefoods market, kwaajili ya organi food tuu, ambapo kama hauna uwezo kifedha huwezi tia mguu.Even Tanzania is the richest country in Africa maskini anakula organic honey, organic milk, organic food sasa nenda kwa shelves za ulaya uulize bei ya hivi vitu ndio ujue a poor person in TZ anatumia dollar ngapi kwa siku.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Al Shabab walipovania Nairobi kwenye Mall na kuua askari mmojawapo alikuwa Samantha the black widow kawachakaza halafu akasepa hawakuweza kumkamata. Samantha ni mzungu wa UK ambaye anajihusisha na ugaidi na alikuwa ameolewa na jamaa ambaye ni Al Shabab.Mkuu,hii ilikuwaje mbona siikumbuki?Naomba unikumbushe tena.
Hawa wanacheka mazoezi ya askari wetu pasipo kujua ndio mazoezi ya utimamu wa mwili, wana mazoezi laini laini na mepesi wanazidiwa na JKT.
Ukipenda kajinyonge. Narudia kwa mara ya tatu kwamba Seychelles is the richest country in Africa. Sitabadilisha kauli yangu kwa sababu chokoraa fulani wa JF anapinga.Wewe huko university Nina uhakika ulikua unapata chini ya grade "D", hujui lolote kuhusu uchumi, hovyo Sana wewe.
The richest country in the World is USA with GDP of about $20trl and per capita of around $60K. While Qatar with GDP of $250B, and per Capita of $160K, almost three times of that of USA, which is the richest country among the two?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hilo jk zee sengeerema tuDah, Magu tutamkumbuka sana kwa hili, Jk alikuwa anaipaisha dola utadhani wanamlipa.
Usiwe na shaka ....yoyote juu ya nilicho sema ....time will tell..... after 6 months from now you get answer of what i sayTime will tell you can't be a prophet to tell
Anaenda na kundi la werevu walioshikilia powers na si vinginevyo...Itategemea ni makundi gani yanahusika. Tuishie hapa.Ni vizuri akipenda na kundi kubwa la watu,au watu wote kabisa.
CCM NI MAVIIPark zilikuwepo nyingi tuu mjini, sema kilipita kipindi, viongozi wetu wakawa hawajali. Mfano, hapo Gymkhana, zamani kulikuwa na viwanja vya kuchezea kikapu (Pazi), wakajenga hoteli.
Fukwe ya posta ya zamani wakaziwekea senyenge, mnazi mmoja wakaifunga, pale palipokuwa mabembeani (mtaa wa Samora) napo wakala kichwa. Imebaki botanical garden, dengu beach na coco beach tuu sasa.
Panatakiwa uamuzi tuu wa kiongozi mwenye uelewa kurudisha kama ilivyokuwa zamani.
Sasa utabadilishaje kauli Kama hujui unalozungumza?, Mjinga ni mtu ambaye akielimishwa anajua na kukubali makosa, ila mpumbavu hakubali kubadilika, anaendelea na upumbavu wake hadi anaingia kaburiniUkipenda kajinyonge. Narudia kwa mara ya tatu kwamba Seychelles is the richest country in Africa. Sitabadilisha kauli yangu kwa sababu chokoraa fulani wa JF anapinga.





Mother fala sana huyo .... kifo cha magufuli ana husika .. na mm natabiri kuwa huenda akawa rais wa kwanza tz kwenda jela .Mbona kwenye daraja la Tanzanite hakuweka picha yake?
Wacha niendelee na upumbavu wangu. School drop-out kama wewe unajaribu kunifundisha mambo ya uchumi?Sasa utabadilishaje kauli Kama hujui unalozungumza?, Mjinga ni mtu ambaye akielimishwa anajua na kukubali makosa, ila mpumbavu hakubali kubadilika, anaendelea na upumbavu wake hadi anaingia kaburini
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
😂😂😂 Keyboard worriers bhana.. kwenye mambo ya skyline hakuna taifa lolote duniani linaweza top china .. halafu China itself has more than 500 cities ambapo hiyo Nairobi haiwez kaa kwenye sentence moja with any . Ndio utaje eti NAIROBI itokee kwenye top 500 skylines in the world.. 😂😂😂, which world ar you talking about.?TOP 500 CITIES SKYLINE RANKING BY SCORE/POINTS. Ĺast Updated Dec. 2020
(it realy pains😖😖 to learn that dar did not get enough points tht would place it somewhre at top 500)
let us joke here at home, yes.., but when it comes to the world stage.... let everyone stick to his lane. nairobi enters the hightable whereas darslam remain behind to queue for rice+3potatoes+3pc of meat with the general public including tht mad woman i always see in the market
View attachment 2238808View attachment 2238809View attachment 2238810View attachment 2238811View attachment 2238812View attachment 2238813View attachment 2238814
Watanzania kwa mara ya mwisho, sio per capital ni per capita. Wengine wenu mnaudhi.Niliuliza hili swali, kwahiyo per capital ni kipato cha mtu mmoja mmoja au GDP ni utajiri wa nchi nzima?
Mwingine huyu hapa.Malizia kwa per capital...sio kwa GDP
Wah am shocked. Kweli dar-is-a-slumTOP 500 CITIES SKYLINE RANKING BY SCORE/POINTS. Ĺast Updated Dec. 2020
(it realy painsto learn that dar did not get enough points tht would place it somewhre at top 500)
let us joke here at home, yes.., but when it comes to the world stage.... let everyone stick to his lane. nairobi enters the hightable whereas darslam remain behind to queue for rice+3potatoes+3pc of meat with the general public including tht mad woman i always see in the market
View attachment 2238808View attachment 2238809View attachment 2238810View attachment 2238811View attachment 2238812View attachment 2238813View attachment 2238814
Keyboard worriers 😂😂😂Wah am shocked. Kweli dar-is-a-slum
Kama uhuru kajenga barabara mbona asiitwe kupewa tuzo? Au nyie mko AsiaIngekuwa amejenga barabara Kila corner hamngekuwa mnang'ang'ana kuvuka 9,000km of paved roads. What Uhuru has built in 10yrs is more than what all Tanzanian Presidents have done in 65yrs.
View attachment 2238664