Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe huko university Nina uhakika ulikua unapata chini ya grade "D", hujui lolote kuhusu uchumi, hovyo Sana wewe.

The richest country in the World is USA with GDP of about $20trl and per capital of around $60K. While Qatar with GDP of $250B, and per Capita of $160K, almost three times of that of USA, which is the richest country among the two?.



Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Punguza jazba la sivyo tutafukunyua thread zako za mapambio kwa Nigeria!
 
We are still waiting for drones owned by Tanzanian poor army.
14407050_ey9jg3viasnyjp_jpeg26075157074ee1bb5cc135a8d3903096.jpeg
 
Malizia kwa per capital...sio kwa GDP
Hajui kitu huyo achana naye, hajui kwamba per capita is referred to citizens while Nominal GDP is for the country, angesema raia wa Sychelles ndio tajiri zaidi Afrika, hapo ndio angeeleweka.

Alikua akizungumzia Serikali ya Sychelles sio raia wa Sychelles waliofanya mikataba na serikali ya Kenya, kwa msingi huo, Sychelles is not one among the richest countries in Afrika, even Rwanda is richer than Sychelles.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nikwasababu tunajenga na reli kwa wakati mmoja imagine wangeamua kujenga barabara kwa iyo budget ya reli ...tungeweza kujenga 10,000km ndani ya miaka mitano...tena asphalt yenyewe sio surface dressing...tungeweza kujenga izo flyover hata 20 na nk...
Ila naona sio mbaya katika wizara inayohitaji kupelekewa fedha nyingi hii wizara nayo imo...
Yeah naelewa na Budget imeenda sector muhimu ..kama kuongeza salary, agriculture irrigation schemes
 
Hajui kitu huyo achana naye, hajui kwamba per capital is referred to citizens while Nominal GDP is for the country, angesema raia wa Sychelles ndio tajiri zaidi Afrika, hapo ndio angeeleweka.

Alikua akizungumzia Serikali ya Sychelles sio raia wa Sychelles waliofanya mikataba na serikali ya Kenya, kwa msingi huo, Sychelles is not one among the richest countries in Afrika, even Rwanda is richer than Sychelles.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
It's per Capita and not per capital.
 
Wewe huko university Nina uhakika ulikua unapata chini ya grade "D", hujui lolote kuhusu uchumi, hovyo Sana wewe.

The richest country in the World is USA with GDP of about $20trl and per capita of around $60K. While Qatar with GDP of $250B, and per Capita of $160K, almost three times of that of USA, which is the richest country among the two?.



Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa kigezo cha per capita basi Qatar ndio richest, ila kwa metric zote USA ni balaa...
Ni sahihi kusema Seychelles ni nchi tajiri kwasababu watu ni wachache na shughuli za uzalishaji na standard ya maisha ya watu wake ni mazuri sana.
 
na ukichunguza vizuri, utakuta hizi ghorofa za Kariakoo sio mirefu. ata kupata moja ya ghorofa kumi itakua ni bahati.
hivi nimewadaka najua itakua ni uchungu😖😖

cc: Teargas

Screenshot_20220525-222734_Gallery.jpg
 
Tatizo hutaki kusikia Tanzania tumejenga miundombinu mingi kushinda nyie.. huko AfDB hakuna school dropout au mazuzu kama nyie..ni watu wenye elimu zao, wanajielewa.. ndo mana wametoa tuzo kwa Tanzania
Same AfDB
IMG_20210712_220639.jpg
 
Do you have Combat drone either?, Only Ethiopia has combat drones, they bought recently from Turkey to stop Tigray army from advancing to Addis.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tanzania doesn't have both combat and surveillance drones. Kenya has surveillance drones.

Below is a Kenyan made drone being deployed in Somalia by KDF.
size1.jpg
 
Barabara Tz zimejengwa kila kona nyie mmeconcentrate na miji mikubwa zaidi...
JPM amejenga barabara mikoa yote...hamuwez kupata tag kirahisi
Ingekuwa amejenga barabara Kila corner hamngekuwa mnang'ang'ana kuvuka 9,000km of paved roads. What Uhuru has built in 10yrs is more than what all Tanzanian Presidents have done in 65yrs.

images (7).jpeg
 
Back
Top Bottom