Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umeondoka na mada ya bahari 😂😂😂 soma tena vizur post yangu 👇.. jana watu wanazungumzia Nala money kama kampuni ya kibongo kuonekana matangazo yake UK, wewe ukaleta story za phrase ya kiswahili 😂😂😂
Heehee, kawaida ya wabongo kukwepa mada, sasa ushatoka kwa golf course na bahari sahii upo kwa Nala, Heehee. Shida tupu.
 
He is not proficient!
One thing I have noticed about most of kunyans is ;, they are full of prijudice when it comes her neighbours! Mostly Tanzania but luckily some of the misconceptions have proved to be wrong!

Naonaga Misemo mingi huku “Tanzanian cannot teach me English” yet wanakanyagana kama kondoo kwenye zizi. Angalia yule aliyekua anaongea quality ya English yake halafu ina madudu kibao, hata kama ni typo (ambayo ilionekana eneo moja) bado hatoboi kwa ile Grammar .
 
You mean,

'...................misconceptions have been proven false''

Which is correct grammar but still makes no sense. The word 'misconceptions' is already enough - it alludes to a non factual opinion.
The correct wording should be:-

'..............their opinions/judgement/viewpoint/belief have been proven false'

or simply

'...................they had misconceptions about us.'

Simple grammar sir.
You're welcome.

1*lD4tMeixHrs50ErTkh30MQ.jpeg
 
Congratulations 😀 continue with the same spirit you must be feeling proud😀😀😀
 
Naonaga Misemo mingi huku “Tanzanian cannot teach me English” yet wanakanyagana kama kondoo kwenye zizi. Angalia yule aliyekua anaongea quality ya English yake halafu ina madudu kibao, hata kama ni typo (ambayo ilionekana eneo moja) bado hatoboi kwa ile Grammar .
Mkunya ana kiburi Sana anaamini ukiongea kingereza umetoboa!
 
Back
Top Bottom