dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
Africa Business Magazine February2022
They will merge to form the only one and first state of the art ultra super loss making airline. In lugha pendwaThe two loss making national carrier merge, do you want to know what will happen? Stay tune![]()



Baba basi msumari umeshafika kwenye bone marrowNchi gani ya Afrika ilisaidia Ethiopian kuwapiga waitaliano, mbona Ethiopia ni miongoni mwa nchi za Afrika zilizosaidia nchi zingine kupata uhuru , Algeria nchi ya kiarabu lakini ilijitolea Sana vita vya ukombozi wa Afrika, ninyi wakenya ni watu wa hovyo Sana hapa Afrika.
Hivi Sasa eti mnajifanya kuhimiza umoja wa Afrika na kutaka kugombea uenyekiti wa AU, hakuna cheo cha Afrika ambacho Kenya mtapata, Afrika Kamwe haiwezikusahau usaliri wa Kenya kwa waafrika wengine
Tunajua akuna kitu utakula , sababu ww ni chuma ya mtu
Hawa jamaa ni hovyo Sana,Baba basi msumari umeshafika kwenye bone marrow




Hao ndiyo malegend wenueaza eaza maze, si hizo tyme nayo imekua ni tenee wewe, hio memories nayo.!. yenyewe nakumbuka e-sir na nameless, walikua wasee wa ogopa dj damu.!






English ya wapi hii?You have sharing petty news Geza.
Cha ajabu nini hapo.This is not Kenya.
Kenya chafu kuliko hapo, cha ajabu ni nini.
Battle imewashinda mmebaki kuwa wahuni.
Na mmekwisha kweli.Eti siku hizi mafuta ya kupika itatumiwa ku power ndege
Airbus A380 Super Jambo
Kwisha sisi
kwani wee na joto la jiwe huwa mnarauka saangapi. mi nime transnight hadi sahizi ngware tu kwa lapi niki design ma haoo..Hao ndiyo malegend wenu![]()
Kuna mkenya mpuuzi ndiye anayempoteza Tony, huwa anamfuata na kumuiga katika Mambo mengi, likiwemo jina analotumia pia alimuiga yeyeDuuu, jirani nyie washamba sana, mnaanza kuringishia hadi ice rink? Hadi tony wewe kweli wakutamba na ice rink? Vitu vidogo hivyo sana kwa TZ



Kazi yangu Mimi ni mlinzi, kwahiyo usiku kucha silali hata dakika Moja.kwani wee na joto la jiwe huwa mnarauka saangapi. mi nime transnight hadi sahizi ngware kwa lapi niki design ma haoo..
yani kutema teii, maroro na hepi za wknd imesaidia @least. kunavenye bazenga flani fathella fathella hivi atatoboka mulla flani fiti. ndo nikacheki hio dau, siwezi nikaisare tu ivo. nikaona ni sacrifice kudoz. hehe..
Are you ask questions or you are preparing debating questions?Correction please.
Which better hospitals are you talking about when your politicians, celebrities and rich Tanzanians are running to Kenya for treatment?
Which best airports do you have? Have never seen any Tanzanian airport ranked best in Africa or East Africa yet JKIA is scooping the awards every year. I don't want to talk about stadiums cause I can't remember any day Tanzania has ever hosted an event in those cowshed.
Electricity distribution of 37% and customers coverage of 3M?![]()



