tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Ni per capita boyNiliuliza hili swali, kwahiyo per capital ni kipato cha mtu mmoja mmoja au GDP ni utajiri wa nchi nzima?
Ni per capita boyNiliuliza hili swali, kwahiyo per capital ni kipato cha mtu mmoja mmoja au GDP ni utajiri wa nchi nzima?
Kama moro town tu tena wanaweza chapwamara.. wengine wanasema hooo.. eti burundi ni failed-state.
hivi burundi hapa kwa ubora wake
View attachment 2238680View attachment 2238681View attachment 2238682View attachment 2238683View attachment 2238684View attachment 2238685
Park zilikuwepo nyingi tuu mjini, sema kilipita kipindi, viongozi wetu wakawa hawajali. Mfano, hapo Gymkhana, zamani kulikuwa na viwanja vya kuchezea kikapu (Pazi), wakajenga hoteli.
Fukwe ya posta ya zamani wakaziwekea senyenge, mnazi mmoja wakaifunga, pale palipokuwa mabembeani (mtaa wa Samora) napo wakala kichwa. Imebaki botanical garden, dengu beach na coco beach tuu sasa.
Panatakiwa uamuzi tuu wa kiongozi mwenye uelewa kurudisha kama ilivyokuwa zamani.
Sidhani Kama umefikia chuo Kikuu wewe, uwezo wako wa akili unatia shaka, labda chuo ulichofika ni chuo Kikuyu lakini sio chuo KikuuWacha niendelee na upumbavu wangu. School drop-out kama wewe unajaribu kunifundisha mambo ya uchumi?





Hilo ndilo mnalolijua zaidi, kurekebisha lugha ya kiingereza, nje ya kiingereza hamjui lolote ninyi, shuleni hamkazanii kitu lingine zaidi ya KiingerezaWatanzania kwa mara ya mwisho, sio per capital ni per capita. Wengine wenu mnaudhi.



katika viongozi nisiowapenda ni JK, sikumpenda toka alipotudhulumu kiongozi safi, Dr. Salim, halafu karudia tena kutudhulumu.Hilo jk zee sengeerema tu
Hayo ni mambo Yako binafsikatika viongozi nisiowapenda ni JK, sikumpenda toka alipotudhulumu kiongozi safi, Dr. Salim, halafu karudia tena kutudhulumu.
Dah, mi sijui kilichotokea manaake Magu mwenyewe alikuwa kama anatuaga na kutoa wosia kila akitoa hotuba.Mother fala sana huyo .... kifo cha magufuli ana husika .. na mm natabiri kuwa huenda akawa rais wa kwanza tz kwenda jela .
Yapi hayo?Hayo ni mambo Yako binafsi
Angepewa tuzo Uhuru sasaLAPSSET is costlier than all Tanzanian projects placed together.






Sijui kulitokea nini Kipindi cha Mzee Mkapa labda yalikuwa ni masharti ya WB, maana hawa jamaa kupata pesa zao huwa na masharti ya nusu shari nusu ushirikina.Ndicho nilichomaanisha kwanza nakumbuka hata Magomeni zamani kulikuwa na bustani ya miti kubwa na nzuri sijui siku hizi sijaenda huko siku nyingi, tofauti na Nairobi Parks zote zipo na zinatumika na wananchi wa kawaida!
Ka Nairobi kana pori na vimajengo vichache Dar lina majengo na miti mingi. So ka Nairobi hakaiwezi Dar kwa vyote, si area, buildings wala trees, just accept it and move on.Sio wewe unacheka Nairobi kila mara ukisema Nairobi ni pori![]()
Sijui kulitokea nini Kipindi cha Mzee Mkapa labda yalikuwa ni masharti ya WB, maana hawa jamaa kupata pesa zao huwa na masharti nusu shari nusu ushirikina.
Weka na ww simu yako tuione.Hio ni simu ya mtanzania mwenzako humu.
Asante kwa render.Nairobi is a construction site
Hii ya Coco beach ni Magu ndiye aliyemwekea Manji kauzibe. Sasa Lukuvi wamemtoa halafu prince ndo kawekwa kusaidia kushikilia mpini. Na mama kashasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, sasa watoto wetu Eid al fitr na Chrismas wataenda wapi?Ninachojua kwa mfano Nairobi walifight sana kuokoa hizo parks tayari wanasiasa walishazichukuwa kutaka kujenga skyscrapers, kuna yule mama mpaka alipata nobel prize hivyo siyo rahisi ni mwamko hata sisi tunahitaji mwamko mfano sasa hivi hata Coco beach tunaenda kuipoteza kwa maana tayari Manji alishaanza kupiga uzio Lukuvi akampiga biti, hivyo ni swala la muda tu Coco beach itaenda pia!
Oohh u mean the NYC of Africa.aaahh... pole, namaanisha kariakoo