Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,711
Looks like its done. A good addition to Kilimani skyline
Looks like its done. A good addition to Kilimani skyline
Sisi tukasirike ya nini na huo msalaba wenu? Hapo hamchomoki mchina nyoko sana.



Hii nayo ni town ama kweli akili mufilisi.Yani Kitengela Town pekee imechapa the top Estates za Dar
Hawapendi sababu hawatawahi jenga kitu kama hiki hii karne. Labda wabomoe brt na uswazi
Give us any evidence that you are planning to have tram services in Tanzania.Hii Dunia sio fair, wakati majirani wanahangaika na poor quality BRT,ss tunatoka huko na kwenda huku,👇👇 trams
View attachment 2127898
Very futuristicLooks like its done. A good addition to Kilimani skyline
Umeshawahi kuona Tajiri analala njaa?Naona unaumia sana kujua kwamba Kenya ni nchi ya sita kwa utajiri hapa Afrika.



Give us any evidence that you are planning to have tram services in Tanzania.

Its easier magufuli kufufuka kuliko dar-is-a-slum kupata tram servicesMtambo wa changaa on non electrified track with fish plates jointsmchina ana roho mbaya sana
dadeki afu haijaisha, imesusiwa suswa
View attachment 2127905
View attachment 2127906
View attachment 2127907


Mchina noma sana.Hata economy yao ya mchongo imepewa majina matamu tuu such as the biggest, the most advanced, at per with SA, Egypt and Nigeria etcChinese first class train , wanasiasa wakenya wajanja sana wanatengeneza kitu hata kama low quality wanakipa jina tamu kama ile ulta modern bus stand . Halafu wakunya nao wanajifanya blinded kusifia japokua ukweli unabaki moyoni mwao



Kiongozi kitu cha kupewa huwezi chagua anayekupa ndio anaamua akupe nini ila kama umetoa hela mfukoni unachagua unachotaka kwa jeuri hiyo ndio tale of two sister countries in EA.Chinese first class train , wanasiasa wakenya wajanja sana wanatengeneza kitu hata kama low quality wanakipa jina tamu kama ile ulta modern bus stand . Halafu wakunya nao wanajifanya blinded kusifia japokua ukweli unabaki moyoni mwao
Embu kiweke hicho kichwa hapa tuone hizo rangi na logo za TRC ama sivyo acha kuweka utumbo hapa.Kichwa cha treni ya wakandarasi complete with TRC colours and logo? This drama is getting even more interesting![]()
![]()
Huyo mbwa wako can't even come close to Syokimau, stop comparing it with KarenMbweni Dar es Salaam, waiting for street roads project: Dream houses in the making. Nawapa na google maps link: Mbweni · Tanzania
View attachment 2127982
View attachment 2127983
View attachment 2127985
View attachment 2127990
So unajifanya hujaona picha niliyoquote?Embu kiweke hicho kichwa hapa tuone hizo rangi na logo za TRC ama sivyo acha kuweka utumbo hapa.
Mkuu wewe ni color blind? Cha mkandarasi ni hicho red and white. Btw hio ni watermark sio logo kwenye kichwa cha train.Kichwa cha treni ya wakandarasi complete with TRC colours and logo? This drama is getting even more interesting 😂 😂
Chini katikatiView attachment 2127881
Hivi hapo Uhasibu BRT itapita juu au chini?
Inapita chini katikatiSame question to Chang'ombe , maana inaonesha inakua kama ya tazara kwa macho labda wataalamu wanajua zaidi , kimsingi BRT inabidi waipitishe juu kuondoa unnecessary traffic jam
Hii vipi?
The most developed city in east and central AfricWATANZANIA MTAELEWA NA KUKUBALI LINI KENYA TUKO MBELE ZAIDI...kwa maneno ya babalevo...HIVI UKIZIONA ZILE FLYOVER ZAO....