Hapo nadhani kutakuwa na station ya BRT labda ni crossing bridge ya ku access passangers terminalWatalam naomba mnieleweshe hiki ni nini kimewekwa? Kweny flyover pale chang'ombe View attachment 2201061View attachment 2201062View attachment 2201063
Hapo nadhani kutakuwa na station ya BRT labda ni crossing bridge ya ku access passangers terminalWatalam naomba mnieleweshe hiki ni nini kimewekwa? Kweny flyover pale chang'ombe View attachment 2201061View attachment 2201062View attachment 2201063
All must admit the road network in Kenya is on another level. This is kitui one of the remote areas but see devolution is changing Kenya completely soon all of Kenya will be competing as individual blocks
Hili ndio tatizo lenu, kila nchi ikifanya Mambo yake lazima mseme inashindana na Kenya, hivi mpo na shida gani?.Museveni ni mjinga sana aisee. UG bado ni LDC, wao wana gdp takriban ya $45 billion lakini wanatumia $1.2 billion kwenye military yao kila mwaka na ukumbuke hawana navy. Wanajaribu kushindana na Kenya na Gdp ya Kenya ni almost triple ya Uganda??? Wanashindana na ndovu kunya, watapasuka msamba. Wangeinvest kwenye afya, elimu na miundo mbinu ili watoke LDC. Unajua Uganda wamekaribia sana kutoka LDC. Museveni akiweka ujinga kando, watakuwa middle hata in the next two years kwa maana gni per capita yao imekaribia kufika ya middle income level.
Hii mitaa imepangiliwa kama amsterdam flan hiviKuna na hii.
View attachment 2201078
Tunataka Streets Achana na highways za intercities
Ninyi mnaita devolution, Tanzania tunaita local governments na mlicopy kwetu
Tabora which is quite unpopular kabisa ina mtandao mkubwa wa modern streets zenye taa na modern road furniture ambazo hata Nairobi haiwezi kuwa nazo
Angalia kuanzia dakika ya 15 ujifunze kitu
Na lengo lake ni nini?Watalam naomba mnieleweshe hiki ni nini kimewekwa? Kweny flyover pale chang'ombe View attachment 2201061View attachment 2201062View attachment 2201063
Devolution Kiswahili ni "Madaraka mikoani", Tanzania tulifuata hiyo miaka ya 70s na 80s, ilishindikana kutokana na sababu mbalimbali ambazo baadhi zimeanza kujitokeza na kupigiwa kelele huko kwenu, let's wait and see if it will work for long time in KenyaLocal governments ya Mayors na madiwani ndio pia Kenya ilikua inatumia kwa katiba iliyopita. Devolution ni kitu tofauti sana na hio.
Ni mapema Sana kusema Hilo, kumbuka hata Kikwete aliahidiwa miradi ya fedha nyingi Sana lakini mingi haikufanikiwa ilibaki kwenye makaratasi, unakumbuka mradi wa kuigeuza Kigamboni kuwa Kama Dubai?, au mradi wa kujenga "light railway toka Airport tuliahidiwa na haohao Wamarekani?
Kinanichanganya sababu kwa juu itapita flyover km ya upande wa pili...Hapo nadhani kutakuwa na station ya BRT labda ni crossing bridge ya ku access passangers terminal
Umenkumbusha yule black amerca alotakaga kuwekeza kwe train 😂😂😂😂Ni mapema Sana kusema Hilo, kumbuka hata Kikwete aliahidiwa miradi ya fedha nyingi Sana lakini mingi haikufanikiwa ilibaki kwenye makarati, unakumbuka mradi wa kuigeuza Kigamboni kuwa Kama Dubai?, au mradi wa kujenga "light railway toka Airport tuliahidiwa na haohao Wamarekani?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bado huwa unajisumbua tu na huyo kichaa?Si wewe pia unaelewa microbiology kumshinda Teargass ambaye ameisomea? Mjuaji sana wewe jamaa. Punguza ujuaji. Hata kwa mambo ya software pia utaanza kufunza watu hapa mambo ya software coding sio?
View attachment 2200926
Devolution kwa Kiswahili ni Ugatuzi. Transfer of power to lower levels of government. Bongo rais ndio kunyamba nyinyi ni kunusa. 🤣 🤣 🤣 🤣Devolution Kiswahili ni "Madaraja mikoani", Tanzania tulifuata hiyo miaka ya 70s na 80s, ilishindikana kutokana na sababu mbalimbali ambazo baadhi zimeanza kujitokeza na kupigiwa kelele huko kwenu, let's wait and see if it will work for long time in Kenya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ebu tingisha kichwa uconfirm kama Kuna kitu ndani. Wewe the only thing you know is making noise. The last time I had a debate with you was about albinism which you embarrassed yourself like no one's business.Umewahi kuona ninachangia katika Mambo ya IT?, Ila katika uchumi na Science ya viumbe hai Kama Microbiology, Immunology, Parasitology, Pathology, Physiology, Opthalmology, Entomology, Pharmacology na huko kote, huyo Teargas ninaweza kumfundisha hadi apate PhD, japo nimeishia 'Form 4 failure's
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Devolution has already worked and that's why you can see Kenya is far much ahead of Tanzania in every matrix.Devolution Kiswahili ni "Madaraja mikoani", Tanzania tulifuata hiyo miaka ya 70s na 80s, ilishindikana kutokana na sababu mbalimbali ambazo baadhi zimeanza kujitokeza na kupigiwa kelele huko kwenu, let's wait and see if it will work for long time in Kenya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mzee local government sio majina ya viongozi, ni muundo kamili wa serikali kuanzia utawala, uratibu, mipango, mapato na umiliki wa mipaka (administrative boundaries)Local governments ya Mayors na madiwani ndio pia Kenya ilikua inatumia kwa katiba iliyopita. Devolution ni kitu tofauti sana na hio.
Bado alshabab wanawaua kama kuku na bado Nairobi wanakunywa mavi sasa bora kipi?