Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaelewa ulichokisema?

Ndiyo labda unaweza kunisahihisha lkn Dar sijaona public park kama vile Uhuru Park Nairobi hata botanic garden Dar ni ndogo sana na wameimega yote wamejenga skyscrapers, Coco beach yenyewe kama siyo Magufuli na Lukuvi ilikuwa tayari imeshauzwa na kupigwa uzio, mji wa watu zaidi ya milioni 4 lkn hakuna public places za maana za kupumzika kama zipo unaweza nitajia!

Btw. Gymkhana originally ilikuwa ni public park kama vile Uhuru park ambayo ili extend mpaka baharini lkn wanacheza golf na kwingine wameimega kujenga Hoteli na majengo ya Serikali!
 
Ndiyo labda unaweza kunisahihisha lkn Dar sijaona public park kama vile Uhuru Park Nairobi hata botanic garden Dar ni ndogo sana na wameimega yote wamejenga skyscrapers, Coco beach yenyewe kama siyo Magufuli na Lukuvi ilikuwa tayari imeshauzwa na kupigwa uzio, mji wa watu zaidi ya milioni 4 lkn hakuna public places za maana za kupumzika kama zipo unaweza nitajia!
Unasema dar ni ndogo sana kwa Nairobi au sijakuelewa ndg?
 
Unasema dar ni ndogo sana kwa Nairobi au sijakuelewa ndg?

Hapana, nasema Dar hatuna public parks au maeneo yaliyotengwa rasmi kwa watu kupumzika, ilifaa Mnazi mmoja lkn imeafungwa miaka yote!
 
Point yangu mkuu ni kipindi cha mwenda zake pamoja na jitiada zote , lakini hawa imf na wb ni kama walikuwa hawa except kinachonfanyika, na tuliongea hapa mwaka jana kwamba kwa style ya mama tegemea GDP yetu kukuwa kwa kasi, point sio kwamba ndio imekuwaa hapana ilisha kuwa ila wao waligandisha kwa makusudi,ndio mana hata hesabu zinagoma, alafu iyo 77bill sio prediction ni outlook ya april, inamana kwa sasa uchumi wetu ni 77 as for aprilView attachment 2238391
Siku zote wazungu sio wenzako na hivi vipimo vyao vya GDP etc ni vya kufurahia sawa ila sio kutia maanani..yes hili lilionekana sana kwa Magu..wazungu nao ni wanafki sana na wanapenda kujivutia kwao..so sio swala geni..

Ukifanya kazi na wazungu ndo utajua walivyowanafiki ....

So nakupaliana na wewe ..

Anyways cha muhimu ni kuwatoa wa Tz wengi kutoka kwenye umaskini as much as possible
 
Drone yenyewe hapo ilipo ime crash[emoji1787]Halafu eti nini? .

View attachment 2237213
😅 That drone looks perfectly intact.
It looks pretty big for a normal UAV too which means it should be heavy, now, I'm no drone expert but i know they fly at high altitudes and if it crashes especially on a dry land like that, it'll be messy, might even explode. Here's a crashed drone
1653494496272.png
 
Wewe primary school dropout ukona very low IQ. 🤣 🤣 🤣 Mimi nikuje Tanzania kuona watoto wadogo wakiendesha tingatinga, are you out of your mind.
Sababu kunyaland hamuwezi kufika hizo levels, Tanzania pamoja na kuwa na miradi mingi ya ujenzi from SGR, roads, ports, buildings, dams, airports etc lakini hutomuona foreigners akioperate machines and still there's potential reserve team for EACOP anytime!
 
Ukusanyaji wa kodi unategemea na taasisi makini ya ukusanyaji kodi, TRA inapoteza karibia asilimia 90% ya kodi inayotakiwa kukusanya kwa mwaka, kwa uchumi wa Tanzania kama TRA itakuwa efficient kwa kutumia njia za kisasa katika kukusanya kodi basi Tz haitategemea mikopo kutoka afdb au mabeberu.
Inapoteza 90%hehe my friend good evening izo ni wishful thinking...
 
Ivi mkuu unajua kuwa Tz ndio nchi ya pili kwa idadi kubwa ya ng'ombe Afrika? Lakin sinaa uhakika hata kama tuna fikia 2% revenue kutokana na ng'ombe kuanzia maziwa, nyama mpka ngozi
Kuna afisa kilimo mmoja alinambia mifugo yote itapewa namba,na hitaruhusiwa kuuzwa nje ya minada ..kwa kupitia njia iyo mapato kutokana na mifugo yatapanda...pia kuna ushuru fulani watalipa
 
Hii Budget kwenye sector za barabara its just shit..mwaka mzima tunajenga lami almost 600km apart from barabara za zege na BRT unless nmesoma vibaya...

Plus nmeona argument yako ya GDP..

Nakumbuka niliwahi kuuliza sana hili swala skyscrapper city forum kuna kipindi %growth ya kenya haikuendana na GDP yao . iliongezeka kama kwa 10billion hivi instead of 6 to 7 billion..i was so suprised ..hizi hizi

Anyways hizi ni projection za IMF Tz GDP is around 71 to 72bil usd ...kama tukienda sambamba na rate ..ya mwaka jana ya 4.8%

77 ni projection ya this year ...

Plus kuna factrors zinazoweza kupeleka rapid GDP growth and thats why i trust data za IMF at point

1.FDI ikikua ghafla na kwa samia FDI tu mwaka jana imekuwa by 5bil usd i think

2.Remitance

3.Oil kupanda au kushuka (mfano angola au nigeria

4.Stability ya Currency against USD incase of Tz Dola imecheza 2300 kwa kama 5 good years our currency is one of most stable in africa..si shangai kwann governor wetu yuko top 3 among the best in africa ..

tuusan @Simba254 Tony254 @ dyfre chongchung View attachment 2238375
Yes hapo kwenye FDI Mama kaweza sana hela imekuja mob
 
Sina uhakika nalo hili mkuu.

Dar ni wapi tuna public park ambapo unaweza tu ukaenda kupumzika mchana ukakuta pametengenezwa vizuri majani yamekatwa na kumwagiliwa maji na kutunzwa ? Wapi kuna bustani ya wote Dar ?
 
Kuna afisa kilimo mmoja alinambia mifugo yote itapewa namba,na hitaruhusiwa kuuzwa nje ya minada ..kwa kupitia njia iyo mapato kutokana na mifugo yatapanda...pia kuna ushuru fulani watalipa
Hii iwe kweli shida tuna mipango mizuri sana lakini utekelezaji wake unaleta shida. Mambo hayaendi kama inavyotakiwa.
 
Dar ni wapi tuna public park ambapo unaweza tu ukaenda kupumzika mchana ukakuta pametengenezwa vizuri majani yamekatwa na kumwagiliwa maji na kutunzwa ? Wapi kuna bustani ya wote Dar ?
Ndio maana nikasema sina uhakika nalo hili, siyo mwenyeji sana me niko mkoani huku mashamabani.
 
Been watching Tanzanians in several forums and online spaces Sana lately, I think I now understand where they coming from ... I believe most of them had not exposed themselves to the outside world that much and there leaders had made them believe they the best In most things. Now with most of them getting exposure via the internet they find it hard to comprehend that they aren't the best in some of the things they believed they good at. They end up living a lie claiming the west is against them, calling every data cooked data, niliona mwingine akichekelewa reddit and I really felt for him
Thinking we're always in a competition, this post is basically posting about Kenyan pimped up matatus 🤣.
 
Siku zote wazungu sio wenzako na hivi vipimo vyao vya GDP etc ni vya kufurahia sawa ila sio kutia maanani..yes hili lilionekana sana kwa Magu..wazungu nao ni wanafki sana na wanapenda kujivutia kwao..so sio swala geni..

Ukifanya kazi na wazungu ndo utajua walivyowanafiki ....

So nakupaliana na wewe ..

Anyways cha muhimu ni kuwatoa wa Tz wengi kutoka kwenye umaskini as much as possible
Hope we will reach 80bill soon,sababu inasaidia sana kupunguza umaskin japo sio kwa real sense
 
Back
Top Bottom