Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uchumi mkubwa una viashiria vyake na njia zake ambavyo Kenya havipo. Sasa hapo ndio tunatilia shaka the figures on paper.
Wakati Nigeria ilikuwa inapigana vita vya Biafra iliyofanya watu milioni mbili kufa njaa, Nigeria haikuwa na uchumi mkubwa?
 
Mwaka huu mtakoma, mimi naleta dream houses wewe unaleta apartments na shule 😀.
Pia hapo nimekuwekea 4 different streets: Mbweni, Salasala, Madale na Mapinga 30+ KM From Posta

1645608081549.png
 
ni hivi hamna jipya ,mbali na kupost hizo utopolo kota za kuku,mshua hawezi ishi kwenye hizo box mfanano

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Of course hamuwezi ishi kwenye box mfanano. Uwezo wenu haiwaruhusu kujinasua kutoka kwa dreamhouses za uswazi zilizosambaa kila mahali zenye bati zilizoliwa na mchwa. Everytime you see an organized residential area lazima muingiwe na kiwewe
 
Tupeni hvyo Viashiria basi
Yani mnabakiza maneno tu lkn ukweli, twende kw Nairobi stock exchange tuone kunasemaje..

Mwenzako kakimbia
Haya twende Loans to GDP ratio ikoje? Tuanzie hapo kwanza au unasemaje?
 

Huu mradi ukijakuwa materialise utafanya investors wakubwa Duniani kumilinika Tzn kutokana na hii assurance.

Pili utaingiza exports revenues nyingi Sana Tzn na kuitambulisha Nchi kama kwenye medani za gas Duniani.

Mwisho ita push GDP yetu kwa robo nzima hivyo kufunga kabisa gap na Kenya.Sio kila mradi ni WA kupata 50/50 miradi mingine itakuwa na faida za Kodi,forex na kuleta investors confidence.

Til.70 sio mchezo,bajeti ya miaka 2 ya Tzn.
 
Tupeni hvyo Viashiria basi
Yani mnabakiza maneno tu lkn ukweli, twende kw Nairobi stock exchange tuone kunasemaje..

Mwenzako kakimbia
Hiyo stock slum sijui nini ? toa hiyo 80% kinacho baki ndiyo chakula cha
 
Watanzania hebu niwaulize kwa heshima na unyenyekevu ni kwa nini huwa mnakataa kukubali kwamba Kenya ina uchumi mkubwa (wa sita Afrika kwa ukubwa wa uchumi) eti kwa sababu kuna Wakenya wachache kaskazini mwa Kenya ambao wanalala njaa? Kwa hivyo kama kuna Wakenya wanaolala njaa hio inamaanisha kwamba Kenya ina uchumi mdogo? Mbona hata Angola ilikuwa inapigana vita in the 1960s and 70s lakini bado ilikuwa na uchumi wa nne kwa ukubwa barani Afrika? Mbona Nigeria ilipigana vita in the 1960s (Biafran war) na wakati huo wa vita bado ilikuwa na uchumi wa pili kwa ukubwa barani Afrika na watu zaidi ya milioni mbili Nigeria wenye asili ya Igbo walikufa njaa kufuatia ukame mkali uliotokea eneo hilo? Licha ya majanga haya yote, uchumi wa Nigeria bado ulibakia kuwa wa pili barani Afrika kwa ukubwa.
kua na uchumi ambao kuna watu wanakufa na njaa na wengine njaa zinawahangaisha zaidi 3m kenyans, na kua na uchumi ambao una madeni yaliopitiliza na hayalipiki na bado nchi uchumi wake unapumulia juu ya mipira ya mikojo 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom