joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ndivyo walivyo, wakiona wamezidiwa utasikia wanakuambia Kenya ilishafanya Hilo kabla yenuHata kuijua hakuwa anaijua.




Ndivyo walivyo, wakiona wamezidiwa utasikia wanakuambia Kenya ilishafanya Hilo kabla yenuHata kuijua hakuwa anaijua.




Mtu anaweka kabisa picha ya Obama, mbegu ya Kenya kama Avatar yake lakini bado anaidharau Kenya.
Mombasa gati la magari
Yaani hata parking ya baadhi ya shule Tanzania ni kubwa kuliko hiki kituko
Washukuru vyakula vya misaada vina boost sana hii bandari
View attachment 2183026




umeongea matopeMagari mzee with outdated technology. Bado muna import Toyota IST ya 2002 na Mercedes E class ya 1995But still majority of your population can not afford a car hata ikiwa mzee kama kobe na bei ya kutupa.
![]()
Mbona munauziwa magari mzee? Gari iko over 20 years old.
hata sisi tunaona probox za 2015
mavi ya kuku wakat naona zingine mpaka za 1999



Mzee "Hutumika zaidi kwa viumbe hai, sio sawa kusema "Gari Mzee".Mbona munauziwa magari mzee? Gari iko over 20 years old.
wacha kujifurahishaHii ya bongo ni mzee kama kobe, Kenya sahii hizi ndio zinajaza streets.
![]()
Shida ni colonial mentality mkuuStupid kabisa wewe, "Rugby is a real deal because is the sport of rich and upper class people",kwamba ulikua ni mchezo wa wazungu huko South Africa,sio kwasababu ni mchezo unaowasaidia vijana wengi kupata ajira, kwahiyo mchezo uliotumika Kama njia ya kubagua watu kwako ndio "real deal, isn't?, hivi ninyi wakenya mko na matatizo ya akili au ni nini?, Ninyi hamna akili kabisaa
Tony254
Don YF
NairobiWalker
Kuanzia J4 hii wamesema kutakua na mvua za kutoshaMkuu hili sio la kushangilia,Tzn na sisi mvua imenyesha lakini imekata mapema wakati Mazao hayajakomaa kwa hiyo yatakauka..
Serikali yetu sikivu imejipanga kisawasawa national granaries ziko full to the brim na bado tunaongeza extra storage capacity in some of the regions.Yeah masika yamechelewa sana..tuombe Mungu inyeshe kusiwe na uhaba wa chakula
Sasa kwani kukiwa na over harvesting kwa ajili ya lumber industries, over grazing, cultivation without regards to water sources and over population in towns and cities increased human economic activities ambazo hizi zote ni economic activities ina maana haziwezi kuleta mabadiliko ya tabia nchi na kupelelea kukosa rain. Sometimes jaribu kuwa na oversight kidogo tuu itakusaidiaDon't just answer questions for the sake of answering. Nimewauliza how is economy contributing to the availability of rain?
Lakini Obama sio Mkenya.Mtu anaweka kabisa picha ya Obama, mbegu ya Kenya kama Avatar yake lakini bado anaidharau Kenya.
Kumbe hamna indoor arena?Nimesikia sehem kutoka kwa 'wakubwa' kuwa indoor arena ya Dar inajengwa kawe 😙
At least daladala za Dar zina sura nzuri halafu ni comfortable maana zimekua designed kama passengers buses unlike yale malori with rigid suspension


