Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Don't just answer questions for the sake of answering. Nimewauliza how is economy contributing to the availability of rain?
Tukuulize wewe je ushajua kwamba kwa sasa duniani kuna huduma ya brain surgery without opening the skull?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alafu kanasema kabisa "mbona video ya Nairobi inaonesha kuna gari bora" wakati ukitaja Nairobi tu basi gari zinazokuja kichwani ni hizi ulizoweka hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅😅😅

Yaani hawa watu kuna vitu kwao ni vya hovyo mpaka macho yao yamevizoea na kuona vya kawaida, yaani ni sawa na mtu anaeishi kwenye eneo la mbu wengi tayari ni kama mwili wake umekua immune to malaria so kwake mbu sio issue ila nenda kakae wewe masaa mawili tu malaria inapanda kichwani 😅😅😅

Ndio hawa sasa kwenye disasters za slums, mikweche, njaa na jangwa Yaani hivi vitu kwao wala sio ajabu 🤣
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Yaani hawa watu kuna vitu kwao ni vya hovyo mpaka macho yao yamevizoea na kuona vya kawaida, yaani ni sawa na mtu anaeishi kwenye eneo la mbu wengi tayari ni kama mwili wake umekua immune to malaria so kwake mbu sio issue ila nenda kakae wewe masaa mawili tu malaria inapanda kichwani [emoji28][emoji28][emoji28]

Ndio hawa sasa kwenye disasters za slums, mikweche, njaa na jangwa Yaani hivi vitu kwao wala sio ajabu [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Makumbusho, Kilimani ya Dar barabara ni za mchanga, haziko paved, vibanda ziko kila mahali. Ukitaka kujua uhalisia halisi wa Dar is a slum na miji ya bongo, cheki video za huyu jamaa. Unbiased and honest opinion from a neutral perspective. Anaonyesha kila kitu bila kuficha. Oooohhh na hizo gari zenu mzee bado zimejaa kwa hii video pia. 🤣🤣🤣🤣

 
Tukuulize wewe je ushajua kwamba kwa sasa duniani kuna huduma ya brain surgery without opening the skull?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
But you are doing what Kenya did long time ago
 
Makumbusho, Kilimani ya Dar barabara ni za mchanga, haziko paved, vibanda ziko kila mahali. Ukitaka kujua uhalisia halisi wa Dar is a slum na miji ya bongo, cheki video za huyu jamaa. Unbiased and honest opinion from a neutral perspective. Anaonyesha kila kitu bila kuficha. Oooohhh na hizo gari zenu mzee bado zimejaa kwa hii video pia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Never disturb yourself about their roads. In Tanzania to see paved roads ni 1 into 10 [emoji23][emoji23]
 
Mtu anaweka kabisa picha ya Obama, mbegu ya Kenya kama Avatar yake lakini bado anaidharau Kenya.
 
Mtu anaweka kabisa picha ya Obama, mbegu ya Kenya kama Avatar yake lakini bado anaidharau Kenya.
Siku ukinithibitishia kwamba Obama ni mkenya basi ndio siku naachana na jamii Forums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom