Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
2 rivers
Lakini hawana wanyama wengi kiasi hicho mkuu ila lazima tuache utoto wa kutegemea Mungu badala ya kuchakata akili .Egypt hawana njaa Wala upungufu wa malisho ya wanyama, na bado wanajenga miundombinu ya kupambana na jangwa, nchi za wajinga kazi Yao ni kulalamikia Mungu tu, hovyo Sana "failed state"

Gwajima ni mpuuzi,kwani hajui mpango wa miaka 5 mitano wa Serikali? Hajui vision 2025?Huyo ni kichaa, hukumbuki alivyokua akiongoza mapambano ya kupinga chanjo?,:miongoni mwa makosa aliyofanya Magufuli ni kuwachagulia wananchi watu wasiokubalika, miongoni mwa hao watu waliokataliwa na wananchi ni huyu chizi.
Ipo lakinin sio goverment na ya govt ni outdates ..na capacity yake ni ndogo..Next Door Arena ..icheki ,na National indoor stadiumKumbe hamna indoor arena?
5 years itakuaje long term plan? Stop joking.Gwajima ni mpuuzi,kwani hajui mpango wa miaka 5 mitano wa Serikali?
Tuna mipango ya mda wa Kati wa miaka 5 sasa kwani kuna shida ipi? Pia Tunaendelea na vision 2025 sasa unasemaje hakuna vision?5 years itakuaje long term plan? Stop joking.
Kuongezea..next door arena ni yetu (familia yetu) kishare😎Ipo lakinin sio goverment na ya govt ni outdates ..na capacity yake ni ndogo..Next Door Arena ..icheki ,na National indoor stadium
Yeye sio Mpuuzi. Yeye anazungumzia mipango mirefu. Sio hio ya miaka mitano. Jaribu kuelewa anachozungumzia. Nyie hamna hio mipango mirefu.Gwajima ni mpuuzi,kwani hajui mpango wa miaka 5 mitano wa Serikali? Hajui vision 2025?
Yeye ajikite kupotosha mazwazwa wake kule kanisani kwake.
Hahaha. There are a lot retarded people in this thread. 5 years itakuwaje long-term plan.5 years itakuaje long term plan? Stop joking.
Weka picha basi isiwe ni Banda la kukuKuongezea..next door arena ni yetu (familia yetu) kishare😎
Wewe na yeye wote ni wapuuzi,hivi huko Kenya kwenye vision 2030 mnatekeleza kwa miaka mingapi mingapi?Yeye sio Mpuuzi. Yeye anazungumzia mipango mirefu. Sio hio ya miaka mitano. Jaribu kuelewa anachozungumzia. Nyie hamna hio mipango mirefu.
Hio ni short-term vision tu. Nyie hamna long-term vision. Gwajima yupo right. Sasa sijui unapinga nini. Miaka mitano ni short-term mzee.Tuna mipango ya mda wa Kati wa miaka 5 sasa kwani kuna shida ipi? Pia Tunaendelea na vision 2025 sasa unasemaje hakuna vision?
Vision 2030 ilianza kutekelezwa hata kabla ya mwaka wa 2010 na ni mpango wa miaka ishirini. Kubali facts kwamba hamna mipango hii long-term.Wewe na yeye wote ni wapuuzi,hivi huko Kenya kwenye vision 2030 mnatekeleza kwa miaka mingapi mingapi?
Umeanza utoto sasa,mwambie akasome hiyo vision 2025 na alone hiyo mipango na miradi nk vilivyomo..
Tofauti ya style za implementations ndio ziko tofauti na lazima ziwe hivyo Ili tufike haraka na tupate efficiency.
Kwa hiyo vision 2030 ya Kenya ndio long ila vision 2025 ya Tzn sio long sio? 😆😆😆..Hio ni short-term vision tu. Nyie hamna long-term vision. Gwajima yupo right. Sasa sijui unapinga nini. Miaka mitano ni short-term mzee.
Sasa vision 2025 wewe unajua ilianza lini kutekelezwa?Vision 2030 ilianza kutekelezwa hata kabla ya mwaka wa 2010 na ni mpango wa miaka ishirini. Kubali facts kwamba hamna mipango hii long-term.
Si wanasemaga wana dams nyingi kuliko Tanzania ila kila siku njaa inawauwa 😅😅😅Egypt hawana njaa Wala upungufu wa malisho ya wanyama, na bado wanajenga miundombinu ya kupambana na jangwa, nchi za wajinga kazi Yao ni kulalamikia Mungu tu, hovyo Sana "failed state"
eti umesemaje..?? eti sura nzuri.....!At least daladala za Dar zina sura nzuri halafu ni comfortable maana zimekua designed kama passengers buses unlike yale malori with rigid suspension![]()
![]()
![]()
what about slum??🤣🤣🤣The best city in Africa.
![]()