Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huyu mama vipi heshima na woga ni vitu viwili tofauti,ukiona mtu ana heshima kisa uwoga wake jua kabisa hakuna mtendaji hapo ni uzembe mwanzo mwisho na ndiyo maana JPM alikuwa anawanyoosha
20220402_110212.jpg

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
huyu mama vipi heshima na woga ni vitu viwili tofauti,ukiona mtu ana heshima kisa uwoga wake jua kabisa hakuna mtendaji hapo ni uzembe mwanzo mwisho na ndiyo maana JPM alikuwa anawanyooshaView attachment 2172707

Afu hio heshima ya kutoka moyon ni kwa watanzania hawahawa au wa vizazi vinachokuja?.. afu badala adili na mambo ya msingi kama vitu kupanda bei, analeta mipasho 😄

Ama kweli tuna safar ndefu sana. Anaupiga mwingi 🔥
 
huyu mama vipi heshima na woga ni vitu viwili tofauti,ukiona mtu ana heshima kisa uwoga wake jua kabisa hakuna mtendaji hapo ni uzembe mwanzo mwisho na ndiyo maana JPM alikuwa anawanyooshaView attachment 2172707

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Maneno ya watu yanamchoma sana. Anataka kushindana na hayati? Brainless fool. Na bado ataongea sana. Angekuwa ametoka bwana wake Kikwete akaingia yeye si nchi ingecollapse?
 
huyu mama vipi heshima na woga ni vitu viwili tofauti,ukiona mtu ana heshima kisa uwoga wake jua kabisa hakuna mtendaji hapo ni uzembe mwanzo mwisho na ndiyo maana JPM alikuwa anawanyooshaView attachment 2172707

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Tatizo la huyu mama alikuwa na chuki binafsi na Magufuli tangu akiwa makamu wa Rais japo alijitahidi kuificha (unafiki wa wapwani). Na kwa bahati mbaya amebebeshwa zigo kubwa la chuki kwa Magufuli na hawa wanaongoza hii nchi walioko nyuma yake. Anadhani kuponda mtu ambaye sasa hayupo madarakani ndiyo kutaleta mabadiliko. Ngoja tusubiri tuone heshima na uadilifu wa watanzania unaotoka moyoni bila kulazimishwa either na sheria au mamlaka ya rais kwa mujibu wa sheria. HUYU MAMA NI JUST A REMOTE CONTROL ANAYETUCHAGULIA CHANNEL ZA KUANGALIA NI MSOGA GANG.
 
Skating ice rink ya kwanza East Africa ipo Quality group tangu 2015!

Fool, hivi ni vitu tunavyo kabla ya 2015!

Watoto wako ndio fools sio mimi. Kama ice rink yenu mlifungua 2015 hio ilikuwa ya pili EA. Ya kwanza EA ilikuwa ya Kenya. Hii hapa video ya 2011 na ice rink tayari ilikuwa Nairobi. Nyie hamuwezi kutushinda kwa lolote. Sasa fool ni nani? Unadanganya watu bila aibu kwamba yenu ilikuwa ya kwanza?

Hii video ya youtube ni more than 10 years old. Hii ice rink ilifungwa 2019 kufanyiwa renovation tu lakini ilikuwa ya kwanza kufunguliwa EA. Sasa nenda kalilie chooni.
 
Tatizo la huyu mama alikuwa na chuki binafsi na Magufuli tangu akiwa makamu wa Rais japo alijitahidi kuificha (unafiki wa wapwani). Na kwa bahati mbaya amebebeshwa zigo kubwa la chuki kwa Magufuli na hawa wanaongoza hii nchi walioko nyuma yake. Anadhani kuponda mtu ambaye sasa hayupo madarakani ndiyo kutaleta mabadiliko. Ngoja tusubiri tuone heshima na uadilifu wa watanzania unaotoka moyoni bila kulazimishwa either na sheria au mamlaka ya rais kwa mujibu wa sheria. HUYU MAMA NI JUST A REMOTE CONTROL ANAYETUCHAGULIA CHANNEL ZA KUANGALIA NI MSOGA GANG.
Thibitisha ....Mwaka ulioisha kabla mambo hayajabadilika ilikua huruhusuwi hata kusema neno covid-19 ,huruhusiwi kusema vyuma vimekaza huruhusiwi kupinga chochote kinachofanywa na serikali hadharani au kwenye mtandao kwahyo yale maisha ndio mliona tumefanikiwa?watz tatizo ni unafiki kila mahali afadhali huyu Raisi wa sasa
 
sasa mbona unashabikia kufunguliwa 2022? Kama si unyoko uliopitiliza!
 
Watoto wako ndio fools sio mimi. Kama ice rink yenu mlifungua 2015 hio ilikuwa ya pili EA. Ya kwanza EA ilikuwa ya Kenya. Hii hapa video ya 2011 na ice rink tayari ilikuwa Nairobi. Nyie hamuwezi kutushinda kwa lolote. Sasa fool ni nani? Unadanganya watu bila aibu kwamba yenu ilikuwa ya kwanza?

Hii video ya youtube ni more than 10 years old. Hii ice rink ilifungwa 2019 kufanyiwa renovation tu lakini ilikuwa ya kwanza kufunguliwa EA. Sasa nenda kalilie chooni.

And yet hawana any team ya Ice
Yaani nchi imelala kama DRC.
 
Thibitisha ....Mwaka ulioisha kabla mambo hayajabadilika ilikua huruhusuwi hata kusema neno covid-19 ,huruhusiwi kusema vyuma vimekaza huruhusiwi kupinga chochote kinachofanywa na serikali hadharani au kwenye mtandao kwahyo yale maisha ndio mliona tumefanikiwa?watz tatizo ni unafiki kila mahali afadhali huyu Raisi wa sasa
Hana lolote tena ngoja muda wake uishe hapo utaona madudu yake zaidi ya JPM maana madudu yake mpaka raia wa kawaida wanayaona je waliopo serikalini kiufupi hajui kuongoza nchi hamna sehemu anakubarika na kama unabishi ingia mtaani uanze kumsifu uone kama hujakimbizwa kama mwizi
 
Tatizo la huyu mama alikuwa na chuki binafsi na Magufuli tangu akiwa makamu wa Rais japo alijitahidi kuificha (unafiki wa wapwani). Na kwa bahati mbaya amebebeshwa zigo kubwa la chuki kwa Magufuli na hawa wanaongoza hii nchi walioko nyuma yake. Anadhani kuponda mtu ambaye sasa hayupo madarakani ndiyo kutaleta mabadiliko. Ngoja tusubiri tuone heshima na uadilifu wa watanzania unaotoka moyoni bila kulazimishwa either na sheria au mamlaka ya rais kwa mujibu wa sheria. HUYU MAMA NI JUST A REMOTE CONTROL ANAYETUCHAGULIA CHANNEL ZA KUANGALIA NI MSOGA GANG.
Nchi ipo kwenye mode ya AUTOPILOT
 
Thibitisha ....Mwaka ulioisha kabla mambo hayajabadilika ilikua huruhusuwi hata kusema neno covid-19 ,huruhusiwi kusema vyuma vimekaza huruhusiwi kupinga chochote kinachofanywa na serikali hadharani au kwenye mtandao kwahyo yale maisha ndio mliona tumefanikiwa?watz tatizo ni unafiki kila mahali afadhali huyu Raisi wa sasa
Muda utathibitisha na tayari mengine yameshathibitika na yanaendelea kuthibitika.
 
Back
Top Bottom