The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Sukuma gang na Chadomo watakwambia vitu vimepanda Bei 🤣🤣🤣.
Kwa mara ya kwanza serikali inakwenda kutekeleza bajeti yake kwa zaidi ya 90%
Wahamie Nchi yeyote ambako Bei za vitu zimeshuka, wengine huwa wanatupostia kabisa humu inflation rates za Nchi mbalimbali.
Twende Kazi TRA👇

