Showroom zenu hata zinauza magari mzee kwa wingi, leta any recent video, picha haiwezi dhibitisha ukweli wa mambo.Picha nyingi zinathibitisha kwamba gari nyingi za Dar ni mpya kuliko picha za ka Nairobi, unabisha?
Showroom zenu hata zinauza magari mzee kwa wingi, leta any recent video, picha haiwezi dhibitisha ukweli wa mambo.Picha nyingi zinathibitisha kwamba gari nyingi za Dar ni mpya kuliko picha za ka Nairobi, unabisha?
Ila mzee kuwa specific yaani unamaanisha crops, ila all agriculture (26% of the GDP) as to mean grains (maize, rice, casava e.t.c.), fishing, livestock, pulses (beans, lentils, sesame e.t.c) n cash crops (tobacco, tea, coffee, tea, cashews, cloves, cotton, sisal, honey, algae (seaweeds)) ama? Mbona $1.3 bln inapitwa by far? In 2018 agriculture alone was over $12 bln!Tony254, unayosema sio kweli hata kidogo, sector nzima ya Agriculture Tanzania ambayo ni kubwa kuliko nchi zote za ukanda huu haina uwezo kuingiza $1.3B, hafadhali ungesema maua ningekubali kwasababu ni "high value products.
Majani chai ni " low value' product, ili kupata $1.3B, lazima ardhi ya nchi nzima ya Kenya igeuzwe kuwa mashamba ya chai.
Kinachotokea ni kwamba, chai yote inayolimwa Malawi, Zambia, Tanzania, Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Ethiopia inakusanywa kwenye soko kubwa la chai hapo Mombasa, kutoka hapo ndio hiyo chai inakua "branded" Kama "Export from Kenya", lakini Kenya pekee hamuwezi kuzalisha hata chai inayozidi $200M, "prove me wrong"
Jamaa yuko smart sn.Kaka, huwa unalitendea haki sana jukwaa letu hili kwa kuelezea huja nzito kiurahisi kabisa.
Hili ulilolisema linaonesha wazi mapungufu ya kipimo cha GDP (nominal) ambapo uchumi wa nchi ya kenya unaoneana mkubwa (wanazalisha zaidi) lakini kiuhalisia ni mdogo. Ndiyo maana wanashindwa kufanya hata vimradi vidogo.
Vita ya Ukraine pia imeonesha wazi kabisa kuwa uchumi wa Urusi ni mkubwa kuliko GDP (nominal) inavyosema, vita yao imetikisa dunia nzima wakati takwimu zinasema uchumi wao ni mdogo kuliko ule wa Korea Kusini.
Show room ya nn? Weka gari on road tuone.Showroom zenu hata zinauza magari mzee kwa wingi, leta any recent video, picha haiwezi dhibitisha ukweli wa mambo.
Dar imejaa magari mzee. Hii hapa ni ushahidi. 🤣🤣🤣🤣
Huwa yuko vizuri sana kichwani na anawaweza kweli hawa nyang'au. Mimi huwa tunafautiana naye kwenye chanjo ya Corona tuu, kwasababu huwa hakubali kuwa propaganda za kisiasa zilitawala kwa kuweka kando sayansi.Jamaa yuko smart sn.
Kisumu was formally called 'The City of Port Florence'What is the name of that port in Kisumu?
Kwa taarifa yako harrier nyingi bongo ni matako ya nyaniHii ndio SUV munaendesha in 2022.🤣🤣🤣 Gari ikona miaka mingi kukuliko.
![]()
Magari mzee ndio zimejaa kwa barabara, over 20 years old.🤣🤣🤣
Fikeni huku kwanza, yaani kwenye magari ninyi hata burundi wanawazidiVery few, Bongo kupata hizi model kwa streets ni ngumu sana while Nairobi hizi ndio zinauzwa na kuendeshwa sahii all over.
Assembled in Kenya 😅😅😅😅😅See how foolish you are. You are celebrating importing vehicles in instead of crying. The big difference between Kenya and Tanzania is that Kenya assembles her vehicles while Tanzania imports
![]()
Gari gani hii? 😅Showroom zenu hata zinauza magari mzee kwa wingi, leta any recent video, picha haiwezi dhibitisha ukweli wa mambo.
Nilishangaa jamaa aliposema eti gari za Dar ni mzee wkt picha nyingi za ka Nairobi zikiwekwa humu huwa zinaonesha jinsi gari zao zilivyochoka.
Hata kwenye chanjo alikuwa anaenda vzr tu na alifungua nyuzi za moto kuhusu Magu kuwa outsmart wakunya kwenye mapambano dhidi ya corona ila ghafla baada ya kuingia huyu mama nikaona kama alitaka ku change hivi lkn baadaye tukawa tunaenda sawa, yn inshort jamaa ni kichefuchefu cha wakunyaHuwa yuko vizuri sana kichwani na anawaweza kweli hawa nyang'au. Mimi huwa tunafautiana naye kwenye chanjo ya Corona tuu, kwasababu huwa hakubali kuwa propaganda za kisiasa zilitawala kwa kuweka kando sayansi.








Kuhusu njaa sio fact au ukiamkia kibera huwa unajitoa ufahamu?Truth is only based on facts, usiwe fala bana.
Kwahiyo ukikata miti hovyo ukasababisha ukame bado itakuwa ni act of God sio kwa akili yako.ww ni fala sana.!, unawaza na mk*ndu......
ona........, lack of rain is the act of god. its not manmade. so kwako hio inakua ni kigezo cha kicheko.! yani ata sijui watu wengine walizaliwa aje...![]()
Nimekupata mkuu, huwa lugha hizi za kisasa zinasumbua Sana.Ila mzee kuwa specific yaani unamaanisha crops, ila all agriculture (26% of the GDP) as to mean grains (maize, rice, casava e.t.c.), fishing, livestock, pulses (beans, lentils, sesame e.t.c) n cash crops (tobacco, tea, coffee, tea, cashews, cloves, cotton, sisal, honey, algae (seaweeds)) ama? Mbona $1.3 bln inapitwa by far? In 2018 agriculture alone was over $12 bln!
![]()
Agriculture Archives
In 2020, the agriculture sector in Mainland Tanzania contributed about 26.9% of the total GDP and grew at an annual rate of 4.9%.www.tanzaniainvest.com
Mzee hiyo kingdom inakuwa managed na makaratasi na politiki tuuTanzania SUV 5 kunyaland SUV 2 halafu wanatuletea jeuri?
Ila sishangai, wanarepresent kingdom yao vyema
View attachment 2183100
Duniani kote inaitwa pre shipment inspection ndio utaratibu wa dunia.Hivi mtu akiagiza gari Uingereza kwenda Ujerumani, hiyo gari itaruhusiwa kusajiliwa Ujermani bila ya kufanyiwa ukaguzi na wao wenyewe?
Hata kwenye chanjo alikuwa anaenda vzr tu na alifungua nyuzi za moto kuhusu Magu kuwa outsmart wakunya kwenye mapambano dhidi ya corona ila ghafla baada ya kuingia huyu mama nikaona kama alitaka ku change hivi lkn baadaye tukawa tunaenda sawa, yn inshort jamaa ni kichefuchefu cha wakunya![]()







