Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
Tuwache kwanza, tupo bizi na election.
Wapunguze Kodi...unakuta Gari lina bei sawa..au kodi inazidi bei gari ...unategemea watu wanunue magari hapo
Hiki nini jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mombasa gati la magari [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani hata parking ya baadhi ya shule Tanzania ni kubwa kuliko hiki kituko
Washukuru vyakula vya misaada vina boost sana hii bandari
View attachment 2183026
punguza majani...ukiyazidisha yanaharibu ubongo na haya ndiyo madhara yakeApartment ya miaka nenda rudi, hii mombasa hata kwa ARUSHA haitoboi
sasa ununue gari chakavu zaidi ya miaka 10 kwani umesikia sisi ni jalala la magari chakavu?Wapunguze Kodi...unakuta Gari lina bei sawa..au kodi inazidi bei gari ...unategemea watu wanunue magari hapo
Nmesema wapunguze kodi..cause magari latest ni bei na bado kodi zao ziko juu unakuta gari 40m na kodi 40m ..how is that fairsasa ununue gari chakavu zaidi ya miaka 10 kwani umesikia sisi ni jalala la magari chakavu?
ila ukionyesha kadi ya gari kodi si inakadiriwa kutokana na mwaka gari ilitengenezwa!Nmesema wapunguze kodi..cause magari latest ni bei na bado kodi zao ziko juu unakuta gari 40m na kodi 40m ..how is that fair
Hamna kaka sikuhiz kodi unaijua online mapema...unaingia website yaoila ukionyesha kadi ya gari kodi si inakadiriwa kutokana na mwaka gari ilitengenezwa!
Jifunze kitu hapaMagari mzee with outdated technology. Bado muna import Toyota IST ya 2002 na Mercedes E class ya 1995[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] But still majority of your population can not afford a car hata ikiwa mzee kama kobe na bei ya kutupa.
![]()
Waarabu kule maisha yanaendelea na ni jangwani na kilimo wanacho na mazao wanakuja kuwapa msaada wa msosi ... Hivi ni kwanini msiige kule jangwani wanlima na maisha yanaendelea ............wacha kulia lia hapa .... nyie mmekalia ufisadi ...wezi wezi wa fedha za uma ......hizo fedha mnazo iba jengeni visima vya maji...muwe na kilimo cha umwagiliaji ...ww ni fala sana.!, unawaza na mk*ndu......
ona........, lack of rain is the act of god. its not manmade. so kwako hio inakua ni kigezo cha kicheko.! yani ata sijui watu wengine walizaliwa aje... [emoji848]
How does this address the issue ya nyinyi kununua magari mzee? Over 20 years YOM.Jifunze kitu hapaView attachment 2183043View attachment 2183044
Hizo Corolla Fielder au Probox mnazodrive zimeanza kuwa produced mwaka gani?How does this address the issue ya nyinyi kununua magari mzee? Over 20 years YOM.
Generally we drive more expensive SUVs compared to your low cost hatchbacksHow does this address the issue ya nyinyi kununua magari mzee? Over 20 years YOM.
Ni uzinduzi kweli (jiwe la msingi)probably, uwekaji jiwe la msingi sgr line ya Tabora-Makutupora
View attachment 2182386