Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mama yupo sawa. Yule jamaa alikuwa anastahili kuwa generali wa jeshi sio raisi. Aliharibu uhusiano kati ya Tanzania na Kenya. Mimi naunga mkono uongozi wa mama 1000%. Na hata 2025 Wakenya tutakuja kumsaidia kufanya campaign ili ashinde tena.
Yaani Wakunya hapa tu ndio mnaniachaga hoi, uhusiano wa Tanzania na shithole yenu ulishaimarika lini?
 
Tony254 , ona... bongo pia hawana this an IMF certified, Central Bank of Kenya Money Printing Plant ka hii hapa, De La Rue yenye iko Ruaraka
dela-data.jpg
 
Kwa hivyo sasa ulikuwa unataka sisi tusaidie Waafrika wengine wakati wao walikataa kutusaidia? Sisi tuliuwawa ya kutosha kutakaamua kutulia kwanza na kujenga nchi. Nyie ambao hamkupigana kabla ya uhuru ndio mlikuwa na hamu ya kupigana na hao mabeberu baada ya uhuru.
Vipi Algeria na Ethiopia ambazo zote zilipigana vita na wakoloni, mbona walisaidia?, Sio lazima kupigana vita, Kenya ilikataa hata kuwapokea wakimbizi waliokua wanatoroka utawala wa wakoloni, wakimbizi wote waliishi Tanzania na Zambia
 
Kwa hivyo sasa ulikuwa unataka sisi tusaidie Waafrika wengine wakati wao walikataa kutusaidia? Sisi tuliuwawa ya kutosha kutakaamua kutulia kwanza na kujenga nchi. Nyie ambao hamkupigana kabla ya uhuru ndio mlikuwa na hamu ya kupigana na hao mabeberu baada ya uhuru.
unaongea matope toka lini mkumbatia mabeberu akaomba msaada kwa wale wasiokumbatia mabeberu ,
sera za nchi yenu kwa hiko kipindi zilikuwa tofauti na nchi nyingi za afrika ndiyo maana Tz ilipopambania uhuru ilitaka pia mabeberu waondoke nchini ili tujiendeshe wenyewe ila kwa nyie manyang'au mnaojifanya mme pambana na kujihisi kuwa nyie ndiyo mliopigania uhuru peke yenu kwa kumwaga damu mliendelea kuwa na hao beberu,

stupid kenya

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Lakini British walipokuja huko kwenu mliamua kupigana busu nao sindio?
kwa hiyo kwenye kupigania uhuru nakupelekea kumwaga damu kwa hapa duniani kila nchi ilikuwa ni kazima amwage damu kwa kupigana na british tu,kwani hakuna mataifa mengine yalizitawala nchi nyingine ?,,

acha ushamba wakichokoraa una mawazo mafupi sana we si bure ni chokoraaa 100%

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Jpm this Jpm that kwani vp?
Kiukweli kama hakutatokea Rais ambaye atatenda kazi kwa kasi kama Magufuli, ujasiri wa kuanzisha miradi mikubwa, ufuatiliaji wa kazi zake, uwezo wa kusimamia maneno yake, uthubutu wa kubuni miradi mipya huyo Rais hataeleweka kwa Watanzania wengi na atakuwa amefanya chini ya kiwango.
Ebu fikiria nchi tulipokuwa tumeshafika siyo kabisa kila mtu mwenye pesa alikuwa untouchable lakini mwamba alivyoingia tu heshima ikarudi tukawa sawa. Tukaanza kuona vitu vinafanyika siyo kuishia kwenye ilani na mipango mkakati kama tulivyoaminishwa.
Watamtukana sana baba wa watu, watamzodoa sana na kumbeza kwa kuwa hayupo lakini aliyoyafanya yataishi kwenye mioyo yetu daima. Hatutamsahau kamwe. Watamfuta kwenye kumbukumbu zao ila sisi tutamtunza kwenye nafsi zetu. Wakiua nafsi zenu mawe yatamkumbuka daima.
Kama hakuwa kiongozi mzuri mbona mpaka sasa hivi miradi mingi iliyokuwepo na ambayo ameibun iliyokuwa haitarajiwi kutekelezwa bado inatekelezwa na hawajaimaliza? Huko nyuma tulikuwa tunakwama wapi. Baada ya kuthubutu kufanya ndipo na wengine wakaona kumbe inawezekana.
Wamuache mzee wa watu apumzike. Watanzania tutawapima hawa viongozi kwa utendaji wa Magufuli na siyo maneno ya kujipamba pamba tu huku matendo sifuri.
 
Hana lolote tena ngoja muda wake uishe hapo utaona madudu yake zaidi ya JPM maana madudu yake mpaka raia wa kawaida wanayaona je waliopo serikalini kiufupi hajui kuongoza nchi hamna sehemu anakubarika na kama unabishi ingia mtaani uanze kumsifu uone kama hujakimbizwa kama mwizi
Muache huyo kaka anajitoa ufahamu tu. Mtaani kila siku vitu vinapanda bei tunaambiwa Vita ya Ukraine.
 
Mama yupo sawa. Yule jamaa alikuwa anastahili kuwa generali wa jeshi sio raisi. Aliharibu uhusiano kati ya Tanzania na Kenya. Mimi naunga mkono uongozi wa mama 1000%. Na hata 2025 Wakenya tutakuja kumsaidia kufanya campaign ili ashinde tena.
ni uhusiano gani aliouharibu? aliwafanyia nini kibaya?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 

Bakhresa Business Azam Digital Backs Up Broadcast Tower Power with NEC XON​

c0f300b63b68b5c7bfe3f35bdf12a61b

Published
2 weeks ago
on
March 18, 2022
By
Yinka Okeowo
Ally Yahya, NEC XON Key Account Executive in Tanzania

Ally Yahya, NEC XON Key Account Executive in Tanzania

Azam Digital Broadcast is deploying NEC XON’s Hybrid Storage Solution (HSS) for regulated and uninterrupted power supply to its broadcast tower network throughout Tanzania.​

“Broadcast is a competitive business,” says Ahmed H. Abdallah, CEO of Azam Digital Broadcast, “which means our service must be top-notch. We pride ourselves on a quality, affordable and uninterrupted service with strong infrastructure to support the transmitters and the services to back it up. That’s what we get from NEC XON.”

Azam Digital Broadcast is part of the Bakhresa Group, an industrial conglomerate from Tanzania with operations in 11 countries, including South Africa.

It operates across the food and beverage, packaging, logistics, marine passenger services, petroleum, entertainment, and other sectors.

“The AzamTV brand is very popular in Tanzania, as it is elsewhere in Africa,” says Ally Yahya, NEC XON Key Account Executive in Tanzania. “The transmitters are crucial, sensitive equipment that have a huge impact on the services the brand delivers to its customers. Providing remote monitoring data improves the resilience of the network, alerts Azam’s engineers as soon as there is a potential problem, and enables remote, escalated backup and support from our own engineers in-country as well as at our central facility in South Africa. That has a significantly positive impact on overheads, total cost of ownership (TCO), and service delivery.”

Abdallah says a host of real-time data on generator fuel levels and other critical information provisions for close monitoring of the generators and on-site grid availability which moderates runtime and has knock-on effects such as lower fuel consumption, planned truck roll to sites that are difficult to reach, and cuts generator parts maintenance and replacement frequency.
https://techeconomy.ng/2021/06/how-your-kids-can-become-climate-champion-through-cartoon-network/
Fast and linear charge characteristics, as well as the small footprint, were crucial advantages that led to Azam selecting NEC XON’s design from the competitive bid process.

“High cycle Li-Ion batteries also contribute to the high return on the investment and the significantly lower Opex,” says Yahya. “The high roundtrip efficiency of Li-Ion batteries ensures that no energy is wasted, which makes it the ideal solution for generator optimisations.”

The project, which initially experienced supply chain effects associated with the COVID-19 pandemic, is being deployed in three phases.

The HSS units have been deployed at 11 of the more than 25 total tower locations. The second phase of seven sites begins with the third phase following once it is complete.

“We received a lot of support from the NEC XON management when COVID initially interrupted the supply chain,” says Abdallah. “COVID was an act beyond our control, but together we have created a strategy that is resulting in a smooth order and delivery process.”

 
Back
Top Bottom