Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi gani ya Afrika ilisaidia Ethiopian kuwapiga waitaliano, mbona Ethiopia ni miongoni mwa nchi za Afrika zilizosaidia nchi zingine kupata uhuru , Algeria nchi ya kiarabu lakini ilijitolea Sana vita vya ukombozi wa Afrika, ninyi wakenya ni watu wa hovyo Sana hapa Afrika.

Hivi Sasa eti mnajifanya kuhimiza umoja wa Afrika na kutaka kugombea uenyekiti wa AU, hakuna cheo cha Afrika ambacho Kenya mtapata, Afrika Kamwe haiwezikusahau usaliti wa Kenya kwa waafrika wengine
Kwa hivyo sasa ulikuwa unataka sisi tusaidie Waafrika wengine wakati wao walikataa kutusaidia? Sisi tuliuwawa ya kutosha kutakaamua kutulia kwanza na kujenga nchi. Nyie ambao hamkupigana kabla ya uhuru ndio mlikuwa na hamu ya kupigana na hao mabeberu baada ya uhuru.
 
Wacha upuuzi nyingii Mkunya! Umekuwa-raised kwenye mazingira hayo!
Labda wewe maanake hata huo udongo unakaa wa Dar is slum.

3233303465_a521391677_b.jpg
 
Kenya ni miongoni mwa nchi chache sana hapa Afrika ambayo ilipigania uhuru wake kupitia vita sio diplomasia. Nchi zingine pia ambazo zilimwaga damu ili kujipatia uhuru ni Zimbabwe, South Afrika, Namibia na Angola. Ila nchi kama ya Tanzania mlipewa uhuru baada ya mazungumzo tu. Halafu bado mnajifanya kwamba nyie ndio mnajua kupigana na mabeberu kutushinda sisi ilhali nyie hamkupigana na mabeberu mwanaume kwa mwanaume kama sisi tulivyofanya. Wakenya 50,000 waliuwawa katika vita vya Mau mau. Wakenya wengi ikiwemo wamama na watoto waliwekwa katika concentration camps. Vitabu vimeandikwa kuhusu hili mnaweza kuvisoma. Serikali ya UK iliomba msamaha kwa mateso na mauwaji iliyofanya Kenya wakati huo.


Cc ichoboy01
Geza Ulole
joto la jiwe

Wakati wa utawala wa Germans vita ilipiganwa maeneo mengi ikiwemo ruvuma, iringa, Lindi , tabora , moshi , tanga nk
Watu wengi walikufa
 
Russia imeanza kupigwa ndani ya Russia mzee. Narudia ndani ya Russia. Yaani vita imevuka border. Kichapo kinatembea hadi ndani ya Russia.
Russia haiwezi kuomba kuondolewa vikwazo angali wanaoumia ni mabeberu na malaya zao kama akina kunyaland
 
Wakati wa utawala wa Germans vita ilipiganwa maeneo mengi ikiwemo ruvuma, iringa, Lindi , tabora , moshi , tanga nk
Watu wengi walikufa
Lakini British walipokuja huko kwenu mliamua kupigana busu nao sindio?
 
Thibitisha ....Mwaka ulioisha kabla mambo hayajabadilika ilikua huruhusuwi hata kusema neno covid-19 ,huruhusiwi kusema vyuma vimekaza huruhusiwi kupinga chochote kinachofanywa na serikali hadharani au kwenye mtandao kwahyo yale maisha ndio mliona tumefanikiwa?watz tatizo ni unafiki kila mahali afadhali huyu Raisi wa sasa
Kwani Kuna sababu ya kumpiga vijembe mtangulizi wake?, Yeye alipaswa afanye kazi vile atakavyo bila vijembe, akumbuka kwamba Magufuli ndiye aliyempendekeza kuwa makamu wa rais, kwamba walifanya kazi pamoja, kwamba wanatoka chama kimoja, Kama hakuwa anakubaliana naye alikua na nafasi nzuri ya kumshauri, Kama alishindwa au alikua hashauriki alipaswa kujiuzulu, anayofanya yanaonyesha ni kiasi gani huyu mama Hana maadili, haiba na sifa za kuwa kiongozi mkuu wa nchi.
 
acha ushamba hapo indoor arena ndiyo hatuna ila soon tunafanya huo mchakato,

toa huo uchafu wa swimming

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
7 year down the line since Tanzania got its own. But the big mouthed neighbor is whining around that she has the first rink in the entire region.
😛 😆 😂
Hata ucheke vipi, first Ice rink in EA ilianzishwa Kenya.

Hii video ni ya 2011 ba tayari Kenya ilikuwa na ice rink. Nyie malazy yenu ilianzishwa 2015.
 
huyu mama vipi heshima na woga ni vitu viwili tofauti,ukiona mtu ana heshima kisa uwoga wake jua kabisa hakuna mtendaji hapo ni uzembe mwanzo mwisho na ndiyo maana JPM alikuwa anawanyooshaView attachment 2172707

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mama yupo sawa. Yule jamaa alikuwa anastahili kuwa generali wa jeshi sio raisi. Aliharibu uhusiano kati ya Tanzania na Kenya. Mimi naunga mkono uongozi wa mama 1000%. Na hata 2025 Wakenya tutakuja kumsaidia kufanya campaign ili ashinde tena.
 
Mama yupo sawa. Yule jamaa alikuwa anastahili kuwa generali wa jeshi sio raisi. Aliharibu uhusiano kati ya Tanzania na Kenya. Mimi naunga mkono uongozi wa mama 1000%. Na hata 2025 Wakenya tutakuja kumsaidia kufanya campaign ili ashinde tena.
Kwanini mnalazimisha kuwepo na uhusiano mzuri Kati ya Kenya na Tanzania?, Sisi hatutaki kuwa na uhusiano na ninyi, Kenya mlisaliti waafrika enzi za ukombozi, mliamua kuwakumbatia wazungu, kwanini msilazimishe uhusiano na wazungu?, Sisi hatutaki na Wala hatuwapendi, mtu mmoja(rais) hawezi kulazimisha watu zaidi ya 60M kuwapenda wakenya
 
Back
Top Bottom