Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jambo la kwanza ni kuwa bei ya mafuta na gesi zitapanda ajabu. Cha kushangaza ni kuwa Russia itafaidika sana kwa sababu wao wanaproduce oil na gas kwa wingi.
Yeah, yaani hii vita iko strategic Sana,as we speak now anaelekea Kiev.
 
Ni kweli,ila anataka kuyatumia hayo majimbo ya Donbas kama njia kuingia Kiev,na yupo njiani kuelekea huko. Yaani Uchumi wa dunia utayumba Sana.
Nchi za Afrika zitaumia kushinda nchi za magharibi. Kenya, Tanzania, Uganda sote tunaimport mafuta na hatuna hata refineries wala strategic oil reserve ya kustore mafuta. Nchi kama India, China, US wana mapipa makubwa ya kustore mafuta ili tatizo kama hili likitokea angalau watakuwa na supply ya wiki kadhaa ya mafuta. Sisi Waafrika huwa tunaishi kibahati bahati tu. Hatuwezi kuunda vaccine ya corona, hatuwezi kuchimba mafuta wala kuyasafisha, yaani tupo tu tunangoja kufanyiwa kila tu. Bei ya mafuta itakapopanda, tegemea bei ya kila kitu kitapanda pia.
 
Ndio nimelisomea. Pesa kukosa thamani ni tatizo kubwa sana. Madhara yake ni mengi tu. Japo exporters wanabenefit, bei ya imports inaongezeka, hio inaleta inflation katika uchumi. Upande mwingine deni linaongezeka kwa maana lazima yalipwe kutumia dollar ilhali dollar inakuwa more expensive na adimu kwenye market.
Yeah sijasoma uchumi..ila ni kitu nafwatilia sana na napenda kujisomea
 
Nchi za Afrika zitaumia kushinda nchi za magharibi. Kenya, Tanzania, Uganda sote tunaimport mafuta na hatuna hata refineries wala strategic oil reserve ya kustore mafuta. Nchi kama India, China, US wana mapipa makubwa ya kustore mafuta ili tatizo likitokea angalau watakuwa na supply ya wiki kadhaa ya mafuta. Sisi Waafrika huwa tunaishi kibahati bahati tu. Hatuwezi kuunda vaccine ya corona, hatuwezi kuchimba mafuta wala kuyasafisha, yaani tupo tu tunangoja kufanyiwa kila tu. Bei ya mafuta itakapopanda, tegemea bei ya kila kitu kitapanda pia.
It takes time tu develop..wengi wao wana over 200 years of civilization..plus sasa hivi kuna neo colonialism hatari..ili kutoboa inabidi tutumie what i call Asia Style...

Unasomesha watu nje (Goverment)..ila unawapa mikataba itayowafunga nchini .wanakuja na ku copy technology na kuileta nchini kwako .

Huku unakua ume invest kwenye industries, labs, research centres zitazokuja kuwafanya wa apply hio knowledge
 
Ni kweli.
 
50% plus done

downloadfile.png

downloadfile.jpg
 
Just few seconds after this post imetokea!

Hata sijashangaa. Nilijua tu kwamba jambo la kwanza kutokea ni bei la mafuta litapanda. Nakumbuka chuo tukisoma kuhusu jinsi vita vya Israel na Egypt in 1973 lilileta madhara makubwa ulimwenguni kwa sababu nchi za kiarabu zilikataa kuuza mafuta kwa nchi za magharibi. Kilichofuatia ni kwamba kulikuwa na uhaba mkubwa wa mafuta katika nchi hizo kiasi cha kuleta recession katika nchi hizo. Halafu kila wakati ambapo kuna vita vikubwa lazima bei ya mafuta ipande. Lakini hio ya 1973 ndio ilikuwa mbaya sana.
 
Shillingi la Kenya linapoteza thamani dhidi ya dollar haraka sana. Hili ni tatizo kubwa kushinda hata la deni kubwa la Kenya. I hope CBK will be able to control its depreciation.
Ni vyema unakuwa kweli kwenye reality, hapo manake mtatumia zaidi akiba yenu ya fedha za kigeni
 
Ndio nimelisomea. Pesa kukosa thamani ni tatizo kubwa sana. Madhara yake ni mengi tu. Japo exporters wanabenefit, bei ya imports inaongezeka, hio inaleta inflation katika uchumi. Upande mwingine deni linaongezeka kwa maana lazima yalipwe kutumia dollar ilhali dollar inakuwa more expensive na adimu kwenye market.
Lakipia exportation yenu itaongezeka, sababu ya kushuk kwa dhaman ya pesa,mbaya ni iyo inflation itapandisha sana bidhaa zenu
 
Back
Top Bottom