Kweli? Kilwa Road hapo ni kwenye hiyo over pass hebu angalia huo uwanja wa Uhasibu vizuri.itapita chini sio juu
kuna nafas imeachwa chini kwa ajili ya BRTKweli? Kilwa Road hapo ni kwenye hiyo over pass hebu angalia huo uwanja wa Uhasibu vizuri.
Tofali ni more beautiful kushinda ujinga huu uliopost.Huu ndio ukuta wa tuta la flyover, sio kupanga matofali
View attachment 2128438
acha ujinga ww 🤣🤣🤣Tofali ni more beautiful kushinda ujinga huu uliopost.
Ntajirudia. Ni rahisi Mimi Mashashola kua rais wa Tanzania kuliko dar-is-a-slum kupata tram serviceshuu mdomo wako utakuumbua siku
hata reli ya umeme mlisema hivyo hivyo,leo hii mnaishia kutoa macho tu
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
safi sana ✅✅✅
Aisee mchina kawaharibu akiliTofali ni more beautiful kushinda ujinga huu uliopost.






