We have an old indoor arena but now we are building 2 state of the art ultra modernKumbe hamna indoor arena?
indoor arena in Dar and DomWe have an old indoor arena but now we are building 2 state of the art ultra modernKumbe hamna indoor arena?
indoor arena in Dar and DomHeeeheee, yani hii kitu ni comfortable kushinda hiyo next? 🤣🤣At least daladala za Dar zina sura nzuri halafu ni comfortable maana zimekua designed kama passengers buses unlike yale malori with rigid suspension![]()
Ujenzi umeanza? Evidence?We have an old indoor arena but now we are building 2 state of the art ultra modernindoor arena in Dar and Dom
Tuombe Mungu,leo nitaangalia utabiri unasemaje maana kunaweza kuwa na mvua nyingi baadhi ya maeneo ya Nchi.Kuanzia J4 hii wamesema kutakua na mvua za kutosha
How is economy affecting rain availability? Mbona hii swali hamtaki kujibu?You must ask your leaders to come up with programs of irrigations and water availability to those areas affected by chronic draught, stop endless excuses
Which economic activity is happening in northern Kenya?Sasa kwani kukiwa na over harvesting kwa ajili ya lumber industries, over grazing, cultivation without regards to water sources and over population in towns and cities increased human economic activities ambazo hizi zote ni economic activities ina maana haziwezi kuleta mabadiliko ya tabia nchi na kupelelea kukosa rain. Sometimes jaribu kuwa na oversight kidogo tuu itakusaidia
Ukimaanisha kesho?, Maeneo gani tutarajie hizo mvua?Kuanzia J4 hii wamesema kutakua na mvua za kutosha
Egypt hawana njaa Wala upungufu wa malisho ya wanyama, na bado wanajenga miundombinu ya kupambana na jangwa, nchi za wajinga kazi Yao ni kulalamikia Mungu tu, hovyo Sana "failed state"
The best city in Africa.
![]()
Umeanza michambo... 🤣 🤣 🙆♂️ 🙆♂️Egypt hawana njaa Wala upungufu wa malisho ya wanyama, na bado wanajenga miundombinu ya kupambana na jangwa, nchi za wajinga kazi Yao ni kulalamikia Mungu tu, hovyo Sana "failed state"
Huyo ni kichaa, hukumbuki alivyokua akiongoza mapambano ya kupinga chanjo?,:miongoni mwa makosa aliyofanya Magufuli ni kuwachagulia wananchi watu wasiokubalika, miongoni mwa hao watu waliokataliwa na wananchi ni huyu chizi.Kenya tuna vision 2030. Nyie hamnaa mpango wa muda mrefu na bado mnataka kushindana na sisi. Msikilizeni Gwajima anavyokiri kwamba TZ haina mpango wa muda mrefu. Nchi nyingi duniani zinayo mipango ya muda mrefu lakini malazy kama kawaida wameangukia pua kwenye hili.
Kenya tuna vision 2030. Nyie hamnaa mpango wa muda mrefu na bado mnataka kushindana na sisi. Msikilizeni Gwajima anavyokiri kwamba TZ haina mpango wa muda mrefu. Nchi nyingi duniani zinayo mipango ya muda mrefu lakini malazy kama kawaida wameangukia pua kwenye hili.