Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How is economy contribute to the availability of rain? Kweli unareason na asilimia moja ya akili yako
Kwahiyo hujui jinsi GDP ya agriculture itakavyokuwa affected sio. Halafu kutokana weight ya agriculture in the overall GDP ( Kenya ni agricultural economy) pamoja na association yake on primary industries wakishaanza kukokotoa ndio utajua kuwa hujui chochote kuhusu GDP bali knows how to sing on daily basis haya maneno pendwa in Kenya.
 
my friend rugby is the real deal..! never ever will i compare football with this high-end and classy sport.! in kenya, rugby is associated with the rich and the upper-class..

nb: during apartheid SA, games like, rugby, golf, tennis, swimming, hockey, cricket, snooker, car rally, horse-racing were only reserved for the whites and the-colored.. it was an offence if black africans were found playing these..

whereas games like football, volleyball, athletics, boxing, darts, were open for blacks like u tanganyikans..

in kenya, britons introduced all these games, and we are still playing all of them till date.!!!

ngong race-courseView attachment 2181290View attachment 2181291
Stupid kabisa wewe, "Rugby is a real deal because is the sport of rich and upper class people",kwamba ulikua ni mchezo wa wazungu huko South Africa,sio kwasababu ni mchezo unaowasaidia vijana wengi kupata ajira, kwahiyo mchezo uliotumika Kama njia ya kubagua watu kwako ndio "real deal, isn't?, hivi ninyi wakenya mko na matatizo ya akili au ni nini?, Ninyi hamna akili kabisaa
Tony254
Don YF
NairobiWalker
 
Good Morning from Dar es Salaam

Screenshot_20220410-233403.png

Screenshot_20220410-233245.png

Screenshot_20220410-233308.png
 
Nikisema bongo wanaendesha magari mzee wanakasirika. Hii ni video ya 2021 na client anauziwa gari mzee ya 2001, Toyota Spacio amabayo ilikua discontinued in 2007 in Japan. Magari mzee ndio zimejaa kwa streets of Dar.🤣🤣🤣🤣

Huku Nyanda za Juu mvua imekata wakati Mazao ndio yamechanua,hii ni kutokana na msimu kuchelewa.

Hatari sana ,angalau ikinyesha hata mara 2 yataiva.
In another case ..inabidi tuanze kujiandaa kama taifa hasa kuongeza irrigation schemes ..ili wakati wa Kiangazi au Ukame taifa liweze ku withstand shida ya ukame kwa kutumia reserve ya maji..hata maji taka ...ya majumbani
.sio viwandani...ili kufanya irrigation

Najua linafanyiwa kazi..but maybe we can spwed it up nakuongeza scheme nying zaidi ..hasa kwenye mazao kama mpunga
 
Ndio next fy wame target hivyo,,hii mambo ya kutegemea kudra za Mungu sio healthier kwa sasa.
 
Umepewa video ya hali ilivyo barabarani inayoonyesha magari yalivyo katika majiji haya mawili halafu wewe unaleta picha moja moja eti 70% yapo hivo. Mbona hayo 70% hayaonekani kwa video? Mbona video ya Nairobi ina magari bora? Tukichukua picha moja moja hata marekani utapata gari bovu.
Eti Nairobi ina magari bora
 
Kwahiyo hujui jinsi GDP ya agriculture itakavyokuwa affected sio. Halafu kutokana weight ya agriculture in the overall GDP ( Kenya ni agricultural economy) pamoja na association yake on primary industries wakishaanza kukokotoa ndio utajua kuwa hujui chochote kuhusu GDP bali knows how to sing on daily basis haya maneno pendwa in Kenya.
Don't just answer questions for the sake of answering. Nimewauliza how is economy contributing to the availability of rain?
 
Umepewa video ya hali ilivyo barabarani inayoonyesha magari yalivyo katika majiji haya mawili halafu wewe unaleta picha moja moja eti 70% yapo hivo. Mbona hayo 70% hayaonekani kwa video? Mbona video ya Nairobi ina magari bora? Tukichukua picha moja moja hata marekani utapata gari bovu.
Gari za Nairobi ni hizi huna la kutuaminisha hapa!

Huu ni uchafu wa jalalani

images (91).jpeg

images (92).jpeg

images (93).jpeg
 
Back
Top Bottom