Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe Karen na yenyewe ni Slum la haja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani kukosa Slum kunyaland ni sawa na kukosa kunguni gerezani

View attachment 2126785
That's Dagoretti bongolala and it's clearly written so. If Dagoretti is a slum, what will we call these ones?
Screenshot_20210523-235214~2.png
Screenshot_20210515-100338~2.png
Screenshot_20210511-234730.png
 
Avocados mnazo export zinatoka Tz and trust me, turn over yenu ishaanza kushuka kwa kasi baada ya Tz kuanza kuuza avocado zake bila kuwahusisha nyie ambao ni mawakala, so expect bad news at the end of this year kuhusu avocado business
Hata chai tunayo export inatoka Tanzania 😂 😂
 
Arguing with a fool is such a difficult job, especially if the fool is a Tanzanian.

Bongolala, first and foremost, there are no apartments in Karen. Hakuna mahali utaenda Karen ukutane na apartment. Baadhi ya picha zako zinaonyesha vizuri Sana apartments and this one below is an example
View attachment 2126561
Sijui hiyo ni Karen gani iko na apartments!

Secondly, kwa jinsi ulivyomjinga you can't even take a minute to read the names of places you are posting here as Karen. Tangu lini Dagoretti ikawa Karen? This image is clearly written Dagoretti but you are still insisting it's Karen.
View attachment 2126611
Dagoretti and Karen are two different places

Listen bongolala, Tanganyika nzima hakuna mtaa inakaribia Karen. Hata utembee hadi wapi hutapata. Uliza huyu mwenzako akuadithie View attachment 2126592
unexposed tanzanians who never travel outside tz think they are something while in reality they still have a long way to go
 
Unaona jinsi Tanzania mnavyotutegemea sisi kibiashara? Kwa hivyo mpunguze roho mbaya.

Cc Geza Ulole
So mnavyo import kwa wingi kutoka China it means China inawategemea sn nyie

Ku import kwa wingi from Foreign country c dalili njema kwa uchumi wa nchi. Inapaswa ku import vile vitu ambavyo hamuwezi kuzalisha au kutengeneza nchini mwenu na co ku import kila kitu kama mnavyofanya, cc Tz tumeshapunguza huo ujinga na ndiyo maana unaona kwa ss tunajituma, tunazalisha kwa wingi na tuna export zaidi kwa nchi jirani zetu na inatupa faida kubwa. Kilichobaki ni kuongeza kuwauzia finished goods kwa wingi ili tuneemeke zaidi.
 
No wonder hela ya kutekeleza miradi hawana deni mpaka shingoni duh ila the truth be said tuwaonee huruma hawa wenzetu jamani wanapitia kipindi kigumu sana kama taifa.

Kenya's Gross Debt Crosses Sh8 Trillion Mark

THE STAR

Feb 22, 2022 4:03 AM

The country's gross debt rose from Sh7.9 trillion in September to Sh8.206 trillion


At least Sh77 out of Sh100 of Kenya's Gross Domestic Product (GDP) is in debt, according to the latest data by the National Treasury.

Kenya's debt registry as of the end of last year shows gross public debt crossed the Sh8 trillion mark to stand at Sh8.2 trillion against the country's nominal GDP estimated at Sh10.7 trillion.

This means for every Sh10 earned from the sale of goods and services in the country, Sh7 covers loans, illustrating Kenya's high level of indebtedness which is likely to worsen on growing volatilities in the global market.
Kenya's Public and Publicly Guaranteed Debt, December 2019 to December 2021 shows the country's gross debt rose from Sh7.9 trillion in September to Sh8.206 trillion, with external loans accounting for over 50 per cent of the bulk.

The total external loan was at Sh4.174 trillion with multilateral loans standing at Sh1.782 trillion, commercial Sh1.208 trillion and bilateral Sh1.17 trillion.
The exchequer has also included suppliers' credit in the debt registry for the first time in line with the International Monetary Fund's order.

Data shows suppliers' credit to the government shrunk to Sh12 billion end of last year compared to a similar period the previous year.
Domestic debt on other hand rose from Sh1.58 trillion in 2019 to Sh2.03 trillion end of last year. A similar amount is owed to non-banks and residents.

The country's public debt has grown tremendously in the past eight years of President Uhuru Kenyatta's administration, largely pushed up by huge infrastructural projects led by the Standard Guage Railway which goggled in excess of Sh300 billion.
The country has taken four Eurobods in less than a decade and is currently planning for a fifth one worth Sh250 billion.
In January, a treasury mandarin told a local paper that it is banking on Citi Bank and JP Morgan to arrange its fifth Eurobond to be issued this year.

In October last year, a report by the Senate Committee on Finance on the status of Kenya's debt presented on the floor of the house showed the country's debt will be Sh8.7 trillion by end of the current financial year.
This will be only Sh300 billion shy of the Sh9.1 trillion debt limit, perhaps the reason why legislators want the debt ceiling pushed to Sh12 trillion.
The rising debt stock has resulted in a high debt servicing expenditure amounting to Sh1.17 trillion in this financial year up from the projected Sh952.7 billion.

In the first six months of the financial year, the government according to the Treasury data spent Sh39.4 billion to service external debt, largely to China.
According to the External Debt Service, from July 2021 to December 2021, Sh27.61 billion was paid in principal and Sh12.69 billion in interests.
At least 29.68 billion went to China, accounting for 76 per cent of the external debt service during the period under review.
Kenya paid Sh5.38 billion to Italy in debt service linked to scandalous Kimwerer and Arror dams. Others are Belgium and Germany at Sh1.08 billion and 1.04 billion respectively.

Although the Kenya Revenue Authority (KRA) has stepped up a vigorous tax collection campaign that has seen it surpass its monthly collection targets since August last year, the amount does not meet budgetary needs.
According to the Senate report, the government is spending more than 60 per cent of its tax revenue to repay debt, a move it terms as highly unsustainable.
Kenya's debt has been under sharp focus in recent times, with international lenders and rating firms like IMF, World Bank, Moody's and S&P downgrading its creditworthiness.
 
Kwa mwendo huo inaonekana wazi wewe hukusoma sayansi kwa kiwango Cha juu na hesabu huwezi ndio maana unafikiri aliyesoma sayansi ana akili iliyopitiliza.
Tanzania ufaulu unaanzia division four na kipindi Cha nyuma mwenye EEE alikuwa anaingia university kuchukua shahada ila jamaa alichemka akaenda kusoma stashada ya kemia ya ualimu.
Kumbuka hata thesis yake ya korosho Ina walakini ndio maana kiingereza kilikiuwa kinamsumbua kwa mtu aliye jinasibu kusoma kiingereza Toka kidato Cha kwanza mpaka uzamivu na alitetea thesis zake.
Naona umekuja na Id mpya, huwa unaanza taratibu kwa mkono wa kushoto alafu baadaye unaandika kwa mkono wako uliyouzoea, mtu mmoja Id 200 au unalipwa mkuu
 
Hii project haikuwa na BOQ ? Ila kuna mdau alisema humu project ukiona hamna bango la contractor ujue wizi upo karibu . Kweli ichoboy alisema ukweli kama sikosei
Waliambiwa project itagharimu $500ml mpk ss tunapoongea mchina anasema keshamaliza $668ml na ujenzi unaendelea, unajua hiyo inamaanisha nn? Maana yake hii road itakuwa hailipiki kwa hiyo miaka 30 labda miaka 100, so hawa wakunya wa humu wote watakufa hii road haijalipwa, na asilimia kubwa ya wakunya humu hawana gari na wachache wenye gari hawatotumia hyo road
 
Bro The best 007 kumbe bhana, ukiachana na ule mradi wa nyumba 1000 wa NHC pale DOM, kuna mradi mwengine wa nyumba 3500 unaofanywa na TBA eneo la nzuguni DODOMA View attachment 2126197. MRADI WA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA 3500 NA NYUMBA 20 ZA VIONGOZI WASHIKA KASI JIJINI DODOMA.
Noma sn mkuu, hii Dodoma inakwenda kuchapa Nairobi, mana kitu walichobaki nacho Nairobi ni vi apartment vya upande upande basi, ss Dom inakwenda kumaliza kabisa huu mchezo asubuhi na mapema.
 
Bro The best 007 kumbe bhana, ukiachana na ule mradi wa nyumba 1000 wa NHC pale DOM, kuna mradi mwengine wa nyumba 3500 unaofanywa na TBA eneo la nzuguni DODOMA View attachment 2126197. MRADI WA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA 3500 NA NYUMBA 20 ZA VIONGOZI WASHIKA KASI JIJINI DODOMA.
Shida ya waandishi wetu wa habari hawafuatilii haya mambo wakayarusha mara kwa mara mpk cc tuhangaike kutafuta sources, mfano Dar real estate imeichapa Nairobi real estate kwa mbali mno interms of price lkn hizo estate zenyewe kuzipata ni kwa shida kwasababu tuna waandishi vilaza wasiojishughulisha na mambo ya msingi, wao wamekazana na kina Uwoya cjui zuchu mara Diamond, mwisho wanamaliza na soka wasenge hawa.
 
So mnavyo import kwa wingi kutoka China it means China inawategemea sn nyie

Ku import kwa wingi from Foreign country c dalili njema kwa uchumi wa nchi. Inapaswa ku import vile vitu ambavyo hamuwezi kuzalisha au kutengeneza nchini mwenu na co ku import kila kitu kama mnavyofanya, cc Tz tumeshapunguza huo ujinga na ndiyo maana unaona kwa ss tunajituma, tunazalisha kwa wingi na tuna export zaidi kwa nchi jirani zetu na inatupa faida kubwa. Kilichobaki ni kuongeza kuwauzia finished goods kwa wingi ili tuneemeke zaidi.
Hatuwezi kubali kununua finished goods kutoka kwenu. Lazima tuprotect viwanda vyetu from unfair competition.
 
Back
Top Bottom