Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar port 16M tonnes
Mombasa 34M tonnes [emoji1787][emoji23][emoji1787]

Screenshot_20220403-125643.jpg
Screenshot_20220403-125655.jpg
 
Berth 8-11 za Dar port ni 135 meters each[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 2174238
wapi wameandika 135m nifunge acc sasa hvi
the terminal has total length of 540m sinaona sehem kuna 135m 😂😂😂😂 na maana yake ni kwanza melizenye urefu wa 250m zinaweza kukaa mbili kwa wakat mmoja au meli yenze 500m pia inaweza kutia nanga


au nasema urongoooo🤣🤣🤣🤣
 
wapi wameandika 135m nifunge acc sasa hvi
the terminal has total length of 540m sinaona sehem kuna 135m [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na maana yake ni kwanza melizenye urefu wa 250m zinaweza kukaa mbili kwa wakat mmoja au meli yenze 500m pia inaweza kutia nanga


au nasema urongoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili pekee ndio huna[emoji23][emoji23][emoji23]. If you had brain you could have known that 540 divide by 4 is 135 meters [emoji23]
 
Akili pekee ndio huna[emoji23][emoji23][emoji23]. If you had brain you could have known that 540 divide by 4 is 135 meters [emoji23]
akili kweli sina lakini ndio ukweli sasa hata ukiumia haisaidii 🤣🤣🤣🤣 tatizo lako ww maendeleo ya tanzania yanakunyima raha na usingizi tanzania ina bandari nne na zote ziko active na zote ziko kwenye expasnion kubwa sana leo tunaona mtwara meli kubwa za mafuta na coal zinatia nanga ni step kubwa sana na leo tunaona meli kubwa za mafuta zinashusha tanga port na still expansion kubwa ikiendelea na sasa zanziba kuna jengwa port mpya kabisa achilia mbali ile ya zamani

yajayo yanafurahisha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
akili kweli sina lakini ndio ukweli sasa hata ukiumia haisaidii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tatizo lako ww maendeleo ya tanzania yanakunyima raha na usingizi tanzania ina bandari nne na zote ziko active na zote ziko kwenye expasnion kubwa sana leo tunaona mtwara meli kubwa za mafuta na coal zinatia nanga ni step kubwa sana na leo tunaona meli kubwa za mafuta zinashusha tanga port na still expansion kubwa ikiendelea na sasa zanziba kuna jengwa port mpya kabisa achilia mbali ile ya zamani

yajayo yanafurahisha [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Are you aware that Mtwara on only receive 6 ships per month? That's like 1 ship after every five days[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Are you aware that Mtwara on only receive 6 ships per month? That's like 1 ship after every five days[emoji23][emoji23][emoji23]
better instead of being idle na ukumbuke expansion inaendelea so kaa mkao wa kula

lamu white elephant inapokea ngapi 🤣🤣
 
Are you aware that Mtwara on only receive 6 ships per month? That's like 1 ship after every five days[emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe mtwara kuna bearth moja ina 300m sikujua 😂😂😂😂👇👇👇
885763EC-D193-46DD-B082-366D6AB7110E.jpeg



 
Back
Top Bottom