Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku ukinithibitishia kwamba Obama ni mkenya basi ndio siku naachana na jamii Forums
Huyu Mkenya humjui?
1649670170997.png

1649670042079.png

1649670091285.png

1649670115370.png


1649670065292.png
 
Makumbusho, Kilimani ya Dar barabara ni za mchanga, haziko paved, vibanda ziko kila mahali. Ukitaka kujua uhalisia halisi wa Dar is a slum na miji ya bongo, cheki video za huyu jamaa. Unbiased and honest opinion from a neutral perspective. Anaonyesha kila kitu bila kuficha. Oooohhh na hizo gari zenu mzee bado zimejaa kwa hii video pia. 🤣🤣🤣🤣


Hawa watu hawana tofauti na watu wa mombasa..sijui mbona wanataka kujilinganisha na Nairobi?..Dar na Mombasa ni kama Mama na mtoto...
 
In another case ..inabidi tuanze kujiandaa kama taifa hasa kuongeza irrigation schemes ..ili wakati wa Kiangazi au Ukame taifa liweze ku withstand shida ya ukame kwa kutumia reserve ya maji..hata maji taka ...ya majumbani
.sio viwandani...ili kufanya irrigation

Najua linafanyiwa kazi..but maybe we can spwed it up nakuongeza scheme nying zaidi ..hasa kwenye mazao kama mpunga
Posts zenye maudhui Kama haya, wakenya hawana mchango wowote, wao kwao muhimu ni malls, Konza city, skyscrapers, high ways na number of millionaires, hovyo Sana hawa jamaa
 
Don't just answer questions for the sake of answering. Nimewauliza how is economy contributing to the availability of rain?
You must ask your leaders to come up with programs of irrigations and water availability to those areas affected by chronic draught, stop endless excuses
 
Back
Top Bottom