Ukusanyaji wa kodi unategemea na taasisi makini ya ukusanyaji kodi, TRA inapoteza karibia asilimia 90% ya kodi inayotakiwa kukusanya kwa mwaka, kwa uchumi wa Tanzania kama TRA itakuwa efficient kwa kutumia njia za kisasa katika kukusanya kodi basi Tz haitategemea mikopo kutoka afdb au mabeberu.


Inabidi tuu, Wakaguane kama wame-flush maana Wakunya wanatabia ya kuacha vitu vinaelea!Kumbe Kenya ukitoka chooni unasaini visitors book? Hii nchi akyamungu ni vituko daily
View attachment 2238534
Aliewaroga kazi anaijua.Tanzania is the 3rd largest Gold producer on the continent behinds Ghana And S.A...
Mining kwa ujumla wake hutengeneza $2.5B kwa mwaka ...inawezekana ndio maana Tsh imekua stable against $for 5 good yrs View attachment 2238506
Kumbe Kenya ukitoka chooni unasaini visitors book? Hii nchi akyamungu ni vituko daily
View attachment 2238534



labda ukabika na siasa ndio natural calamities kwao 🤣🤣🤣🤣Sasa mbona Wakunya wanadai wao ndo wako more affected na natural calamities?
Nikwasababu tunajenga na reli kwa wakati mmoja imagine wangeamua kujenga barabara kwa iyo budget ya reli ...tungeweza kujenga 10,000km ndani ya miaka mitano...tena asphalt yenyewe sio surface dressing...tungeweza kujenga izo flyover hata 20 na nk...Hii Budget kwenye sector za barabara its just shit..mwaka mzima tunajenga lami almost 600km apart from barabara za zege na BRT unless nmesoma vibaya...
Plus nmeona argument yako ya GDP..
Nakumbuka niliwahi kuuliza sana hili swala skyscrapper city forum kuna kipindi %growth ya kenya haikuendana na GDP yao . iliongezeka kama kwa 10billion hivi instead of 6 to 7 billion..i was so suprised ..hizi hizi
Anyways hizi ni projection za IMF Tz GDP is around 71 to 72bil usd ...kama tukienda sambamba na rate ..ya mwaka jana ya 4.8%
77 ni projection ya this year ...
Plus kuna factrors zinazoweza kupeleka rapid GDP growth and thats why i trust data za IMF at point
1.FDI ikikua ghafla na kwa samia FDI tu mwaka jana imekuwa by 5bil usd i think
2.Remitance
3.Oil kupanda au kushuka (mfano angola au nigeria
4.Stability ya Currency against USD incase of Tz Dola imecheza 2300 kwa kama 5 good years our currency is one of most stable in africa..si shangai kwann governor wetu yuko top 3 among the best in africa ..
tuusan @Simba254 Tony254 @ dyfre chongchung View attachment 2238375
Is Sychelles the richest country in Africa, not Nigeria any more?, Kweli kichwa yako huwa imejaa kamasi.Haiyaa? Ona huyu wazimu? Unaongea matope kuhusu Seychelles the richest country in Africa? Eti hawawezi kuafford services za TZ? Aliyekuroga kafa.