Kumbe pale kuna 2 buildings over 20 floorsjapo zimekanushwa, lkn bei ni balaa
(naona kama walikuwa wanatest zari)
View attachment 2174372
View attachment 2174373
kanusho + miradi inakamilika
View attachment 2174375
And why did the countries I mentioned face fuel crisis while all their neighbours didn't? Engage your thinking ability bongolalaStop excuses, why only in Kenya while all other neighboring countries don't have that shortage?
Tuonyeshe tuzione. Anza na ya Tabora niliyokuitishaHuku kila wilaya ina Mercedes Benz fire engine kijana. These are small things not worthy to trouble myself.
Economic decentralization by late jiwe . Vision yake ilikua nzuri sanaMagu was everywhere aisee, daahh.
Endelea 😂
Why do these people always like cheating Tanzanians?.
😂😂😂 Leta hizo bridges za mombasa tuone, hizo nyingiMombasa has more bridges than Dar is slum.
Show me any market in Tz that can accommodate 2000 traders.
ata mzazi sio issue saana . fikiria ukienda kuomba nayo kazi, ama wakati wa interview.. 😆😆😆Da da da!!! Aisee hayo majina sidhani aisee, ebu fikiria unamletea mzazi wako cheti kimeandikwa hivyo,kwa kweli me siwezi. Ngoja tukufanyie mpango uende wewe![]()
aisee.. kiswahili kidogo ndo imekaribia lugha ya japanese zaidi duniani, hivi majina flani ya kiswahili, iko synonymous na japanese.ata mzazi issue saana . fikiria ukienda kuomba nayo kazi, ama wakati wa interview.. 😆😆😆
Tuonyeshe fire engine ya Tabora town
Watoe wapi![]()