Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa County

images (26).jpeg


images (27).jpeg
 
Kwahyo hela zinazokopwa huoni kinachofanywa ama vp sijakupata
Mkuu kama wewe unaziona basi upo kwenye mnyororo sisi tutazionaje wakati vita vya Ukrain na Urusi vimeanza tangu mwaka jana
 
Katika mengi uliongea naungana nawe,Mtu akishakuaameenda muacheni aende,Humu ndani bado watu wanahang-over nae,kwa sasa hayupo...sasa kama kazi alizoacha bado zinashughulikiwa kwanini bado mnapata tabu?lakini usisahau aliharibu uchaguzi wa mwaka 2020 katika kitu aliwahi nikera nacho ni kile na nilimshusha sana,kwanza sipendi sana kumzungumzia
Kuna sehemu kweli kulikuwa na udhaifu kama binadamu ila kwa kuwa hayupo tuwe waungwana tumuache apumzike bora hata angekuwepo amestaafu angekuwa anaona na kujutia alipokosea. Ila tumuache tu apumzike kwa amani. Mama yetu tunampenda afanye kazi zake kwa ubunifu wake na siyo kudiss mtu ambaye hayupo.
 
So kama aliharibu uhusiano wa Tz na Kenya cc inatuhusu nn, what is Kenya, Kenya ndiyo nn? Hata tukiwa na uhusiano mbaya na Kenya who is going to suffer btn Kenya and Tz? Mtasema biashara itaharibika so kama ikiharibika cc itatupa tabu gn? Kuna mtu atakufa njaa? Dawa hazitopatikana mahospitalini? Miradi haitofanyika? Jibu ni kwamba Kenya ndiyo ita suffer kwa kukosa bidhaa muhimu na kusababisha bei kupanda maradufu na watu kula mawe.

So to me Tz has nothing to do with shit hole Kunyaland, Magu was right to jeopardize relationship btn Tz and shit hole Kunyaland.
Alivyokomesha ile kasumba ya shamba la bibi ndipo chuki ilipochipukia.
 
so ina maana kua, hakuna mtanzania wowote ataweza kubali kusomea hizi vyuo vikuu, vya japan na Indonesians, ata akipata full scholarship+upkeep, sabab ya jina.?

heb nipee hio scholarship.! yani, i ll go like yesterday

View attachment 2174195View attachment 2174196
Da da da!!! Aisee hayo majina sidhani aisee, ebu fikiria unamletea mzazi wako cheti kimeandikwa hivyo,kwa kweli me siwezi. Ngoja tukufanyie mpango uende wewe
 
so ina maana kua, hakuna mtanzania wowote ataweza kubali kusomea hizi vyuo vikuu, vya japan na Indonesians, ata akipata full scholarship+upkeep, sabab ya jina.?

heb nipee hio scholarship.! yani, i ll go like yesterday

View attachment 2174195View attachment 2174196
Hilo jina la kwanza ni kiboko kwa maadili ya Mtanzania ni ngumu sana kwenda hicho chuo. Kwahiyo umefukunyua mtandaoni kwa ajili ya evidence tu, aisee
 
Thibitisha ....Mwaka ulioisha kabla mambo hayajabadilika ilikua huruhusuwi hata kusema neno covid-19 ,huruhusiwi kusema vyuma vimekaza huruhusiwi kupinga chochote kinachofanywa na serikali hadharani au kwenye mtandao kwahyo yale maisha ndio mliona tumefanikiwa?watz tatizo ni unafiki kila mahali afadhali huyu Raisi wa sasa
Jamaa anadai alikua na chuki,then yuko free kabisa imagine kama kipindi cha nyuma hata hapo nyuma ya key board angepata ujasiri huo wa kumsema rais!
 
Back
Top Bottom