Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 2174881View attachment 2174882View attachment 2174883View attachment 2174884
Dar's largest markets View attachment 2174885View attachment 2174887.. hizi sijui kisutu, sijui magomeni and others ar just modern days markets but they ain't considered Dar's largest markets.. usijichanganye kijana.. take a look migo marketView attachment 2174888View attachment 2174889. . Kisutu market View attachment 2174891and they still larger than this shit . Kwasababu each market has at least 5 storeys while yours has one View attachment 2174893 Eti ni ultra modern market .. hii market i nakaa vituo za daladala DSM View attachment 2174895View attachment 2174896hizo markets zenu ultra modern ni viwango vya market zetu zinazojengwa uswahilini uko tena remote areas..
Tiny buildings in the name of markets . Ulitaka za Gorofa pia tuko nazo, two times taller than the tallest market building in Tz

20220404_095416.jpg
20220404_095342.jpg
 
Sawa kaka ngoja tuone after 6 yrs itakuwaje. Ila huko nyuma ulipokuwa ukienda ofisini unakaribishwa na kusikilizwa haraka tena ukikutwa umekaa kwenye bench unaulizwa umeshasikilizwa? So nidham ilikuwepo kama ilikuwa ya uoga ilisaidia kiasi kikubwa. Sasa hivi hiyo hali haipo.
Mimi simpingi mama ni Rais wetu , ni mama yetu lakini asiongoze kwa upole sana watendaji wakimjua udhaifu wake watamkwamisha mipango yake, nadhani watz unawajua wakishakusoma.
Kwahiyo hatupigi kelele kwamba tunampinga au kumkwamisha la hasha! Tunamzindua asiwachekee hawa,akishindwa yeye ni taifa zima tumeshindwa, akikwama yeye tumekwama sote.
Mtu anayekupenda na kukutakia mema huwa anakwambia udhaifu wako. Mama hawezi kujua yote kuna mahali watendaju wake wanamdanganya kwa maslahi yao binafsi. Hatumchukii tunampenda na tunataka afanikiwe na amalize salama kipindi chake cha uongozi.
huyo kichaa umemjibu vizuri sana ,ila atajitoa tu ufahamu na kukujibu pumba

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2174881View attachment 2174882View attachment 2174883View attachment 2174884
Dar's largest markets ☝️👇View attachment 2174885View attachment 2174887.. hizi sijui kisutu, sijui magomeni and others ar just modern days markets but they ain't considered Dar's largest markets.. usijichanganye kijana.. take a look 👇 migo marketView attachment 2174888View attachment 2174889. . Kisutu market 👇View attachment 2174891and they still larger than this shit 👇. Kwasababu each market has at least 5 storeys while yours has one View attachment 2174893😂😂😂 Eti ni ultra modern market .. hii market i nakaa vituo za daladala DSM 👇View attachment 2174895View attachment 2174896hizo markets zenu ultra modern ni viwango vya market zetu zinazojengwa uswahilini uko tena remote areas..

Kisutu market,magomeni market n.k kwa kunyaland hizo ni mall,mtu maskini upati nafasi kufanya biashara sehemu kama zile
 
This still take me back to my earlier question: Does it mean that countries like England, Germany and China that have experienced fuel shortages in past did so because of their weak economies/small GDPs? Answer this question and I'll listen to you. Kwa sasa, unapiga tu kelele
acha kufananisha uharo wa kunyaland na madola makini,
 
Sawa kaka ngoja tuone after 6 yrs itakuwaje. Ila huko nyuma ulipokuwa ukienda ofisini unakaribishwa na kusikilizwa haraka tena ukikutwa umekaa kwenye bench unaulizwa umeshasikilizwa? So nidham ilikuwepo kama ilikuwa ya uoga ilisaidia kiasi kikubwa. Sasa hivi hiyo hali haipo.
Mimi simpingi mama ni Rais wetu , ni mama yetu lakini asiongoze kwa upole sana watendaji wakimjua udhaifu wake watamkwamisha mipango yake, nadhani watz unawajua wakishakusoma.
Kwahiyo hatupigi kelele kwamba tunampinga au kumkwamisha la hasha! Tunamzindua asiwachekee hawa,akishindwa yeye ni taifa zima tumeshindwa, akikwama yeye tumekwama sote.
Mtu anayekupenda na kukutakia mema huwa anakwambia udhaifu wako. Mama hawezi kujua yote kuna mahali watendaju wake wanamdanganya kwa maslahi yao binafsi. Hatumchukii tunampenda na tunataka afanikiwe na amalize salama kipindi chake cha uongozi.
Ofisi unaenda peke yako Mzee? Kipimo cha kwamba huko ofisini kuna urasimu ni kama mambo yamekwama.

Ila kuna nyie mnaotaka haraka hamtaki kufuata utaratibu aisee hata mimi ukija na haraka zako nakuomba chochote,hii imekuwa hivyo miaka yote..

By the way usipotoa taarifa unalia Lia humu haitakusaidia,Samia hawezi toka Dar au Dom kusimamia ofisi ya umma Namanyere..

Kudanganywa Rais ni Kawaida hata Mwendazake alidanganywa sana na ushahidi ninao..

Point ya msingi nikiona miradi imekwama hapo dawa ila eti inaenda,urasimu was hapa na pale kwenye sekta ya umma ni Kawaida japo sio wengi wanafanya hivyo ni watu wachache tuu..

Nachofurahi mimi Pesa sasa hivi ipo na Kazi zinafanyika.

Mwaka mmja wa mama na tozo ,Tarura Hawa hapa 👇

Screenshot_20220329-162740.png

Screenshot_20220403-135352.png

Screenshot_20220402-230047.png

Screenshot_20220329-162855.png

Screenshot_20220329-162800.png

Screenshot_20220329-162918.png

Screenshot_20220329-162931.png

Screenshot_20220329-162810.png
 
nchi ulizozitaja zimeathirika moja kwa moja na vita ya ukraine vs Russia kwa kujiunga na vikwazo vya anga, mafuta, gas, vikwazo vya fedha nk, kunyaland mmehusikaje hapa zaidi ya kucheza ngoma isiyo wahusu?
umenena ndipo kuu.!

Back
Top Bottom