Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waliambiwa project itagharimu $500ml mpk ss tunapoongea mchina anasema keshamaliza $668ml na ujenzi unaendelea, unajua hiyo inamaanisha nn? Maana yake hii road itakuwa hailipiki kwa hiyo miaka 30 labda miaka 100, so hawa wakunya wa humu wote watakufa hii road haijalipwa, na asilimia kubwa ya wakunya humu hawana gari na wachache wenye gari hawatotumia hyo road
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mchina keshatumia $668 million na bado mambo bado? 😂😂😂😂😂😂😂
 
Hatuwezi kubali kununua finished goods kutoka kwenu. Lazima tuprotect viwanda vyetu from unfair competition.
Sio kwamba mtapenda bali itawalazimu, maana viwanda vyetu vitakuwa vina produce products kwa gharama nafuu kuliko viwanda vyenu cz tutakuwa na umeme wa kutosha na wa bei nafuu, hivyo kupelekea kuteka soko la finished goods hapa EA na SADC pia.
 
Uwezo wenu wa kung'amua nadhani ndio shida,ulitaka aseme tu cha mkandarasi,maelezo hujasikia.Nikikumbushe tu hicho kichwa ni sehemu ya mkataba wa SGR.Msilete mada sisizo na msingi
Hebu leta huo mkataba tuuone unaosema vifaa vya mkandarasi Yapi Merkezi kwa ajili ya Testing and commissioning vitanunuliwa na TRC na lazma viwe vipya! Na mbona kila cha ukandarasi cha SGR track alignment hakikuwa kipya na Yapi Merkezi walikitumia Ethiopia?

Awash-Kombolcha-Hara Gebeya Railway​

390 km long Awash – Kombolcha – Hara Gebaya railway Project is being constructed by Yapı Merkezi as a single track starting from the northeast of the city of Awash, extending towards North through the city of Kombolcha and eventually reaching to the city of Weldia.
The Project is high important and crucial due to the establishment of connection between northern and eastern Ethiopia and support to the traffic of passenger freight, as well as the contribution to import and export through the harbor of Djibuti.

All works pertaining to design, manufacture, assembly and operation startup of track superstructure, maintenance facilities, workshop and depot areas, stations, service building, track works, signalization, catenary systems, generator rooms, telecommunication and training of personnel were carried out by Yapı Merkezi.

Awash-Kombolcha-Hara Gebeya Railway




 
Huyu minister Ni takataka tu,
Wapi proof Ni picha ya 2020!
Anajua nchi imejaa makondoo akisema anything watakubali kama watoto!

Wewe tofauti yako na kondoo ni harufu.

Sasa juu wewe ni kondoo unadhani kila mtu ni kondoo humu!

Mkiambiwa mfanye tafiti kabla ya kuokota okota picha kondoo hamsikii.
Tena ziliharibiwa kwa kukosa phytosanitary documents na zilikuwa tani 3.5 kondoo wewe.

Huyo minister tayari ashafungua maghala ya kuuza chakula Sudan kusini na Congo, sasa hivi yuko kwenye hatua za kufungua ghala la kuuza chakula Mombasa kondoo wewe.

Kenya nzima hakuna minister anayemfikia huyo minister kondoo wewe.

Level zenu ni hizi kondoo wa kienyeji wewe.
 
Wewe tofauti yako na kondoo ni harufu.

Sasa juu wewe ni kondoo unadhani kila mtu ni kondoo humu!
Mkiambiwa mfanye tafiti kabla ya kuokota okota picha kondoo hamsikii.

Huwa minister tayari ashafungua maghala ya kuuza chakula Sudan kusini na Congo, sasa hivi yuko kwenye hatua za kufungua ghala la kuuza chakula Mombasa kondoo wewe.

Kenya nzima hakuna minister anayemfikia huyo minister kondoo wewe.

Level zenu ni hizi kondoo wa kienyeji wewe.
Nimecheka kinoma noma, ktk kila neno moja mbele kuna kondoo
 
Back
Top Bottom