Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe Wakenya ndio wanaomshikilia Mondi? In the last 12 months Diamond Platinumz alikuwa na 136 million views kwa youtube na kati ya hizi views, 107 million views zilikuwa ni views zinazotokea Kenya na 29 million views ndio zilikuwa views za nchi zingine ikiwemo Tanzania. Kwa hivyo Watanzania hampendi Mondi? Au pengine hamna data bundles na wi-fi? Tatizo nini?

Cc joto la jiwe
 
Hii ni ya wale Watanzania ambao huwa hawaamini ninaposema kwamba Magufuli alikuwa anaichukia Kenya. Hii article inasema kwamba miezi kumi baada ya mama kushika usukani, Tanzania's exports to Kenya doubled. Yaani ndani ya miezi kumi baada ya mama kuwa rais, Tanzania iliuza bidhaa mara dufu kwa nchi ya Kenya kushinda ilivyokuwa awali wakati wa Magufuli.

Mzee hata magufuli angalikua hai hadi now, kuwapita nyinyi kwenye kila secta ilikua ni pai.. underground vitu vinajieleza .u ar lazy, and u ar nothing without foreigners.. unategemea tungeacha kuwapita.?
 
Kumbe Wakenya ndio wanaomshikilia Mondi? In the last 12 months Diamond Platinumz alikuwa na 136 million views kwa youtube na kati ya hizi, 107 million views zilikuwa ni views zinazotokea Kenya na 29 million views ndio zilikuwa views za nchi zingine za Afrika ikiwemo Tanzania. Kwa hivyo Watanzania hampendi Mondi? Au pengine hamna data bundles na wi-fi? Tatizo nini?

And this is the reason to why we say, you guys know more about us, mnafuatilia zaidi kuliko tunavyowafuatilia, leo umeleta mwenyewe evidence.. by the napita Dom now kwa basi let me explore Tz's capital meen
 
Yaani ni hivi page za umbea na jamii zimejaa wakunya kibao hao ndio wanatuiga na kufatilia lifestyle yetu, juzi nimeona group la dem wao nao eti wanacheza singeli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nina wasiwasi na washauri wake, watu waliomzunguka yawezekena wanakitaka hicho kiti sijui kama watamshauri vizuri ili afanikishe miradi yake.

Mradi wa Jangwani na mto msimbazi, barabara ya Morogoro to Dom, Chalinze to Segera, Namanga Horiri, Dodoma-Arusha via Kondoa, Dodoma- Singida zote hizi ni double road kama akifanikiwa ni miradi mizuri sana.
Mradi wa mto msimbazi wametangaza unaanza rasmi mwezi wa saba mwaka huu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe mnafuata politics za Kenya...the only politicians I know from Tz are Tundu Lissu and Samia Suluhu na yule jamaa wa "ooliskia wapi" the only party i know is CCM... kindly send a YouTube link to one of your tv stations so that I can watch prime time news hata for once. Find out what you guys are up to...
Andika vizuri kiswajili "mnafuata" ndio nini?
 
Nina wasiwasi na washauri wake, watu waliomzunguka yawezekena wanakitaka hicho kiti sijui kama watamshauri vizuri ili afanikishe miradi yake.

Mradi wa Jangwani na mto msimbazi, barabara ya Morogoro to Dom, Chalinze to Segera, Namanga Horiri, Dodoma-Arusha via Kondoa, Dodoma- Singida zote hizi ni double road kama akifanikiwa ni miradi mizuri sana.
ni dhahiri kuwa fedha hazijatolewa kwani hiyo ngonjera ya ujenzi wa hiyo miradi ni zaidi ya miaka 3 sasa. Kwa kuwa mna hasira naye huyo Rais mnatafuta kila upenyo kumkandia. Endeleeni tu. Hata angekuwepo Magu hiyo miradi isinge anza mpaka leo.
 
Back
Top Bottom