Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani imepokea wakimbizi wengi kushinda nyingine. Usiongee vitu usivyovijua. Kwa kupokea wakimbizi hamtushindi. Ni kweli hatukupokea wakimbizi wa nchi za SADC ila tumepokea wakimbizi wengi sana wa nchi zinazotuzunguka. Uganda, South Sudan, Ethiopia na Somalia. Kwamba Somalia tumepokea Wakimbizi 500,000 kuanzia 1992. Watu kama akina Ilhan Omar walikuwa wakimbizi Kenya kabla ya kuenda Marekani. Kuna super model anaitwa Halima pia yeye alikuwa mkimbizi Kenya na sasa anatambulika duniani kote. Usiongee vitu usivyovijua.
View attachment 2173052
Kwanini mlikataa kuwapokea wakimbizi kipindi cha ukombozi?, Sababu ni kwamba wazungu wallikua wakiungwa mkono wakoloni kusini mwa Afrika, nchi yoyote iliyoonekana kuunga mkono ukombozi, " automatically" ilikua ni adui wa wazungu, wakenya mlichagua kuwasaliti waafrika na kuwakumbatia wazungu.

Baada ya Uhuru wa Afrika, hawa wakimbizi wengine mnaowapokea Sasa wapo chini ya UN, hakuna tena hatari ya kuwakasirisha wazungu kwa kuwasaidia hao wakimbizi, pia Kuna msaada toka UN kwa nchi zote zinazowahifadhi wakimbizi, ndio sababu hivi Sasa mnawapokea, ila USA walisema muwafukuze lazima mtawafukuza.

Kuhusu idadi ya wakimbizi Kati ya Tanzania na Kenya, bado Tanzania imepokea idadi kubwa ya wakimbizi kuliko Kenya, kumbuka mamilioni ya wanyarwanda waliokimbia" Genocide" 1994, warundi, wakongo, Waganda enzi za Amin, wasomali na wakenya wakati wa PEV 2007
 
Usiwe kama hujui historia Tz imepokea wakimbizi wengi zaidi ukanda huu toka Burundi, Rwanda, RDC na Uganda. A few years ago tume wa naturalize wakimbizi kama 1 million na kuwapa uraia sembuse hako kanamba chenu cha 500k. At any one time Tz had over 3 million refigees in the western parts of the country.
Tatizo ni joto la jiwe anaona Kenya ni kama sisi hatuna uwezo wa kupokea wakimbizi. Hajui historia ya Kenya, namuelewa. Kenya imefungua milango yake kwa wakimbizi kutoka nchi zinazotuzunguka. Pia anafikiri kwamba Kenya haijawahi kupigana na mabeberu. Anastahili kusoma historia ya Kenya vizuri.
 
Kwanini mlikataa kuwapokea wakimbizi kipindi cha ukombozi?, Sababu ni kwamba wazungu wallikua wakiungwa mkono wakoloni kusini mwa Afrika, nchi yoyote iliyoonekana kuunga mkono ukombozi, " automatically" ilikua ni adui wa wazungu, wakenya mlichagua kuwasaliti waafrika na kuwakumbatia wazungu.

Baada ya Uhuru wa Afrika, hawa wakimbizi wengine mnaowapokea Sasa wapo chini ya UN, hakuna tena hatari ya kuwakasirisha wazungu kwa kuwasaidia hao wakimbizi, pia Kuna msaada toka UN kwa nchi zote zinazowahifadhi wakimbizi, ndio sababu hivi Sasa mnawapokea, ila USA walisema muwafukuze lazima mtawafukuza.

Kuhusu idadi ya wakimbizi Kati ya Tanzania na Kenya, bado Tanzania imepokea idadi kubwa ya wakimbizi kuliko Kenya, kumbuka mamilioni ya wanyarwanda waliokimbia" Genocide" 1994, warundi, wakongo, Waganda enzi za Amin, wasomali na wakenya wakati wa PEV 2007
Nikuhakikishie kwamba serikali ya Kenya hailipwi pesa yoyote kuwahost hao refugees Kenya. Hakuna hata shilingi moja ambayo serikali ya Kenya inapokea kutoka UNHCR kuhost hao refugees. Na kama unapinga basi leta evidence. Akili yako inakufanya uamini kwamba Kenya haiwezi kusaidia watu ikiwa haitafaidika kwa njia yoyote. Lakini huna evidence kwamba serikali ya Kenya inalipwa kuwahost hao refugees. Wewe huwezi kuamini kwamba Kenya inaweza kusaidia watu kwa roho safi.
 
Kwanini mlikataa kuwapokea wakimbizi kipindi cha ukombozi?, Sababu ni kwamba wazungu wallikua wakiungwa mkono wakoloni kusini mwa Afrika, nchi yoyote iliyoonekana kuunga mkono ukombozi, " automatically" ilikua ni adui wa wazungu, wakenya mlichagua kuwasaliti waafrika na kuwakumbatia wazungu.

Baada ya Uhuru wa Afrika, hawa wakimbizi wengine mnaowapokea Sasa wapo chini ya UN, hakuna tena hatari ya kuwakasirisha wazungu kwa kuwasaidia hao wakimbizi, pia Kuna msaada toka UN kwa nchi zote zinazowahifadhi wakimbizi, ndio sababu hivi Sasa mnawapokea, ila USA walisema muwafukuze lazima mtawafukuza.

Kuhusu idadi ya wakimbizi Kati ya Tanzania na Kenya, bado Tanzania imepokea idadi kubwa ya wakimbizi kuliko Kenya, kumbuka mamilioni ya wanyarwanda waliokimbia" Genocide" 1994, warundi, wakongo, Waganda enzi za Amin, wasomali na wakenya wakati wa PEV 2007
Hao wanafiki mkuu hata wakati wa vita vya kagera UK alikuwa anampatia Kenya intelligence maana walikuwa wanaogopa Tanzania italeta vita hadi kenya kwa kwasababu tuu sisi ni wajamaa hivyo kukawa na aina fulani ya kutoaminiana ikafikia mpaka kenya kumsupport Iddi Amin kwa kushurutishwa na waingereza kufanya hivyo.
 
Tatizo lenu huwa mnapenda kuropokwa sana. Halafu huwa hamna facts. Sasa wewe umetoa madai ambayo hata nikikuambia udhibitishe, utashindwa kufanya hivyo. Huna evidence yoyote lakini unaropokwa tu bora nawe umesema jambo.
 
Tatizo ni joto la jiwe anaona Kenya ni kama sisi hatuna uwezo wa kupokea wakimbizi. Hajui historia ya Kenya, namuelewa. Kenya imefungua milango yake kwa wakimbizi kutoka nchi zinazotuzunguka. Pia anafikiri kwamba Kenya haijawahi kupigana na mabeberu. Anastahili kusoma historia ya Kenya vizuri.
mwanzo hajui dadaab camp ni kama jiji la tatu baada ya mombasa na watu takriban millioni moja kutoka hasa somali. na kakuma camp kama jiji la sita baada ya eldoret na watu takribani lakh tano.! kutoka hasa south sudan na drcongo
 
Where are those sorcerers now?
1648910723564.jpg
 
unaongea matope toka lini mkumbatia mabeberu akaomba msaada kwa wale wasiokumbatia mabeberu ,
sera za nchi yenu kwa hiko kipindi zilikuwa tofauti na nchi nyingi za afrika ndiyo maana Tz ilipopambania uhuru ilitaka pia mabeberu waondoke nchini ili tujiendeshe wenyewe ila kwa nyie manyang'au mnaojifanya mme pambana na kujihisi kuwa nyie ndiyo mliopigania uhuru peke yenu kwa kumwaga damu mliendelea kuwa na hao beberu,

stupid kenya

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kwani ni uongo kwamba Kenya tulimuaga damu tukipambana na mebeberu wakati nyinyi mlipewa uhuru wenu kupitia mazungumzo tu? Sasa unapinga nini hapo? Sasa unapinga kwamba Wakenya zaidi ya 20,000 waliuwawa katika vita vya Maumau wakati nyinyi mlipata uhuru bila hata kumwaga damu? Halafu ndio mnajifanya kwamba nyie ndio mnajua sana kupigana na mabeberu. Eti nyie ndio experts wa kupigana na mabeberu. Wajinga sana. Mnakuja kutuambia jinsi nyinyi ni mashujaa wa kupigana na mabeberu na hamjakufa mkipigana na mabeberu kama sisi. Hebu nendeni mkajipige vifua mahali pengine. Hamtutishi kwamba mumeikomboa Africa ilhali hamkumwaga tone la damu kama sisi kwenye vita vya mabeberu.
 
Tanganyika ilikuwa chini ya uangalizi maalumu wa British chini ya makubaliano ya UN mpaka itakapokuwa tayari kupata uhuru ikabidhiwe , ila kenya aliolewa na British tangu zamani mpaka leo hii!!
Sasa kwa nini Watanzania wenzako humu ndani wanajifanya kwamba mlipigania uhuru na kumwaga damu ilhali mlipewa uhuru wenu bure bila kupigana? Nyie mlianza kupigana na mabeberu indirectly baada ya kupata uhuru wenu kwa kuhost freedom fighters kutoka nchi za SADC. Hata baada ya uhuru Tanzania haikupigana vita na mabeberu moja kwa moja. Mlipigana nao indirectly kwa kutrain freedom fighters wa hizo nchi kisha kuwatuma waende wapigane wenyewe. Sasa sijui mnasema eti mlimwaga damu wapi? Yaani waliokuwa wakipigana sio jeshi lenu bali ni hao freedom fighters waliopata mafunzo Tanzania ndio walitumwa waende wapiganie nchi zao. Wao ndio walienda kupigana na kufariki, sio nyinyi. Nyie mlikuwa hosts tu lakini hamkumwaga damu.
 
Kwani ni uongo kwamba Kenya tulimuaga damu tukipambana na mebeberu wakati nyinyi mlipewa uhuru wenu kupitia mazungumzo tu? Sasa unapinga nini hapo? Sasa unapinga kwamba Wakenya zaidi ya 20,000 waliuwawa katika vita vya Maumau wakati nyinyi mlipata uhuru bila hata kumwaga damu? Halafu ndio mnajifanya kwamba nyie ndio mnajua sana kupigana na mabeberu. Eti nyie ndio experts wa kupigana na mabeberu. Wajinga sana. Mnakuja kutuambia jinsi nyinyi ni mashujaa wa kupigana na mabeberu na hamjakufa mkipigana na mabeberu kama sisi. Hebu nendeni mkajipige vifua mahali pengine. Hamtutishi kwamba mumeikomboa Africa ilhali hamkumwaga tone la damu kama sisi kwenye vita vya mabeberu.
ndiyo maana nakuambia kuwa wewe ni mshamba unaropoka tu,

kabla ya mazungumzo kulikuwa na nini?,
mazungumzo yamekuja baada ya watu kufa sana kwa mfano nyamwezi tribe,hehe na ngoni kipindi hiko watu walimwaga sana damu kwa kupambana na German hakuna uhuru ulijileta tu bure mzee ojwani otherwise utabaki na ujinga wako na kaa ukijua kwa Tz haikupita nchi moja kwenye tawala walipita German,waarabu mwisho ndiyo hao waingereza,,
usipende kuongea bila ya kufikiria usiwe mropokaji mazungumzo ya ushawishi wa uhuru yalikuja baada ya vita vya ndani kwa ndani Tanzania tupo very smart kiushawishi hata nyie mkijichanganya tunawatawala tupo na power kubwa ya ushawishi.

endelea kuwa mzembe kwa kutokujua mambo Tz siyo level yenu Tz ipo juu sana kwa hiyo medani ndiyo maana tulisaidia nchi nyingi za africa,

Je unaweza kuniambia ni kipi cha maana kama kenya mmekifanya hapa duniani?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Are talking about $14B loans, donations and grants for SGR and $3B loans, donations and grants for the dam?
Yoyote anae kuelekeza ww ni bora atumie mda huo kufanya jambo la mana...mwizi wa picha za fedha mitandaoni
 
Back
Top Bottom