Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 2174881View attachment 2174882View attachment 2174883View attachment 2174884
Dar's largest markets View attachment 2174885View attachment 2174887.. hizi sijui kisutu, sijui magomeni and others ar just modern days markets but they ain't considered Dar's largest markets.. usijichanganye kijana.. take a look migo marketView attachment 2174888View attachment 2174889. . Kisutu market View attachment 2174891and they still larger than this shit . Kwasababu each market has at least 5 storeys while yours has one View attachment 2174893 Eti ni ultra modern market .. hii market i nakaa vituo za daladala DSM View attachment 2174895View attachment 2174896hizo markets zenu ultra modern ni viwango vya market zetu zinazojengwa uswahilini uko tena remote areas..
Hii battle ya markets tulishaimaliza kitambo sema hawa wasenge wanakubali leo alafu kesho wanarudi tena mpk uvivu ndiyo maana tukakausha, mfano battle ya govt sec school pia tulishaimaliza na wakakimbia lkn ipo siku utaona wanarudi tena, yn wakijenga kashule kamoja utaona wanataka tena battle, kama issue ya markets hawatugusi hata robo ila wamejenga stand ya matatu wakaongopewa ni markets basi tayari wanataka tena marudio, inachosha sn ku deal na hivi vichwa, cjui walimu wao wanafundishaje vichwa hivi, no wonder nyumba zinaanguka kila siku.
 
Afu hio heshima ya kutoka moyon ni kwa watanzania hawahawa au wa vizazi vinachokuja?.. afu badala adili na mambo ya msingi kama vitu kupanda bei, analeta mipasho 😄

Ama kweli tuna safar ndefu sana. Anaupiga mwingi 🔥
Hamia EU vitu vimeshuka bei kama Ulaya mbali hamia hata Kenya hapo 🤣🤣.

Ukiwa na boss ofisini huwa unamuogopa au?
 
Kwani Kuna sababu ya kumpiga vijembe mtangulizi wake?, Yeye alipaswa afanye kazi vile atakavyo bila vijembe, akumbuka kwamba Magufuli ndiye aliyempendekeza kuwa makamu wa rais, kwamba walifanya kazi pamoja, kwamba wanatoka chama kimoja, Kama hakuwa anakubaliana naye alikua na nafasi nzuri ya kumshauri, Kama alishindwa au alikua hashauriki alipaswa kujiuzulu, anayofanya yanaonyesha ni kiasi gani huyu mama Hana maadili, haiba na sifa za kuwa kiongozi mkuu wa nchi.
Sababu ipo ,yule Mwendazake ndio alianzisha hii ya kukashifu predecessors wake so acha apewe mishale hadi atamani kutoka kaburini.

Yaani mimi ninafurahi kinoma,kwa kuwa alikosa heshima ngoja apewe vitasa huko huko kama hasikiii wafuasi wake watasaidia kuumia kama wanavyoloa Lia humu mitandaoni.
 
Kiukweli kama hakutatokea Rais ambaye atatenda kazi kwa kasi kama Magufuli, ujasiri wa kuanzisha miradi mikubwa, ufuatiliaji wa kazi zake, uwezo wa kusimamia maneno yake, uthubutu wa kubuni miradi mipya huyo Rais hataeleweka kwa Watanzania wengi na atakuwa amefanya chini ya kiwango.
Ebu fikiria nchi tulipokuwa tumeshafika siyo kabisa kila mtu mwenye pesa alikuwa untouchable lakini mwamba alivyoingia tu heshima ikarudi tukawa sawa. Tukaanza kuona vitu vinafanyika siyo kuishia kwenye ilani na mipango mkakati kama tulivyoaminishwa.
Watamtukana sana baba wa watu, watamzodoa sana na kumbeza kwa kuwa hayupo lakini aliyoyafanya yataishi kwenye mioyo yetu daima. Hatutamsahau kamwe. Watamfuta kwenye kumbukumbu zao ila sisi tutamtunza kwenye nafsi zetu. Wakiua nafsi zenu mawe yatamkumbuka daima.
Kama hakuwa kiongozi mzuri mbona mpaka sasa hivi miradi mingi iliyokuwepo na ambayo ameibun iliyokuwa haitarajiwi kutekelezwa bado inatekelezwa na hawajaimaliza? Huko nyuma tulikuwa tunakwama wapi. Baada ya kuthubutu kufanya ndipo na wengine wakaona kumbe inawezekana.
Wamuache mzee wa watu apumzike. Watanzania tutawapima hawa viongozi kwa utendaji wa Magufuli na siyo maneno ya kujipamba pamba tu huku matendo sifuri.
Sawa ila style ya utekelezaji iliua uchumi,pili he was not focused anashika shika kila mahali kiasi kwamba Miaka 6 iliisha hakuna hata alichofanya cha kuonyesha matokeo yake Samia kaachiwa miradi yote na anaifanya bila stress bila kuua uchumi.
 
aisee.. kiswahili kidogo ndo imekaribia lugha ya japanese zaidi duniani, hivi majina flani ya kiswahili, iko synonymous na japanese.
majina kama haya:-

-Tutako Takashika.

-Tutoto Takahara.

-Shiro Kawakuro. (Shiro is a girl's name in kenya. and Kuro is 'a prostitute' in kenya)

-Takashika Inamoto.

-Nitahama Nikitaka.

-Nitakuja Nikitaka.....

.
yani japanese huaga inanibamba ile mbaya aisee..
Kabisa japanese lugha yao imeshabihiana kwa ukaribu sana na kiswahili.
 
Viongozi wakubwa wa serikali walitakiwa kuwepo katika uzinduzi, kumpa moyo Masoud. Kitu alichokifanya ni kikubwa sana.
Na wasije wakamuwekea zengwe kwenye patent maana hawakawii kumzingua ni haki yake kupewa umiliki. Hakuna mambo ya 10% hapa au ubia kundesha kampuni labda kama yeye mwenyewe akiomba usaidizi hapo sawa.
 
Sawa ila style ya utekelezaji iliua uchumi,pili he was not focused anashika shika kila mahali kiasi kwamba Miaka 6 iliisha hakuna hata alichofanya cha kuonyesha matokeo yake Samia kaachiwa miradi yote na anaifanya bila stress bila kuua uchumi.
Sawa kaka ngoja tuone after 6 yrs itakuwaje. Ila huko nyuma ulipokuwa ukienda ofisini unakaribishwa na kusikilizwa haraka tena ukikutwa umekaa kwenye bench unaulizwa umeshasikilizwa? So nidham ilikuwepo kama ilikuwa ya uoga ilisaidia kiasi kikubwa. Sasa hivi hiyo hali haipo.
Mimi simpingi mama ni Rais wetu , ni mama yetu lakini asiongoze kwa upole sana watendaji wakimjua udhaifu wake watamkwamisha mipango yake, nadhani watz unawajua wakishakusoma.
Kwahiyo hatupigi kelele kwamba tunampinga au kumkwamisha la hasha! Tunamzindua asiwachekee hawa,akishindwa yeye ni taifa zima tumeshindwa, akikwama yeye tumekwama sote.
Mtu anayekupenda na kukutakia mema huwa anakwambia udhaifu wako. Mama hawezi kujua yote kuna mahali watendaju wake wanamdanganya kwa maslahi yao binafsi. Hatumchukii tunampenda na tunataka afanikiwe na amalize salama kipindi chake cha uongozi.
 
IMG_5768.jpg
 
Back
Top Bottom