Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Arusha gani? Hile yenye ilichapwa na Kericho?Apartment ya miaka nenda rudi, hii mombasa hata kwa ARUSHA haitoboi
Arusha gani? Hile yenye ilichapwa na Kericho?Apartment ya miaka nenda rudi, hii mombasa hata kwa ARUSHA haitoboi
😂😂 U crazy or something.?Arusha gani? Hile yenye ilichapwa na Kericho?
Acha hasira kijana 😂😂 unapata wivu kiasi hicho.?Kama kusema ukweli ndio kuwa na wivu then let me have it[emoji23][emoji23][emoji1787]View attachment 2182982
Arusha should not be mentioned anywhere near Kenyan cities. Arusha can't even compete with Jinja Kampala[emoji23][emoji23] U crazy or something.?
Kwanza hata sio 17M tonnes, ni 16M[emoji23][emoji23]Acha hasira kijana [emoji23][emoji23] unapata wivu kiasi hicho.?
Acha wivu na hasira za kitoto
Hivi kuna asie na Google saivi? Watu wapumbavu sana wanafikiri wakisema hivyo ndio watapanda ndege kesho kuelekea Kenya, 😅😅😅 kumbe hawajui utamaduni wa wazungu wanafanya mpaka hotel reservations wakiwa hawajaanza safari, na hawawezi kufanya reservation bila kujua gharama za safari na eneo inapopatikana!Wakunya kwa kupenda mteremko, hawajui wanajenga taswira ya utokuaminika duniani
View attachment 2182909
Mombasa gati la magari 😅😅😅😅😅Acha hasira kijana 😂😂 unapata wivu kiasi hicho.?
Tuone na chakula[emoji23][emoji23]
Kisumu ndio nini?I'm just spitting facts. Kama nadanganya ebu niambie port efficient kati hizo tulinganishe na Kisumu.
berth 8 to 11 zimebinafsishwa kwa ticts na samia amesema ziko so ineffcientTukibinafsisha bandari sijui kama kutajengwa chochote
PM ametoa onyo kwa TICTS 👇berth 8 to 11 zimebinafsishwa kwa ticts na samia amesema ziko so ineffcient
Arusha haina hata sidewalks. Soko kila pahali, hakuna mpangilio.Apartment ya miaka nenda rudi, hii mombasa hata kwa ARUSHA haitoboi
Huu ndio ukweliKama kusema ukweli ndio kuwa na wivu then let me have it[emoji23][emoji23][emoji1787]View attachment 2182982
Hivi unaongea kuhusu bandari kupokea mizigo, wakati hata maji ya kunywa hakunaKwanza hata sio 17M tonnes, ni 16M[emoji23][emoji23]View attachment 2182997