Nchi za Afrika zitaumia kushinda nchi za magharibi. Kenya, Tanzania, Uganda sote tunaimport mafuta na hatuna hata refineries wala strategic oil reserve ya kustore mafuta. Nchi kama India, China, US wana mapipa makubwa ya kustore mafuta ili tatizo kama hili likitokea angalau watakuwa na supply ya wiki kadhaa ya mafuta. Sisi Waafrika huwa tunaishi kibahati bahati tu. Hatuwezi kuunda vaccine ya corona, hatuwezi kuchimba mafuta wala kuyasafisha, yaani tupo tu tunangoja kufanyiwa kila tu. Bei ya mafuta itakapopanda, tegemea bei ya kila kitu kitapanda pia.